Vito Corleone
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 2,418
- 5,257
Hongera mkuu hakikisha unakula Hadi mifupa maisha yenyewe mafupi haya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂🙌Mafuriko ya Hanang yalitakiwa yachague watu wa kuondoka nayo..😅
Kama ni mdigo mko naneNimeona niweke bango kabisa na nikimaliza kuandika huu uzi namtumia link mke wangu kipenzi asome na ikiwezekana a-screenshot ili aache kunisumbua akikuta ninachat kwa furaha na huyu mchepuko (second lady)
Iko hivi, nampenda sana mke wangu na anajua hilo ila ana yeye ana chembechembe za ufeminist na hadi hapa nmeshamnyoosha sana na ilibaki kidogo tu nimlipie ada akakae na hawa waalimu wao, makungwi akafundwe upya. Kuna muda anakaa vzr kuna muda dish linayumba.
Ndipo nikaja kupata huyu mtoto wa kidigo, mtoto anapika chai unatamani unywe chupa nzima. Mtoto sex hata kama hujamuomba anajua namna ya kukuchokoza usimamishe angalau upige kimoja sababu sex inaimarisha uanaume na kuongeza confidence (ukiona mwanaume anachekacheka ujue aidha ni mnyetukaji au hapati sex ya kutosha).
Mtoto sura ya kawaida black tu lkn kwenye giza anavyolegea ni kama uji.
Mtoto ukiwa unachat au unaongea nae unajihisi kweli wewe ni mwanaume mwamba dunia nzima sababu anakunyenyekea, hana maneno ya kipuuzi, anajua kuomba samahani, ukiwa bize anajua anatulia hakusumbui.
Hv mtoto kama huyo mie ningekua Bakhresa ningeshindwa vp kumpa kiwanda chote cha ukwaju akimiliki yeye?
Sasa mke wangu huu mchepuko siuachi, kama utaondoka ww ondoka tu. Mm hapa ndo nimefika.
Na hapa mtoto mzuri ananiona nina type yupo anamassage mabega ila nmwambia asisome ninachoandika so kajifunga kitambaa machoni anasubiria nimalize nipige cha nne usiku huu.
Basi humpend mkeoKama hii ni dawa naomba aongeze dozi aisee
Na hii mvua leoWatoto wazuri tumeumbiwa bwashee
tanga hiyo mzee, alichonifanya yule mdada wa kidogo nilipokuwa Tanga sitokija sahau.Wanapatikana wilaya gani hasa hawa Wadigo?
Chanzo ni mwanamke. Nyie ndio mnaleta matatizo kwenye familia.hakiyamungu