Tetesi: Hussein Katanga, Katibu Mkuu wa zamani kurejea kivingine

Hizo ngonjera mpelekee pengo na mwamposa,ukimchukia Samia Kisa tuh yeye ni muislam basi TAMBUA FIKA KUNA WAFIA DINI TUPO STANDBY KURUKA NA KENGE WOTE WANAOSUMBULIWA NA UGONJWA WA ISLAMOPHOBIA...TUTAZAA NAO WATOTO PACHA KILA MMOJA WAO...
 
Vema
 
Huoni siku hizi ugaidi umepungua sana? Ni kuwa mujaheedin wengi wamechotwa na Mwamposa na ndio waliojaa Kawe

Hakuna muislam fa.la anaeweza kesha Kwa checkbob yule mnyakyusa eti aombewe kupata watoto au aombewe uzima wa milele,kinachoshangaza makafiri ni kuukataa uhalisia wenu na kutaka kuwavuta waislam kwenye upotevu wenu,muislam maana yake ni kujisalimisha Kwa Mungu Mmoja ambae hajazaa Wala hajazaliwa,Sasa MTU anakuaje muislam Kisha aende kuabudu Mungu yesu?

Hilo tapeli ni la kwenu,tambeni nalo.
 
!
Nyie wenyewe mbele ya Mwarabu ni makafiri .

Unaonaga unyanyasaji wa wazi hata muendapo hija jinsi wanavyowanyanyapaa?
 
Kwani ako na weledi wa mambo hayo ?
Sina cv yake kamili lakini kabla ya kuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni, (enzi hizo Kinondoni ikiwa kubwa kabla ya kuimega vipande vya Ubungo, Kawe nk), alikuwa Mweka Hazina katika moja ya Halmashauri za Wilaya.
Hii inaashiria kuwa anayo elimu ya Uhasibu.
 
Kizimkazi mwenyewe kapeleka kibunda pale ukiacha wewe kobazi shekhe ubwabwa
 
Mama Abdul hana uwezo wa kumtoa Dr. Mwigulu, Nape pamoja na January kwani wanamtisha yule mmama.
"HAKUNA KINYAGO KINACHOWEZA KUMTISHA MCHONGAJI"

Vinyago hivyo MCHONGAJI. Ni wa ⌚ 100, πŸ€£πŸ˜…πŸ€£πŸ˜…
Zaidi ya hapo wanapigwa chini wakula ubalozi nchi za mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…