Huu hapa ni Mkutano wa Tundu Lissu Mjini Singida

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Tumeona ni vema kuweka matukio machache ya Mkutano huu uliofanyika Jana Mjini Singida , ambao ulihutubiwa na Tundu Lissu baada ya Maandamano Makubwa ya kupinga Ugumu wa Maisha na sheria mbovu za Uchaguzi .

Tunaomba radhi kwa kuchelewesha Uhondo huu , hii ni kwa sababu ya Uwingi wa Habari za Chadema , ambazo zinatuzidi nguvu kuziripoti kwa wakati mmoja , nadhani wote sasa mnafahamu kwamba Chadema ndio habari ya Nchi hasa kwenye wiki hii ya Maandamano

 
Kwa hiyo ulitakaje haswa ? Mijitu mingine bana hadi kichefuchefu
 
NA nyie chadema mmeanza kubeba watu kwa mafuso!, hatari sana, mafuso hayo hayaondoki mpaka yawarudishe wananchi yalipowatoa πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡
 
sema kamkutano πŸ’

alalamika sana bila hoja wala mbadala wa anacholalamikia. lugha na namna anavyo zungumza vimekosa staha na kuthibitisha kwamba , the gentleman is completely not fit in everything concerning leadership.

na hivyo wenye hekima na busara wanamsikitiakia tu na kumwacha ajifurahishe but he is going no where politically speaking πŸ’
 
Nimeona maroli sita kwa mbali nafikiri hayakuleta ng'ombe mkutanoni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…