monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,781
- 13,444
Noma sana!Umekosa. Si bora hata ungesema pwani ya mikocheni wanakuwagepo siku kadha wa kadha nyakati za usiku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Noma sana!Umekosa. Si bora hata ungesema pwani ya mikocheni wanakuwagepo siku kadha wa kadha nyakati za usiku
Nimesema majini kama viumbe kwa ujumla wao Wana Miliki teknolojia ambayo ni kubwa kuliko wanadamu. Haimaanishi kwamba KILA jini ana maarifa makubwa kuliko KILA binadamu.LIKUD IKIWA JINI ANA NGUVU KUBWA INAKUWAJE MTU ANAENDA KWA MGANGA ILI AONDOLEWE JINI?
Nakuja na majibu saa sabaBrother Kuna mtu siku tulipita sehem usiku tukakutana na mdada mrembo sana kajifunga wrap skirt na top lkn alivotupita mim nlisikia nmezisimka mno na vinyweleo vimechachamaa sana
Hao watu nlikua nao wakasema huyo dada atakua jini nlichokuja kujiuliza ni hiki ina maan majini yana ngozi, na yanafanania kabisa kabisa kama binadamu?
Tukio la pili kuna sehem hapa Mwanza ni mjini kabisa Kuna sehem nlikua naishi ni karibu na ziwa kabisa nyuma ya nyumba Kuna garden hadi kulifikia ziwa ni umbali kidg
Kuna mfanyakazi pale aliokotoka bracelet cha ushanga lkn cha ajabu kila aliekua anamuonyesha analazimisha apewe akampa mdada hivi huyo dada sikumuona kama week tatu akaja kutuelezea hv alienda kanisani akiwa amevaa Ile bracelet akapandisha majini yanasema tu naomba alikotuokota aturudishe huko huko la si hivyo atajuta kila akiombewa majin yanasema hvo ndo kuulizwa akasema Kuna mtu aliokotoka kidude akampa yeye basi zoezi la kukirudisha ikabid wampe yule alokiokota akawa karudisha na mapepo yakaishia hapo
Kitu nachojiuliza ni hiki inakuaje majini yakae kweny kidude tena cha shanga tu na je kwa eneo kama lile ni jini lilikua linapunga upepo au likaamua kujibadilisha kama kile kidude au mambo ya namna hyo yanakua yamelengwa kwa mtu husika?
Maan nakumbuka pia mim nlikua napenda sana kukaa hapo garden usiku nalitazama ziwa lkn nilikua na hisia kua nmekaa na mtu lkn aonekani na kuna siku usiku nmelala ikawa kama nipo ndotoni lkn najielewa kabisa kabisa naona watu kama ishirini wamenizinguka kweny neti wanataka mtoto
Na kuna siku tena nmeamka nkaona vidudu vingi mno kitandani nlivowasha taa hakuna kitu
Nikawa nafanya maombi mara nyingi sana siku nyingine tukiwa kweny maombi kuna vitu naona kabisa na Kuna kipindi nyumbani walikua wakija watu kwa bibi angu kubana nguo Kuna hisia naipata huyo sio mtu mzuri naanza kusali badae namuita bibi namwambia huyo mtu sio mzuri mwambie hizo nguo zake asiziiijie badae tuone atasemaje na kweli bibi akienda kumwambia hvo huyo mtu anasema njia yenyewe nilokuja nayo hata siikumbuki kabisa
Yani mambo ni mengi mno hata ndani wanakujaga dada wa kazi mchawi asubui nkiamka namwambia usiku ulikua unafanya uchawi ndani kwangu anaomba kuondoka siku hyo hyo
Nishajiuliza sana nina nn hadi niwe naona mavitu ya kutisha lkn sielewi
Noma sana!Sio Zanzibar tu. Tanga, Dar, Lindi, Mtwara na India.
But mkuu nimesema kwa kutumia the latest human technology chombo kutoka duniani kwenda Venus kitatumia siku 109.
Hiyo short-cut way imekuwa powered na hiyo technology of the djinns kama nilivyo sema hapo awali kwamba hawa majini ni viumbe ambao wapo more advanced in technology kuliko binadamu so KWA kutumia technology yao umbali kutoka duniani HADI venus ni dakika saba.
Hiyo portal inayo connect hiyo short cut Kati ya Venus and earth ipo BAHARINi upande wa bahari ya Hindi.
Baadae nitaelezea na spiritual relevance of the bermuda triangle.
