Huu mdahalo lengo ni nini? Mdahalo unaitwa “Jesus and Mohammed”

HUWEZI KUMLINGANISHA TAPELI MUDDY NA YESU KRISTO HUO MDAHALO NI BATILI. SERIKALI IPIGE MARUFUKU HARAKA SANA MDAHALO HUO, KAMA HAO WAISLAMU WANATAKA MDAHALO WAJADILI MTUME WAO PEKEE YAKE NA SIO KUCHANGANYA MAFAILI.
Kabisa nashangaa wanaruhusu mambo kama haya au kisa nchi imeshikiliwa na muislamu?
 
Niliisha wahi kuona clip ya huyo sheikh, kifupi hana jipya ni kama mijadala ya mitaani ya ipi ni dini ya kweli kati ya uislam na ukristo.
Mimi nimekua nikishuhudia midaharo hiyo
 
Sasa hapo u nawalaumu Azam au waandaaji wa mahalo?
 
Ngoja wakitangaza nakuchukulia video naiweka hapa
 
Midaharo mbona inafanyika mingi tu, au unajizima data kwamba wakristo hawafanyi?
 
Mdaharo = mdahalo

Na pia huo mdahalo ni kwa nia ya kuelemishana,
Kama kuna jambo ambalo utakuwa hulielewi kuhusu uisilamu hapo ndo sehemu ya kupatia majibu mkuu.
Unakaribishwa.

2nd jan (diamond jubilee)
5th jan (kwa mkapa)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…