Huu hapa ni Mkutano wa Tundu Lissu Mjini Singida

CCM inajamba haswa
 
alalamika sana bila hoja wala mbadala wa anacholalamikia. lugha na namna anavyo zungumza vimekosa staha
Hilo neno "STAHA" mmeliharibu sana maana yake halisi. Sasa mnalifanya liwe na maana ya tofauti kabisa.
Mnataka "lugha ya staha" ili muendeleze ULAGHAI wenu. Mnatumia lugha nyororo kuwapumbaza watu, wakati matendo yenu ni maovu.
Acha lugha ngumu itumike ili wananchi waelewe hadaa zenu mnazowafanyia.
 
Mwalimu uko likizo nini πŸ’
 
Weka mkutano wa Lipumba Iringa
 
Je wasemaje kuhusu ule mkutano wa Babati?
 
Tundu Lissu ni mtu wa kutumwa tu, hafai kwa maamuzi ya mwisho. Tofauti yake na Magufuli ni ndogo sana. Wote ni madikteta na bongo zao zinapata moto
 
Lissu ameichoka sana Chadema, hata nywele hachani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…