Huu hapa Wasifu wa IGP wa Kenya Joseph Boinett

Huu hapa Wasifu wa IGP wa Kenya Joseph Boinett

Tanzania sio kwamba hawana adui kwa bahati, wanaishi kimkakati. Mpaka hapo sijaona CV Bali academic history . ujuzi sio vyeti ni uwezo wa kutenda.
Mkuu nimegundua hapa JF kuna wanafunzi wengi sana! Hapo kwa huyo IGP wa Kenya sijaona kabisa cha maana zaidi ya academic history tu. Sijaona historia yake ya utendaji amefanya nini katika muda wake kazini. Mtu kama IGP wa nchi nategemea kuona amefanya mambo mazuri makubwa katika professional yake lakini naona ana masters degree mbalimbali tena katika discipline tofauti tofauti hii inaonyesha ni za kuungaunga tu. Kwa ujumla CV yake is too shallow!
 
Umuhimu was elimu huonekana pale elimu inapo tumika,hebu linganisha majibubya igp was tz Sikh alipotekwa MO na majibu igp was nyayo Siku ya tukio LA ugaidi kenya

Umuhimu wa elimu ni weledi katika kazi acha kusifia upuuuzi kisa tu wakenya wamefanya mnaowaashadadia kwa kila kitu. Sasa mnasifia Kenya kuvamiwa na magaidi kila siku hiyo kwenu ndo kazi ya elimu sijui shuleni mlienda kusomea ujinga!
 
Unaijua CV ya Sirro?

Pamoja na hiyo CV wapi Kuna ugaidi na wapi haupo?

Tofauti ya mkenya na mtanganyika ni mkenya atasifia kila kitu cha kwao aidha kizuri au kibaya wakati mtanganyika ataponda kila kitu cha kwao na kusifia kila kitu cha nje hasa Kama kinatoka Kenya mnaiona Kenya kama Ulaya vile.
Acheni ubongo lala wa Tz kwa kumsifia IGP wa Kenya hautowafanya wakenya kusifia mazuri yetu. Yapo mengi mazuri kwetu ila n mwiko kwa mkenya kusifia mambo ya Tz.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe hujui chochote Kenya isingekuwa na intelligence zuri ingekuwa inapigwa kila siku wanajitahidi sana na wanazuia matukio mengi sana yanayotokea ni bahati mbaya tu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Tayari Kenya inapigwa kila siku naweza orodhesha matukio zaidi ya matano ya ugaidi kenya from West Gate, Garrisa, Mombasa na Duit D2 sijui unaongea pumba gani. Nitajie matukio mawili tu ya ugaidi TZ I'll wait. Kama kwako huko ndo kuzuia basi una makasi kichwani. Tatizo mnashadadia kila kitu cha wame zenu wakenya hata mambo ya kipuuuzi kabisa kama kufeli kwa intelijensia yao bado mnaona hiyo ndo kazi ya elimu na weledi katika kazi. Itakua shuleni mlienda kusomea ujinga.

Kenyans look down on you kwa kila kitu hawajawahi na hawawezi kusifia chochote cha TZ kizuri au kibaya ila nyie mnawapapalikia kwa kila upuuuzi kama wamewatolea mahari. Smdh
 
Uzuri sisi tunafundisha vijana wetu kuyatambua mazingira yetu kwanza kisha tunawaelekeza mazingira yaliyo nje ya mipaka yetu kwa weledi. Wewe unampa kazi nyeti mtu ambaye ameishakuwa 'polluted' na mazingira ya nje hajui kwa undani mazingira ya nyumbani kwao unategemea nini?
 
Tuweni serious tunajeshi la polisi.....
Jibu maswali haya kwa utulivu:
1. Nitajie matumizi ya upinde na mshale pamoja na manati.
2.Mara ya mwisho uliona upinde na mshale pamoja na manati sehemu gani?
 
Acha na sisi wakenya pia tumsifie IGP wa Tz. Hapa nakumbuka alipoibuka na picha kutoka kwa kamera za CCTV baada ya Mo Dewji kutekwa. Tena picha zenyewe ziliandamana pamoja na 'negative' pia. [emoji40]
tapatalk_1539968478352-jpeg.904339
 
Yaani huyo aijipii wa kenya ni mtupu sana
Cv yake haioneshi chochote kuhusu upolisi wala ukachero
 
NAME: Joseph Kipchirchir Joseph Boinnet

MARITAL STATUS: Married
AGE: 52

HOME DISTRICT: Keiyo

WORK EXPERIENCE:
1984 TO PRESENT: Police Service and NIS (Analysis and Production Division)

ACADEMIC QUALIFICATIONS
Masters in National Security Policy – Australian National University

Masters of Arts Diplomatic studies – University of Westminster, United Kingdom

Bachelor of Arts International Studies and Diplomacy – Washington International University

International Studies – 21st century Diplomacy at the University of Malta

View attachment 1007791

This guy looks like a kindergarten girl!

So feminine and very short!

Very slow even in talking and commanding!

I guess the former IGP,named Kimaryo or something was the real deal!

This is a woman with female tendencies!
 
Unaijua CV ya Sirro?

Pamoja na hiyo CV wapi Kuna ugaidi na wapi haupo?

Tofauti ya mkenya na mtanganyika ni mkenya atasifia kila kitu cha kwao aidha kizuri au kibaya wakati mtanganyika ataponda kila kitu cha kwao na kusifia kila kitu cha nje hasa Kama kinatoka Kenya mnaiona Kenya kama Ulaya vile.

Sasa mzee Bufa ,yaani unataka Mtanzania asifie kitu hata kama ni kibaya?

Kwanini tunajenga nchi kwenye misingi ya lies?

Sema ukweli daima na acha unafiki,nchi inajengwa kwenye ukweli and not otherwise!

Upumbuvu mwingine wa CCM huu!
 
Yani Kenya inayopigwa na magaidi kila siku leo ina weledi kuliko TZ kwenye mambo ya usalama na bila aibu mnawashadadia kama wamewatolea mahari. Hizo degree zimesaidia Nini?

Sijui mnakula maharage ya wapi nyie viumbe.
Sasa mzee Bufa ,yaani unataka Mtanzania asifie kitu hata kama ni kibaya?

Kwanini tunajenga nchi kwenye misingi ya lies?

Sema ukweli daima na acha unafiki,nchi inajengwa kwenye ukweli and not otherwise!

Upumbuvu mwingine wa CCM huu!
 
Yani Kenya inayopigwa na magaidi kila siku leo ina weledi kuliko TZ kwenye mambo ya usalama na bila aibu mnawashadadia kama wamewatolea mahari. Hizo degree zimesaidia Nini?

Sijui mnakula maharage ya wapi nyie viumbe.

And Tanzania what have you ever done on terrorism?

Any counter terrorism nyie CCM mlishawahi kufanya?

Mention one,I will wait!
 
Ukiona vyaelea vimeundwa. Unakaa unajamba tu kwa amani unadhani ni bahati nasibu

Mbuzi nyie,kadanganyeni watoto!

Na picha zenu za CCTV camera colored zenye kuonesha upande!

Again,CCM ni takataka.....mbuzi mee kabisa!
 
Back
Top Bottom