Huu hapa ukweli kuhusu majini (eneo ambalo wanapatikana kwa wingi jijini Dar es Salaam)

LIKUD IKIWA JINI ANA NGUVU KUBWA INAKUWAJE MTU ANAENDA KWA MGANGA ILI AONDOLEWE JINI?
Nimesema majini kama viumbe kwa ujumla wao Wana Miliki teknolojia ambayo ni kubwa kuliko wanadamu. Haimaanishi kwamba KILA jini ana maarifa makubwa kuliko KILA binadamu.

Mganga anapo mtoa jini alie ndani ya mtu maana yake ni kwamba jini wa huyo mganga ana maarifa makubwa kuliko jini alie ndani ya mtu
 
Nakuja na majibu saa saba
 
Huna tofaut na wagang watakuambia ooh dunia inambl meng macho yetu hayaon ukipewa dawa utaona maajab meng mara kunawatu walishakufa wanatembes ukiwaambia nipe dawa nione anaanza blaa blaa et had ujikinge
 
Noma sana!
 
Eeh hapo kuelezea kuhusu kisiwa Cha ukala kwa nn ndege hazipiti usawa huo pia nasubil majibu
 

Hatakama ni chai apa nikiri umenishika mkuu nimekukubali ebu tupe madini tusafishe bongo.
 
Mtoa mada heshima kwako....!
Kwa uelewa wako juu ya Maandishi yako, naomba nikuulize kuhusu Mbao, Ndefu, Fupi, Madirisha, Mfugaji na Oil Chafu....!
 
Una nuru ya kutambua mambo mabaya katika ulimwengu wa roho na hiyo nguvu huimarishwa zaidi kwa maombi ya mara kwa mara, kusali kwa imani na kuakisi tabia ya Mungu kivitendo (UPENDO).

Ukienda kinyume tu na hiyo tabia ndipo basi tena hiyo nuru yako hupotea mazima na kuirudisha huwa na gharama zaidi kuliko ungeiishi vyema awali kama ilivyokuwa inatakiwa.

Mfano;

Dhambi ya uzinzi hupeperusha sana hiyo nuru.

1 WAKORINTHO 6:18-20.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Nzuri sana hiii elimu na kujua maisha ya binadamu na majini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…