Nanren
JF-Expert Member
- May 11, 2009
- 3,135
- 3,392
Mleta mada kazingua.Siamini hii habari hata kidogo... Mama hawezi kuruhusu upuuzi huu ambao madhara yake yalionekana kipindi cha JK kama sio Mkapa.... So kwa kipindi hiki hawezi kuruhusu. Mleta uzi acha uchochezi bana..... Namuamini sana mama katika kutuunganisha watanzania wote bila kujali mambo ya imani
Tangazo linaonesha kuwa huyo sheikh atatoa mhadhara (lecture) na sio kufanya mdahalo (dialogue). Kwenye mafundisho hayo kutakuwepo na mada ya Jesus na Muhammad kama brothers in faith.