Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Umeshawahi kuuona upepo?Na miaka yangu 34 hii sijawahi kumuona jini na sisi mimi mpaka rafiki na ndugu nafikiri na majirani pia .Natamani niwaone hao majini tena ikiwezekana niwapapase washeri zao kenge hao.
Hizi material unazipata kwenye kitabu gani?Majini na Alliens ni tofauti.
Hawa Alliens ni humanoid creatures( human -like creatures) ambao wanaishi katika sayari nyingine na makundi nyota (galaxies) nyingine.
KWA information nilizo nazo, binadamu na viumbe wote waliopo katika sayari ya dunia walikuwa genetically engineered ( created ) kwenye constellation inayo julikana kama ALPHA CENTAURI.
Hapo Alpha CENTAURI ndipo binadamu wa KWANZA walitengenezwa na kisha wakaja kuwa planted hapa duniani.
Umbali wa kutoka duniani HADI ALPHA CENTAURI KWA spidi ya Mwanga ni kilometa 4. Maana yake ni kwamba KWA kutumia chombo chenye spidi ya Mwanga itamchukua mwanadamu miaka elfu 6 na mia tatu kufika Alpha Centauri.
Binadamu alitengenezwa ALPHA CENTAURI lakini raw materials zilizo tumika Kumtengeneza binadamu zilitoka hapa hapa duniani.
Ndo maana inasema ADAM was created from the earth.
Mwili wa binadamu haujatengenezwa kwa udongo kama watu wengi walivyo aminishwa isipokuwa umetengenezwa KWA kutumia mali ghafi zilizo toka kwenye udongo.
Ni SAWA na kusema nguo uliyo vaa imetoka kwenye udongo. Ukweli ni kwamba nguo yako haitokani na udongo ila imetokana na pamba ambayo imelimwa kwenye udongo.
Ndivyo ilivyo KWA binadamu. Mali ghafi zilizo tumika Kumtengeneza mwanadamu zimetoka kwenye udongo. Mfano meno na mifupa( imetokana na aina ya mwamba ambao unapatikana hapa hapa duniani) nywele zimetokana na aina ya majani ( grasses)
Etc etc.
Turudi KWA Alliens
Wakati Mungu anawatengeneza Adam na Hawa, alitengeneza mabilioni ya Adam na Hawa.
Miongoni mwao alikuja kuwapanda hapa kwenye sayari ya dunia na wengine aliwapanda kwenye sayari tofauti tofauti...
Hao walio pandwa kwenye sayari tofauti tofauti ndio hao ambao tuna waita Alliens.
Miongoni mwao wapo ambao wameendelea kiteknolojia kuliko sisi na miongoni mwao, wapo ambao sisi tumeendelea kiteknolojia kuliko wao.
Majini ni tofauti.
Hapa kwenye paka umechemka, paka wa Dar wanatumiwa sana na wachawi, Fanya research yako upya.
Nikumbushe mchana around saa saba nitaelezea maana yakeMkuu,, ni hivi juzi tu Jumatatu nilikua natoka msikitini kuswali ile swala ya jioni saa 12 (maghrib) nimevaa zangu kanzu safi, kabla sijafikia geti la nyumba ninayoishi akapita paka mwenye rangi ya brown and white kwenye miguu yangu kwa speed flani dizain kama alikua ananikimbilia mimi,, mpaka nikastuka.
vipi hiyo imekaaje mkuu
Elimu hii unaweza kutengeneza Super jumbo inayokwenda Marekani kwa dakika 5 tu.Hivi hii Elimu inaweza kutengeneza drones,au ni abrakadabla?
sawa mkuu,,nitakukumbushaNikumbushe mchana around saa saba nitaelezea maana yake
Hapana mkuu, nataka niyatambue maeneo yenye majini ili niyakwepeWewe ni Jini?? Mwenyewe kuna sehemu inaitwa Magomeni hii ndo majini wakutosha
Sijawahi ila nimeshawahi kuuhisi .Vip jini anafanana na upepo?Umeshawahi kuuona upepo?
Asante sana mkuu nmeelewaMajini na Alliens ni tofauti.
Hawa Alliens ni humanoid creatures( human -like creatures) ambao wanaishi katika sayari nyingine na makundi nyota (galaxies) nyingine.
KWA information nilizo nazo, binadamu na viumbe wote waliopo katika sayari ya dunia walikuwa genetically engineered ( created ) kwenye constellation inayo julikana kama ALPHA CENTAURI.