Nitaelezea kuhusu mlima kilimanjaro na Mlima Himalaya ( Everest)
Nitatoa sababu kwanini katika elimu ya kijini Mlima Kilimanjaro ndio inaitwa Mlima mrefu kushinda milima yote duniani
Nitaelezea Mlima Kilimanjaro una wakilisha kitu GANI hapa duniani.
Nitaelezea milima ina maanisha kitu GANI katika ulimwengu wa majini.
Nitaeleza kuhusu uwepo wa Mlima ndani ya ziwa victoria ( ambao umefunikwa na maji) na wenye upanda wa kutoka eneo la kisiwa cha ukara HADI Uganda na kwanini ndege hazipiti karibu na usawa wa eneo hilo na endapo zitapita kitu GANI kitatokea.
SawA asanteNakuja na majibu saa saba
Eeh hapo kuelezea kuhusu kisiwa Cha ukala kwa nn ndege hazipiti usawa huo pia nasubil majibuSio Zanzibar tu. Tanga, Dar, Lindi, Mtwara na India.
But mkuu nimesema kwa kutumia the latest human technology chombo kutoka duniani kwenda Venus kitatumia siku 109.
Hiyo short-cut way imekuwa powered na hiyo technology of the djinns kama nilivyo sema hapo awali kwamba hawa majini ni viumbe ambao wapo more advanced in technology kuliko binadamu so KWA kutumia technology yao umbali kutoka duniani HADI venus ni dakika saba.
Hiyo portal inayo connect hiyo short cut Kati ya Venus and earth ipo BAHARINi upande wa bahari ya Hindi.
Baadae nitaelezea na spiritual relevance of the bermuda triangle.
Nitaelezea kuhusu mlima kilimanjaro na Mlima Himalaya ( Everest)
Nitatoa sababu kwanini katika elimu ya kijini Mlima Kilimanjaro ndio inaitwa Mlima mrefu kushinda milima yote duniani
Nitaelezea Mlima Kilimanjaro una wakilisha kitu GANI hapa duniani.
Nitaelezea milima ina maanisha kitu GANI katika ulimwengu wa majini.
Nitaeleza kuhusu uwepo wa Mlima ndani ya ziwa victoria ( ambao umefunikwa na maji) na wenye upanda wa kutoka eneo la kisiwa cha ukara HADI Uganda na kwanini ndege hazipiti karibu na usawa wa eneo hilo na endapo zitapita kitu GANI kitatokea.
Being not a prover does not excuse you from being coherent.Ndugu yangu, kwa miaka mingi nimeona posts zako..you are not a believer, likewise i'm not a Prover.
This is a contradiction.Nimeongea vitu vingi sana hapo kaka. Taja kimoja kimoja specific tuanzie hapo. I give 💯% of each and every word that constitute my thread above
😳😳😳Nautabiria kufikisha views 1k..
Aisee....
jamaa ananiambia eti niache uoga daah [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sio Zanzibar tu. Tanga, Dar, Lindi, Mtwara na India.
But mkuu nimesema kwa kutumia the latest human technology chombo kutoka duniani kwenda Venus kitatumia siku 109.
Hiyo short-cut way imekuwa powered na hiyo technology of the djinns kama nilivyo sema hapo awali kwamba hawa majini ni viumbe ambao wapo more advanced in technology kuliko binadamu so KWA kutumia technology yao umbali kutoka duniani HADI venus ni dakika saba.
Hiyo portal inayo connect hiyo short cut Kati ya Venus and earth ipo BAHARINi upande wa bahari ya Hindi.
Baadae nitaelezea na spiritual relevance of the bermuda triangle.
Nitaelezea kuhusu mlima kilimanjaro na Mlima Himalaya ( Everest)
Nitatoa sababu kwanini katika elimu ya kijini Mlima Kilimanjaro ndio inaitwa Mlima mrefu kushinda milima yote duniani
Nitaelezea Mlima Kilimanjaro una wakilisha kitu GANI hapa duniani.
Nitaelezea milima ina maanisha kitu GANI katika ulimwengu wa majini.
Nitaeleza kuhusu uwepo wa Mlima ndani ya ziwa victoria ( ambao umefunikwa na maji) na wenye upanda wa kutoka eneo la kisiwa cha ukara HADI Uganda na kwanini ndege hazipiti karibu na usawa wa eneo hilo na endapo zitapita kitu GANI kitatokea.
Una nuru ya kutambua mambo mabaya katika ulimwengu wa roho na hiyo nguvu huimarishwa zaidi kwa maombi ya mara kwa mara, kusali kwa imani na kuakisi tabia ya Mungu kivitendo (UPENDO).Brother Kuna mtu siku tulipita sehem usiku tukakutana na mdada mrembo sana kajifunga wrap skirt na top lkn alivotupita mim nlisikia nmezisimka mno na vinyweleo vimechachamaa sana
Hao watu nlikua nao wakasema huyo dada atakua jini nlichokuja kujiuliza ni hiki ina maan majini yana ngozi, na yanafanania kabisa kabisa kama binadamu?
