Huu hapa umri wa Bikira Maria wakati anamzaa Yesu

Kule kwenye Uzi wa Ukweli kuhusu majini na sehemu yanakopatikana Kwa wingi dar,vipi kule Uzi hatuendelei nao mkuu LIKUD?
Siendelei nao. I will never give free content any more.
 
Mkuu unayoeleza yana uhalisia kwa dunia ya leo, lakini je unayatoa katika vyanzo gani bhana?

Tunaopenda historia, tunapenda kutandaziwa na evidence ya maandishi ama picha.
Na hili la kuita binti yako: "bikira fulani" hauoni ukakasi?

Inaweza kuwa sahihi,
Binti ni mtoto wa kike
Bin/ Mwana ni mtoto wa kiume

Binti au Msichana ni mtoto wa kike ambaye bado anausichana wake/Bikra. Kwa muktadha wa Bikra/kutokumjua mwanaume.
 
Mkuu unayoeleza yana uhalisia kwa dunia ya leo, lakini je unayatoa katika vyanzo gani bhana?

Tunaopenda historia, tunapenda kutandaziwa na evidence ya maandishi ama picha.
Na hili la kuita binti yako: "bikira fulani" hauoni ukakasi?
Ukiambiwa nenda katuletee bikira utapeleka msichana wa chuo kikuu au msichana wa darasa la tatu?

Generally binti wa miaka 12 kushuka chini huwa anakuwa presumed kuwa bikira unless the otherwise is proved.

So hata bikira maria aliitwa bikira KWA sababu alikuwa katika umri huo (12/13 yrs)


Kulikuwa na bikira wengi na kila mmoja alijulika kwa jina lake.

Mfano kama binti aliitwa Mwamvua basi aliitwa Bikira AITWAE Mwamvua au Bikira Mwamvua.

Kama aliitwa Mwanaharusi BASI obviously aliitwa Bikira AITWAE Mwanaharusi au Bikira Mwanaharusi.

So KWA kuwa aliitwa Mariamu BASI alitambulika kama Bikira AITWAE MARIAMU au Bikira Mariamu au Bikira Maria
 
Mkuu bado una deni na ss upande wa pili ile mada hujamaliza
 
Mnahangaika sana.... Hiii Nini?? Kutaka kuhalalisha ndoa za utotoni??
Kuhamasisha ubakaji na ngono Kwa watoto?? Nini hiki?
 
Kwanini watu wanamsakama Mtume kwa kuoa yule binti
 
Sawa, lakini hiko cheo (title)kwanini mpaka leo ni chake anaendelea tu kukivaa hata baada ya kutuzalia Masihi?
 
Nilikuwa namjibu Mzee Likud kaleta stori za bikira.

Bikra zipo hata mtoto wa kike utakayemzaa atakuwa nayo.
Likud hajaleta mambo ya Bikra Ila anajaribu kutoa Mtazamo wake kuhusu Bikra na ulimwengu uliopita na uliopo.

Anachoelezea ni Jambo halisi kwani kila mwanamke unayemuona aliwahi kuwa Bikra, na wote ambao watakuja watakuwa nazo.

Hivyo ni ishu consistency
 
Onyesha mstari wa biblia unaoonyesha alikua na miaka 13 tofauti na hapo zitakua stori za vijiweni
Na wewe onyesha mstari wa Biblia unao sema " Nenda kasali Mwenge KWA kakobe , au kawe KWA Mwamposa au St.Joseph katoliki".

Najua wewe ni mkristu na huwa unaenda kusali kanisani , kanisa unalo kwenda kusali let's say lipo Mbezi na linaitwa labda " Mlima wa Mungu" SASA utuonyeshe kifungu cha biblia kinacho kuelekeza uende kusali kwenye hilo kanisa
 
Wewe ndio unayewaambia wanyama sehem ya kuingiza mashine ni wapi?
Kuna kitu kinaitwa Silika/nature hiyo mtu hajifunzi ipogo
Usipovuta yale madude akili yako inatulia,

Ila hilo swali limenichekesha sana [emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…