Hapo Alpha CENTAURI ndipo binadamu wa KWANZA walitengenezwa na kisha wakaja kuwa planted hapa duniani.
Umbali wa kutoka duniani HADI ALPHA CENTAURI KWA spidi ya Mwanga ni kilometa 4. Maana yake ni kwamba KWA kutumia chombo chenye spidi ya Mwanga itamchukua mwanadamu miaka elfu 6 na mia tatu kufika Alpha Centauri.
Binadamu alitengenezwa ALPHA CENTAURI lakini raw materials zilizo tumika Kumtengeneza binadamu zilitoka hapa hapa duniani.
Ndo maana inasema ADAM was created from the earth.
Mwili wa binadamu haujatengenezwa kwa udongo kama watu wengi walivyo aminishwa isipokuwa umetengenezwa KWA kutumia mali ghafi zilizo toka kwenye udongo.
Ni SAWA na kusema nguo uliyo vaa imetoka kwenye udongo. Ukweli ni kwamba nguo yako haitokani na udongo ila imetokana na pamba ambayo imelimwa kwenye udongo.
Ndivyo ilivyo KWA binadamu. Mali ghafi zilizo tumika Kumtengeneza mwanadamu zimetoka kwenye udongo. Mfano meno na mifupa( imetokana na aina ya mwamba ambao unapatikana hapa hapa duniani) nywele zimetokana na aina ya majani ( grasses)
Etc etc.
Turudi KWA Alliens
Wakati Mungu anawatengeneza Adam na Hawa, alitengeneza mabilioni ya Adam na Hawa.
Miongoni mwao alikuja kuwapanda hapa kwenye sayari ya dunia na wengine aliwapanda kwenye sayari tofauti tofauti...
Hao walio pandwa kwenye sayari tofauti tofauti ndio hao ambao tuna waita Alliens.
Miongoni mwao wapo ambao wameendelea kiteknolojia kuliko sisi na miongoni mwao, wapo ambao sisi tumeendelea kiteknolojia kuliko wao.
Majini ni tofauti.
Hahahaha pumbafUnanipangia?
UpangaUzi mtamu sana huu..
Nautabiria kufikisha views 1k..
On serious note, tupe jina la hilo eneo lenye majini wa kutosha japo kwa codes, tupe code tupambane nayo...
Sasa byie mnajifanya mmepata hayo maarifa hamsaidii nchi, Bora hizi story zingesimuliwa na wamarekani au wachina au wajapan technology waliyonayo Ingekua supporting evidence.Kwa UCHACHE tu ni kwamba TANZANIA Wanaiita NCHI ya MAZIWA MAKUU
waliposema BINADAMU wa KWANZA aliishi TANZANIA hawakukosea
TANZANIA ina HISTORIA kubwa na ya kusisimua katika HIDDEN WORD
Nastajabu aliyeichora RAMANI ya TANZANIA je alikuwa anajua haya yote
mkuu LANGO jingine au wewe waita SHORTCUT YA VENUS lipo KIGOMA pia but ni kwa majini wa low PROFILE sana
ukitaka la HIGH PROFILE ndio lipo DAR ESALAAM
lkn pia Lango JINGINE lipo MWANZA
kwa wasiofahamu kunakuwa na mkutano Mkubwa wa KIDUNIA unaohusisha kila SECTA unayoijua wewe katika kujadili MUHKTASARI wa DUNIA katika NYANZA zote unazozifahamu wewe
na hata ukanda wetu wa MAZIWA MAKUU tunatoa MUWAKILISHI
hata hilo TAIFA mnalosema limeendelea KITEKINOLOJIA [emoji1148] linatoa WAWAKILISHI pia
NI kweli kila SAYARI unayoifahamu wewe ina VIUMBE wanaishi kulingana na HALI husika ya hiyo SAYARI
mfano Zebaki majini wanoishi katika SAYARI hiyo wapo katika mfumo wa cheche sijui niseme spock lkn wapo katika mfumo wa moto
kuna mengi mengi mno kuhusu
Ukitaka kuyajua yote utaonekana Chizi
same walivyokuwa wanadhani me ni chizi
ni kama unavyomuona huyu bwana LIKUD unaweza ukahisi km anabwabwanya au alokosa maendeleo asikwambie mtu MAARIFA makubwa lazima uyapate kwa MAJINNI utake usitake ipo hvyo
niishie hapa tu kwa uchache
Brother Kuna mtu siku tulipita sehem usiku tukakutana na mdada mrembo sana kajifunga wrap skirt na top lkn alivotupita mim nlisikia nmezisimka mno na vinyweleo vimechachamaa sanaMajini na Alliens ni tofauti.
