Kama uislamu na ukristo usingekuepo hapa duniani kwa hakika dunia ingekuwa ni sehemu salama na yenye amani tele.
Uislamu na Ukristo umeleta chuki kuu miongoni mwa waumini wa hizi dini. Waislamu wanawachukia wakristo na wakristo wanawachukia waislamu, inaonekana kwamba ili uwe mkristo kamili kwanza inabidi uwachukie waislamu na waislamu wanatakiwa wawe maadui zako, ili uwe muislamu kamili uliyekamilika inabidi uwachukie wakristo na wawe maadui zako.
Mbaya zaidi vijana wengi ambao ni waamini,waumini na wafuasi wa hizi dini hamna chochote wanachokijua kuhusu hizi dini zaidi ya kuongozwa na mihemko na chuki ndio maana wengi wao wanakuwa tayari hata kuuza roho zao kwa malipo ya imani eti ukifa vitani utakufa ukiwa shahidi na utapewa mabikra 72 what a joke? Na mkeo je atapewa mabwana 72 wa kumshughulikia?
Askofu anakatazwa kuoa mwisho wa siku hamu zikimzidi anaanza kulawiti watoto wadogo au anaanza kushikishwa ukuta na waumini wake what the f*ck?