Huu hapa umri wa Bikira Maria wakati anamzaa Yesu

Huu hapa umri wa Bikira Maria wakati anamzaa Yesu

Hakuna magumashi hapo mkuu ni kweli Yesu ana wadogo zake ambao ni watoto wa Yusufu kwa Maria
Huwezi kutowa jibu la kilejaleja kama kweli unafahamu na hili na ungeweka reference umetowa wapi.

Ndivyo watu intellectual wana jibu maswali.
 
Marko 6:3
Unajuwa maana ya maumbu? halafu hao Yakobo na Simon ni siblings tu.

Nilidhani unafahamu kwa hakika je Yusufu alizaa na Mariam? Je Watoto hao ni kina nani?

Yakobo na Simon siyo Watoto wa Maria.

Tunaposema wewe ni magumashi uwe unatuelewa.
 
Isome kwa kiingereza.
 
Attachments

  • Screenshot_20230818-100816.png
    Screenshot_20230818-100816.png
    81.4 KB · Views: 4
Hii ndio verse gani? Unaokota okota tu kila takataka mtandaoni ndio source yako?

Na Mimi nikuletee ushahidi wa namna hii jinsi Vatican ilivyoanzisha dini ya kiislamu?

Kumbe wewe bado upo kwenye level ya " dini yangu ni nzuri kushinda dini yako"

Kama still bado upo kwenye hiyo level then I don't know anything that me and u can talk about cause ur future is in my past.
 
Back
Top Bottom