Hawa Alliens ni humanoid creatures( human -like creatures) ambao wanaishi katika sayari nyingine na makundi nyota (galaxies) nyingine.
KWA information nilizo nazo, binadamu na viumbe wote waliopo katika sayari ya dunia walikuwa genetically engineered ( created ) kwenye constellation inayo julikana kama ALPHA CENTAURI.
Hapo Alpha CENTAURI ndipo binadamu wa KWANZA walitengenezwa na kisha wakaja kuwa planted hapa duniani.
Umbali wa kutoka duniani HADI ALPHA CENTAURI KWA spidi ya Mwanga ni kilometa 4. Maana yake ni kwamba KWA kutumia chombo chenye spidi ya Mwanga itamchukua mwanadamu miaka elfu 6 na mia tatu kufika Alpha Centauri.
Binadamu alitengenezwa ALPHA CENTAURI lakini raw materials zilizo tumika Kumtengeneza binadamu zilitoka hapa hapa duniani.
Ndo maana inasema ADAM was created from the earth.
Mwili wa binadamu haujatengenezwa kwa udongo kama watu wengi walivyo aminishwa isipokuwa umetengenezwa KWA kutumia mali ghafi zilizo toka kwenye udongo.
Ni SAWA na kusema nguo uliyo vaa imetoka kwenye udongo. Ukweli ni kwamba nguo yako haitokani na udongo ila imetokana na pamba ambayo imelimwa kwenye udongo.
Ndivyo ilivyo KWA binadamu. Mali ghafi zilizo tumika Kumtengeneza mwanadamu zimetoka kwenye udongo. Mfano meno na mifupa( imetokana na aina ya mwamba ambao unapatikana hapa hapa duniani) nywele zimetokana na aina ya majani ( grasses)
Etc etc.
Turudi KWA Alliens
Wakati Mungu anawatengeneza Adam na Hawa, alitengeneza mabilioni ya Adam na Hawa.
Miongoni mwao alikuja kuwapanda hapa kwenye sayari ya dunia na wengine aliwapanda kwenye sayari tofauti tofauti...
Hao walio pandwa kwenye sayari tofauti tofauti ndio hao ambao tuna waita Alliens.
Miongoni mwao wapo ambao wameendelea kiteknolojia kuliko sisi na miongoni mwao, wapo ambao sisi tumeendelea kiteknolojia kuliko wao.
Majini ni tofauti.
JE MAJINI NI VIUMBE WABAYA?
JIBU NI HAPANA?.Majini sio viumbe wabaya. Ila miongoni mwao wapo majini waovu.
Majini kwa ujumla.wao ni viumbe Wema ila miongoni mwao wapo majini wabaya.
Majini walio Wema ni wengi kuliko majini walio wabaya.
Sisi tunafikiri majini wabaya ni wengi kuliko majini Wema KWA sababu binadamu Wana interact zaidi na majini wabaya kuliko Wema.
Kama Ng'ombe wangekua wanaongea halafu akatokea n'gombe mmoja aka shuhudia kile binadamu wanacho wafanyia ng'ombe pale vingunguti basi ng'ombe huyo akienda kwao u ng'ombeni atapeleka taarifa kwamba binadamu ni viumbe waovu sana.
Majini Wema ni wengi sana kuliko majini wabaya na wanachukizwa sana na namna majini wabaya wanavyo haribu taswira ya majini miongoni mwa binadamu.
Uliza chochote kuhusu majini
SwaliSoma Kitabu cha Samuel wa KWANZA sura yote ya 28. ( 1 Samuel 28)
Noma sana!mleta mada wewe waambie watu ukweli sehemu yenye majini kibao ni kuanzia Ferry Mikadi pasua beach yote ya malaika nenda mpaka mji mwema shuka Kibugumo Geza muongozo nenda Mbutu rudi Kimbiji mpaka Pemba mnazi huko ndio kwenye vilinge vyenyewe vya majini au ujinini msihangaike kuumiza kichwa kua ni wapi