Tukio la pili kuna sehem hapa Mwanza ni mjini kabisa Kuna sehem nlikua naishi ni karibu na ziwa kabisa nyuma ya nyumba Kuna garden hadi kulifikia ziwa ni umbali kidg
Kuna mfanyakazi pale aliokotoka bracelet cha ushanga lkn cha ajabu kila aliekua anamuonyesha analazimisha apewe akampa mdada hivi huyo dada sikumuona kama week tatu akaja kutuelezea hv alienda kanisani akiwa amevaa Ile bracelet akapandisha majini yanasema tu naomba alikotuokota aturudishe huko huko la si hivyo atajuta kila akiombewa majin yanasema hvo ndo kuulizwa akasema Kuna mtu aliokotoka kidude akampa yeye basi zoezi la kukirudisha ikabid wampe yule alokiokota akawa karudisha na mapepo yakaishia hapo
Kitu nachojiuliza ni hiki inakuaje majini yakae kweny kidude tena cha shanga tu na je kwa eneo kama lile ni jini lilikua linapunga upepo au likaamua kujibadilisha kama kile kidude au mambo ya namna hyo yanakua yamelengwa kwa mtu husika?
Maan nakumbuka pia mim nlikua napenda sana kukaa hapo garden usiku nalitazama ziwa lkn nilikua na hisia kua nmekaa na mtu lkn aonekani na kuna siku usiku nmelala ikawa kama nipo ndotoni lkn najielewa kabisa kabisa naona watu kama ishirini wamenizinguka kweny neti wanataka mtoto
Na kuna siku tena nmeamka nkaona vidudu vingi mno kitandani nlivowasha taa hakuna kitu
Nikawa nafanya maombi mara nyingi sana siku nyingine tukiwa kweny maombi kuna vitu naona kabisa na Kuna kipindi nyumbani walikua wakija watu kwa bibi angu kubana nguo Kuna hisia naipata huyo sio mtu mzuri naanza kusali badae namuita bibi namwambia huyo mtu sio mzuri mwambie hizo nguo zake asiziiijie badae tuone atasemaje na kweli bibi akienda kumwambia hvo huyo mtu anasema njia yenyewe nilokuja nayo hata siikumbuki kabisa
Yani mambo ni mengi mno hata ndani wanakujaga dada wa kazi mchawi asubui nkiamka namwambia usiku ulikua unafanya uchawi ndani kwangu anaomba kuondoka siku hyo hyo
Nishajiuliza sana nina nn hadi niwe naona mavitu ya kutisha lkn sielewi
Nzuri sana hiii elimu na kujua maisha ya binadamu na majini.Katika ulimwengu wa roho, Dar es salaam ni jiji ambalo wanaishi binadamu na majini..
Majini ni nini?
In my personal opinion which is based upon my personal understanding of the spiritual world, majini ni viumbe ambao kwa ujumla wao wapo more advanced in technology kuliko binadamu KWA ujumla wetu.
Ninapo sema kwa ujumla wao, majini wapo more advanced in technology kuliko binadamu simaanishi kwamba majini wote wapo more advanced in " technology" kuliko binadamu wote.
La hasha .
Ni SAWA na tunaposema Marekani ndio taifa lililo endelea kiteknolojia kuliko mataifa yote duniani, hatumaanishi kwamba every individual american is more advanced in technology than every person who is not an American.
La hasha. Wapo raia kutoka nje ya Marekani ambao wao KWA sababu ya mahaba yao kuhusu teknolojia wame yatafuta KWA kina maarifa kuhusu teknolojia kadha wa kadha na uki walinganisha katika ufahamu wao juu ya teknolojia na wamarekani wengi, utakuta raia hao wa mataifa nje ya Marekani Wana ufahamu mkubwa kuhusu teknolojia kuliko idadi kubwa tu ya wamarekani.
Wapo wahindi ambao wame ajiriwa Marekani kama wataalamu wa IT, Nuclear etc.
Vivyo hivyo kwa upande wa majini na binadamu.. Wapo binadamu wengi ambao Wana maarifa mapana kuliko majini...
