Huu mdahalo lengo ni nini? Mdahalo unaitwa “Jesus and Mohammed”

Kama uislamu na ukristo usingekuepo hapa duniani kwa hakika dunia ingekuwa ni sehemu salama na yenye amani tele.

Uislamu na Ukristo umeleta chuki kuu miongoni mwa waumini wa hizi dini. Waislamu wanawachukia wakristo na wakristo wanawachukia waislamu, inaonekana kwamba ili uwe mkristo kamili kwanza inabidi uwachukie waislamu na waislamu wanatakiwa wawe maadui zako, ili uwe muislamu kamili uliyekamilika inabidi uwachukie wakristo na wawe maadui zako.

Mbaya zaidi vijana wengi ambao ni waamini,waumini na wafuasi wa hizi dini hamna chochote wanachokijua kuhusu hizi dini zaidi ya kuongozwa na mihemko na chuki ndio maana wengi wao wanakuwa tayari hata kuuza roho zao kwa malipo ya imani eti ukifa vitani utakufa ukiwa shahidi na utapewa mabikra 72 what a joke? Na mkeo je atapewa mabwana 72 wa kumshughulikia?

Askofu anakatazwa kuoa mwisho wa siku hamu zikimzidi anaanza kulawiti watoto wadogo au anaanza kushikishwa ukuta na waumini wake what the f*ck?
 
Wajinga,wapuuzi,wagonjwa wa akili na walioshindwa maisha ndio wanaoamini kwenye ukristo na uislamu ukiwa na akili zako timamu huwezi kuwa mfuasi wa huu upuuzi unaoitwa dini.

Waarabu ambao hata huwajui wanakuja na maandiko ya kukupangia namna ya kuishi,kula,kuvaa na hayo maandiko yameletwa na mpuuzi mmoja tu ambaye hajui hata kusoma halafu anasema hayo maandiko ni matakatifu.

Wayahudi ambao hata huwajui wanakuja na maandiko ambayo hata hayajulikani yametokea wapi wanakupangia namna ya kuishi,kula,kuvaa na maandiko hayo wanayaita matakatifu.
 

wapi ulisoma waislamu watapata bikra 72 ?? au utawapa wewe ??
 
Tulia ndugu. Mihemko haina faida yoyote. Sisi ni watu wazima. Kama waislamu wamekuwa na madhehebu yamefika mangapi? Usitetee upumbavu. Watoto wa kiislamu wakienda Madrasa hufundishwa lugha mama ya Quran. Hata baadae alikutana na tafsiri ya Quran kwenye lugha nyingine ni rahisi kugundua kasoro( inconsistency).Wakristo watoto wanakwenda Sunday school hawafundishwi Kiebrania wala Kigiriki. Wanasoma tafsiri zenye upotofu mwingi!
 
Nimeongea dhehebu au lugha mama ya Biblia? Kwani Catholics wanawafundisha waumini lugha mama? Hebu punguza mihemko and stay on track🙂
 
Tafsiri za kijinga ndio zimezaa maelfu ya madhehebu ya kikristo. Wote wanasema ni wakristo lakini wapo wanaamini UTATU, wengine wanasema Mungu hana nafsi tatu. Wengine waabudu mkate wa ekaristi lakini wengine wanasema it is just symbolic na wanakataa fundisho la TRANSUBSTIANTION. Lakini wote hao wanajiita wakristo!!
 
Mkuu mimi sina shida na vitabu kutafsiriwa katika lugha zingine. Lakini ni lazima watu wafunzwe kwanza kwenye lugha mama. Baadae tukifanya HERMENEUTICS hatutakinzana.
 
Mdaharo = mdahalo

Na pia huo mdahalo ni kwa nia ya kuelemishana,
Kama kuna jambo ambalo utakuwa hulielewi kuhusu uisilamu hapo ndo sehemu ya kupatia majibu mkuu.
Unakaribishwa.

2nd jan (diamond jubilee)
5th jan (kwa mkapa)
Sijaelewa mkuu, haiwezekani kuelimishwa Uislamu bila Ukristo?

Huku kwetu karibu kila siku wanatuelimisha kuhusu Ukristo bila kuhusisha Uislamu.
 

Je unadhani waislam ni wamoja kwa sababu ibada yao inatumia lugha moja ya kiarabu?

Unadhani waislam wote katika ulimwengu wa kiarabu ni wamoja?

Pia unadhani waislam wote wana dhehemu moja?

Unadhani Waislam wanapaswa kuunganishwa na lugha au mafundisho yao?

Mbona wakatoliki wanaunganishwa kwa mafundisho na siyo lugha?
 
aliyetamka hayo ni Allah

Chapter (15) sūrat l-ḥij'r (The Rocky Tract)​





Sahih International: And We have certainly given you, [O Muhammad], seven of the often repeated [verses] and the great Qur'an.
Kwahiyo Allah anasema
"Sisi tunakuabudu, sisi tunakuomba msaada, tuongoze katika njia iliyo nyooka"
Allah anaomba kuongozwa na nani ?
Na anamwabudu nani?
Na anamwomba msaada nani?
Ni bora wakati mwingine ukae kimya kuliko kumdhalilisha huyo Allah wako wa mchongo kwa kuropoka ropoka hovyo.
 
Uislamu haijakamilika bila kutaja ukristo
 

Ukitaka zaidi njoo na maswali yako yote hata 100 000 yatajibiwa , kiingilio ni bure


Dr. Zakir Naik & Sheikh Fariq Naik Tanzania Tour

Register now to secure your seat

Dr. Zakir Naik Event – ZAKIRNAIK

Free Entrance (Hakuna kiingilio)

For Enquiries: +255 656 294 579 / +255 714 810 539


KARIBU UPATE ELIMU BILA MALIPO

Kwa ufupi soma

Kumbukumbu la torati 18

18 Mimi nitawaondokeshea nabii miongoni mwa ndugu zao mfano wako wewe, nami nitatia maneno yangu kinywani mwake, naye atawaambia yote nitakayomwamuru.
 
Sijaelewa mkuu, haiwezekani kuelimishwa Uislamu bila Ukristo?

Huku kwetu karibu kila siku wanatuelimisha kuhusu Ukristo bila kuhusisha Uislamu.

Ni kwa sababu ukristo hakuja nao Bwana yesu wala haujui ndio maana tunawashitua kuwa Yesu hakuja na ukristo alikuja na uislamu
 


Itakuwa hujaifahamu ile aya ambayo nilikuletea ya surah Hijri au umekazania ubishi tu , lakini na twende hivyo hivyo

Hapa huyo aliye mbinguni kumbe si yesu ?? kwa hivyo Yesu si Mungu

Math 6

9 Basi msalipo ombeni hivi: ‘Baba yetu uliye mbinguni jina lako litukuzwe.
10 Ufalme wako uje, mapenzi yako yafanyike hapa duniani kama huko mbinguni.
11 Utupatie leo riziki yetu ya kila siku.
12 Na utusamehe makosa yetu kama sisi tulivyokwisha kuwa samehe waliotukosea.
 
Duniani nitaishi kikristo, mbengoniii ntaenda kuwa mslam☹️, hawa jamaa peponi wanahadi masanga 🍻🍺 yanatiririka mtoni. That's win win situation to me
Na mabikira 72
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…