aise
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 5,175
- 16,488
- Thread starter
- #41
Achana nao mkuu.Huyo ni mvivu,kuna madogo wapo huku age 17-23 wanagonga debe33(ndoo) daily na ndoo ni tsh300,Kila siku wanaondoka na elfu 10
Kama mpambanaji kweli hauwezi kushindwa kugonga ndoo 30+
Baada ya kuona wanaleta ubishi nimekaa kimya.