Ninasema wao majini wameendelea kiteknolojia kuliko binadamu KWA maana ya kwamba uki chukua kiwango cha juu cha teknolojia kinacho milikiwa na majini ukalinganisha na kiwango cha juu cha teknolojia kinacho milikiwa na binadamu BASI kile kiwango cha juu cha teknolojia kinacho milikiwa na majini kipo juu zaidi ya kiwango kinacho milikiwa na binadamu wanao ishi katika sayari ya dunia. ( Nimesema binadamu wanao ishi katika sayari ya dunia kwa sababu ufahamu wangu unaniambia kwamba wapo viumbe wenye kufanana na binadamu " humanoids" ambao wanaishi kwenye sayari na makundi nyota ( galaxies) mengine.
Mungu ali tengeneza a billions of ADAM and EVE couples, ambao ali waplant kwenye mashamba ( sayari) yake mbalimbali yaliyopo katika galaxies tofauti tofauti KWA sababu ambazo nitazielezea wakati mwingine.
Marekani ndio taifa lenye teknolojia ya juu duniani lakini wamarekani wenye access na maamuzi juu ya hiyo teknolojia itumike vipi wanaweza wasizidi elfu mbili.
Vivyo hivyo kwa majini. Pamoja na kwamba Ufalme wa kijini kwa ujumla wake ( kuna falme nyingi sana za kijini ) una hodhi teknolojia ambayo ipo juu kuliko teknolojia tunayo hodhi binadamu lakini majini wenye access na hiyo teknolojia au wanao weza kutumia hiyo teknolojia wapo wachache sana.
Katika.matrilioni ya majini wanao ishi katika sayari ya dunia pamoja sayari mama yao katika mfumo wetu wa jua ( solar system) majini wenye access na teknolojia ya juu ya majini wapo chini ya elfu ishirini.
Sayari mama ya majini katika mfumo wetu wa jua ni VENUS. Huko ndipo yalipo makao makuu ya majini katika ukanda huu wa kinyota.
Majini hawaishi BAHARINI. Tunafikiri majini wanaishi BAHARINI KWA sababu kwenye bahari yetu upande wa bahari ya Hindi ndipo kulipo na short cut ya kwenda kwenye sayari ya Venus.
Duniani yapo maeneo saba katika ulimwengu wa roho ambayo ni njia panda zinazo ikutanisha sayari ya Venus na sayari ya dunia.
Maeneo hayo yapo katika bahari ya Hindi katika mikoa ya Dar es salaam, Tanga,Lindi,Mtwara, eneo la Unguja, Pemba na eneo jingine lipo nchini India.
Katika maeneo hayo ndipo ulipo njia ya short cut kutoka kwenye sayari ya dunia HADI ilipo sayari ya Venus yalipo makao makuu ya majini katika ukanda huu wa kinyota.
Kikawaida/.kisayansi( KWA teknolojia ya binadamu) safari kutoka duniani HADI ilipo sayari ya Venus huchukua siku 109.
Lakini kwa teknolojia ya kijini safari kutoka duniani HADI kwenye sayari Venus kupitia BAHARINI, hutumia dakika saba.
Ndio zile habari ulizo kuwa ukisimuliwa utotoni kwamba mtu akienda bahari saa tisa usiku na mayai saba ya ndege mmoja wa porini yaliyo fanyiwa vitu fulani fulani halafu akatamka Maneno fulani kisha akayatupa mayai hayo BAHARINI BASI bahari hupasuka na huonekana jiji zuri la dhahabu ambalo limeendelea kuliko duniani na kuna viumbe kama watu wanaishi huko plus kuna watu maarufu kutoka duniani wapo huko.
Huko ndipo ambapo wanadamu hupaita kuzimu.
Ndio maana husemwa umbali kutoka duniani HADI kuzimu ni kilometa sifuri.
ITAENDELEA KESHO.
MAHALI AMBAPO MAJINI WANAPATIKANA KWA WINGI JIJINI DAR ES SALAAM.
Jijini Dar es salaam yapo maeneo kumi na moja ambako hawa viumbe majini WANAPATIKANA KWA wingi sana.
Kati ya maeneo kumi na moja lipo eneo moja ambalo viumbe hao hupatikana kea wingi zaidi.
Huko bara Mizimu ni roho za watu walio fariki zamani au majini wa watu walio fariki. Yani kwamba KILA mtu anakuwaga na jini wake kwenye mwili wake. Huyu mtu akifa roho yake hurejea mbinguni lakini huyu jini wake hubaki duniani kuendeleza mahusiano na ndugu wa marehemu.
Lakini kwa washirikina na wachawi wa pwani, mizimu ni majini walio kusanyika sehemu moja kwa wingi.
SASA KWA washirikina na wachawi wa viwango vya juu waliopo jijini Dar es salaam, eneo hili ninalo lisema hujulikana kama Mizimuni (.Sio Kawe Mzimuni)
Huitwa Mizimuni kwa sababu katika eneo hilo kuna.idadi kubwa sana ya majini. There is an active djinn city in the area.
