Kisalilo
JF-Expert Member
- Apr 17, 2020
- 1,880
- 2,110
Sana maana kule hapati kuraCCM wamerahisisha ushindi wa Maalim Seif Zanzibar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sana maana kule hapati kuraCCM wamerahisisha ushindi wa Maalim Seif Zanzibar
Nilitaka kupita kimyaaa ila kwa ushuzi huu siachi kunena. Nauliza tu swali; Tangu lini kupe kasema kuwa, huyu ng'ombe ndiye ananinyonya? Kwa akili yako unaona kuwa Tanganyika inaweza kumnyonya zanzibari?? Nenda kapime macho, huenda unasumbuliwa na mtoto jicho.Utavunjwa tu(ni muda tu ndio utaongea), hakuna mzanzibar anayetaka MUUNGANO ,hauna faida kwao zaidi ya kuwanyonya tu!!
Hujui jumla ya wajumbe wa Nec Zanzibar ni 35.Hakuna kitu cha kuogopa sasa hivi duniani kama Mwenyezi Mungu na teknolojia ,bado unataka ushahidi?
Cha kushangaza sasa , Ngo'mbe ndio anang'ang'ania anyonywe na Kupe!! Hakuna mzanzibar hata mmoja anayetaka muungano,mnawaumiza wazenji waachieni nao wawe wanakopa IMF na WB sio mpaka nyie mkope kisha muwape kama hisani.Nilitaka kupita kimyaaa ila kwa ushuzi huu siachi kunena. Nauliza tu swali; Tangu lini kupe kasema kuwa, huyu ng'ombe ndiye ananinyonya? Kwa akili yako unaona kuwa Tanganyika inaweza kumnyonya zanzibari?? Nenda kapime macho, huenda unasumbuliwa na mtoto jicho.
Nadhani imefika wakati waelezwe kuwa, toto ukilibeba mgongoni nalo likalilia kushuka basi liachie lishuke hata kama ni kati ya mto. Wadhani mikopo ndo imetufikisha uchumi wa kati?Cha kushangaza sasa , Ngo'mbe ndio anang'ang'ania anyonywe na Kupe!! Hakuna mzanzibar hata mmoja anayetaka muungano,mnawaumiza wazenji waachieni nao wawe wanakopa IMF na WB sio mpaka nyie mkope kisha muwape kama hisani.
Vunjeni Muungano haraka! Mnawaumiza WAZENJI.Nadhani imefika wakati waelezwe kuwa, toto ukilibeba mgongoni nalo likalilia kushuka basi liachie lishuke hata kama ni kati ya mto. Wadhani mikopo ndo imetufikisha uchumi wa kati?
Mbona inasemekana anashindwa kila uchaguzi? Sasa hv atawezaje?CCM wamerahisisha ushindi wa Maalim Seif Zanzibar
Kwani ulitengenezwa kwa saruji hata sasa uvunjike? Hapakuwepo maandishi bali maelewano hivyo tuelewane pia kuachana. Acheni kelele za churaVunjeni Muungano haraka! Mnawaumiza WAZENJI.
Inahitaji maridhiano ya pande zote mbili ,wanzanzibari hawataki ila wabara wanaung'ang'ania.Kwani ulitengenezwa kwa saruji hata sasa uvunjike? Hapakuwepo maandishi bali maelewano hivyo tuelewane pia kuachana. Acheni kelele za chura
Nilitaka kuuliza kwani huyo Maalim Seif anataka kuifanyia nini Zanzibar ambacho mwinyi hawezi?Ukiona baba yako anawagawia watoto wa Jirani Urithi ujue wewe ni mvuta bangi na mla Unga.
Akikupa Urithi utauza upate hela ya kulamba Unga.
++++++++++++++++++++++++++
du!!!
Miaka yote huwa anashinda ila wanampora ushindi wake.CCM wamerahisisha ushindi wa Maalim Seif Zanzibar
Tulichanjiana damu na udongo pia hahaaaKwani ulitengenezwa kwa saruji hata sasa uvunjike? Hapakuwepo maandishi bali maelewano hivyo tuelewane pia kuachana. Acheni kelele za chura
Hili suala si lakuchukulia poa. Limebeba jambo zito sana na litakujukujulikana huko mbele ya safari.yakhe haki imetendeka, chama ni cha muungano! kura zimepigwa kwa uwazi mshindi kapatikana mwenye ushawishi zaidi!! kwanini kule Zenji walimpa form ya urais Mwinyi kama si mwenzao? kama kosa basi ni lao machogo tunapeta tu ati!!
Maridhiano tayari maalim Seif hana tabu tunaoumia ni sisiInahitaji maridhiano ya pande zote mbili ,wanzanzibari hawataki ila wabara wanaung'ang'ania.
Jecha no.2 atakuwa wapi? Labda nikisahihishe kidogo, Maalim atapata kura nyingi lkn hatoshinda.CCM wamerahisisha ushindi wa Maalim Seif Zanzibar