Tetesi: Hussein Katanga, Katibu Mkuu wa zamani kurejea kivingine

Ni beyond JF na magazeti
 
Mkuu angalia usiwaharibie kwa kuwa habari zimevuja kabla ya kutolewa rasmi.

Au wakuu hawajali hili siku hizi?
Hata habari hawana, they are so lost kiasi kwamba hawajui zuri wala baya tena.

Huko juu ni mithili ya kambi ya wendawazimu, kila mmoja kichaa kuliko mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…