Kama umewahi kupewa dawa yoyote ile ya kichawi ukaambiwa nenda kaichome au kaifanye hivi vile nakadhalika ukafanya hivyo ukiwa ndani ya jiji la Dar es salaam na dawa hiyo isifanye kazi bas probably hukufanya jambo hilo katika eneo ambalo majini wapo active..
Ukifanya uchawi wowote ndani ya eneo hilo uchawi huo hupata majibu ya papo KWA papo.
KWA mfano watu wengi hawajui kuhusu kazi ya mafusho mbalimbali. Kazi kubwa ya mafusho ni kufungua anga la majini husika.
Chochote cha kishirikina unacho kifanya katika eneo hilo hutoa majibu ya papo KWA papo KWA sababu majini wapo active sana katika eneo hilo. Chochote kuanzia mafusho, kafara nakadhalika.
Je ni wapi mahali hapo? Usisumbuke kuni dm KWA sababu sitokwambia chochote ingawa nina pajua.
Ni mwiko kutoa siri hii. Unacho takiwa kufanya ni wewe mwenyewe kuanza kutembelea KILA kata ya jijinla dar es salaam na kufanya hizo kafara au kuchoma mafusho kupingana na siku husika. Mwisho wa siku utapajua ni wapi kupitia majibu utakayo yapata katika sehemu husika.
Kuisaidia tu muda mzuri wa kufanya hivyo ni usiku kuanzia saa tisa.
JE MAJINI HUFA?
Ndio majini HUFA.
JE MAJINI WATAIONA PEPO ?
(Jibu langu halitokani na ulicho fundishwa kwenye dini yako Ila linatokana na ufahamu wangu kuhusu majini)
Majini wote wazuri KWA wabaya hawata iona pepo.
Kwanini?
Pepo wamehaidiwa binadamu tu.
Majini wamenyimwa pepo KWA sababu GANI?
KWA mujibu wa elimu halisi ya majini. Majini wamenyimwa pepo KWA sababu huishi kwa maelfu ya miaka.
KWA mujibu wa elimu ya majini. Viumbe wanao ishi miaka mingi wakisha kufa ndio wamekufa. Hawapewi nafasi ya kuishi tena kwa mara nyingine. KWA hiyo majini na viumbe wengine ambao wanaishi miaka mingi sana hawana pepo KWA mujibu wa elimu ya majini..
Majini walipata wapi teknolojia yao?
Tofauti na watu wengi wanavyo fikiria kwamba eti majini waliumbwa wakiwa na ufahamu wa KILA kitu, majini hawa kuumbwa wakiwa Wana ufahamu wa KILA kitu.
They started with a very humble beginning.
When they start to live in this planet they were as dumb and ignorant as Adam and Eve.
Walijifunza mambo yote wanayo yafahamu leo hii kupitia challenges walizo kutana nazo..
Hata sisi binadamu hatu kuanza kurusha ndege. Tulijifunza kurusha ndege.
Binadamu bado tunayo nafasi ya kujua mambo mengi sana kuhusu hii dunia.
KWA mtazamo wangu. Binadamu watako kuja kuishi hapa duniani miaka elfu kumi ijayo watakuwa wanatucheka binadamu tunao ishi SASA hivi KWA kushindwa kwetu kupata maarifa yakutufanya tuishi milele.
JE MAJINI WANAJUA KILA KITU?
Hapana majini hawajui KILA kitu. Ila miongoni wapo majini wanao jua vitu vingi kutushinda sisi binadamu. Tofauti baina yetu sisi binadamu na majini katika maarifa ni kwamba huyu jini ambae hajui KILa kitu lakini anawajua majini ambao WANAJUA vitu vingi.
Anawajua sio kwamba ana access nao au anaweza ku interact nao.
Ni kama vile wewe unavyo jua kwamba wapo watu wenye teknolojia ya nuclear lakini huna access nao.
Majini wengi hasa hawa wanao interact na waganga na wachawi ni majini wanao toka katika madaraja ya chini sana miongoni mwa majini na wengi wao hawana access na baadhi ya majini walio katika madaraja ya juu.
Wapo binadamu ambao KWA sababu ya maarifa yao Wana access na majini wa madaraja ya juu ambao hawa majini wa madaraja ya chini hawana access nao.
JINSI MAJINI WA UGANGA WANAVYO SHIRIKIANA NA BINADAMU....
Hii naiweka kwenye comment. Usi comment KWANZA mpaka ni ielezee hii