Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani unajua Jesus gani ataongelewa?Naelewa ndio why watumie neno Jesus wakati wao wamezoea kumuita Issa?
🤔🤔🤔! Aiseee bongo bhana sasa mdahalo wa kujadili iman za watu tulisikia wap hii n upuuzi wahali ya juu na serikal kwl wakruhusu ujinga huuu bs hapa hatuna serkali, Africa dah kwl n bdo atujui tumekuja dunian kufanya nn din tumeletewa lakn unalikuta jitu limekazana kujaza na kukarirshwa vtu ambayo amnagaHappy Christmas
Nimeona tangazo hili azam tv kuwa kutakuwa na mdahalo wa maswali na majibu kuhusu Mohammed na Jesus
Nachojiuliza why waislamu wanapenda sana kuongelea mambo ambayo wao hawayaamini?
Mmeshawai sikia wakristo wameandaa matamasha au mdaharo kwa lengo la kupambanisha imani?
Kuna namna nyingi sana za kutafuta waumini hubirini kweli ambayo mna iamini sio vyema kwa mnachokifanya kabisa
Nimeshangaa pia leo naangalia tiktok nakutana na shekhee amekazana kukataza waislamu kusheherehekea mpaka kuuza vitu vya sikukuu ya xmass embu jitafakarini kiasi fulani mnakosea
Anaweza kumfikia professor mazinge kwa umahiri wake?Sifahamu uelewa wako kuhusu dini, ila jamaa ni level nyingine coz ana ufahamu,uelewa,uzoefu,maarifa,elimu,ujuzi kuhusu dini zote za hapa duniani.
Hili haliji mara moja linachukua muda kidogo na hata miaka kadhaa.Jamaa huwa hapendi kubishana (sifa ya watu werevu).
Ni mwanazuoni nguli kwa waislamu na kwa mambo ya dini.Ameizunguka karibu dunia nzima, kwa level yake naona huna jipya la kumwambia.
Kwanza unaonekana una papara na mhemko najua hukosi jazba na hasira!
Nafikiri ameeleweka! Aliongelee na hili kwenye huo mjadala! Huwa namkubali sana huyu mwanazuoni(Naik) coz hana jazba,hasira,mhemko wala papara!
AhhaajAsiwe anatembea peke yake Afghanistan na Gaza.
Acha kabisaHuo mdahalo wa kulinganisha ni wa kipuuzi haujengi bali huleta mashindano yasiyokuwa na tija, haujengi huleta jazba na hasira kwa anayeshindwa kujenga na kupangua hoja kwa maandiko ya biblia na quran. Wakristo hugeuzwa kituko
Kabisa tutafanyaje🤔🤔🤔! Aiseee bongo bhana sasa mdahalo wa kujadili iman za watu tulisikia wap hii n upuuzi wahali ya juu na serikal kwl wakruhusu ujinga huuu bs hapa hatuna serkali, Africa dah kwl n bdo atujui tumekuja dunian kufanya nn din tumeletewa lakn unalikuta jitu limekazana kujaza na kukarirshwa vtu ambayo amnaga
Sawa saww mkuuKwani unajua Jesus gani ataongelewa?
Kumbuka kuna akina Jesus kibao.
Sio kila Jesus ni JESUS CHRIST.
Usikuchukulie serious sana haya mambo, utajizeesha bure.
Wewe unawakilisha kundi la watu wanaokurupuka. Umechukua sehemu tu ya mada badala ya kuandika mada yote
"Jesus & Muhammad, peace be upon them, brothers in faith" Yani
"Yesu & Muhammad, amani iwe juu yao, ndugu katika Imani". Hadi hapo kwanza hakuna tatizo lolote.
Pili Waislamu wanaamini kuwa Yesu na Muhammad wote ni wajumbe wa Mungu. Wewe hapo shida yako hasa ni ipi?
26 December 2024
Nairobi, Kenya
Lecture : Prophet Muhammad in the Bible - Dr. Zakir Naik | Talk + Q&A | Kenya, East Africa
View: https://m.youtube.com/watch?v=C4jvfQRrXg8
Mdahalo kama huu unalenga zaidi kutoa maarifa na kuelezea tofauti na mfanano kati ya Mitume hao wawili kwa mujibu wa maandiko ya kidini. Ni nafasi ya kujifunza na kuelewa mtazamo wa dini tofauti, si lazima iwe "kupambanisha" imani, bali kujenga maelewano na elimu.Happy Christmas
Nimeona tangazo hili azam tv kuwa kutakuwa na mdahalo wa maswali na majibu kuhusu Mohammed na Jesus
Nachojiuliza why waislamu wanapenda sana kuongelea mambo ambayo wao hawayaamini?
Mmeshawai sikia wakristo wameandaa matamasha au mdaharo kwa lengo la kupambanisha imani?
Kuna namna nyingi sana za kutafuta waumini hubirini kweli ambayo mna iamini sio vyema kwa mnachokifanya kabisa
Nimeshangaa pia leo naangalia tiktok nakutana na shekhee amekazana kukataza waislamu kusheherehekea mpaka kuuza vitu vya sikukuu ya xmass embu jitafakarini kiasi fulani mnakosea
Hawana shida, wanatamani kuipindua dunia iwe ya kiislam. Na ingewezekana kuwachinjilia mbali wote wanaokataa kusilimu.Hawa majamaa siju wanashida gani
Hili sio lengo mahususi la mdahalo/midahalo. Lengo ni kuwasilimisha wakristo. Sababu mara zote waislam wamekuwa wakishindwa hoja na WAKRISTO, na kuanzisha vurugu. Hawana uvumilivu. Bahati nzuri kuna wakristo wanaijua Quran kuliko waislam maamuma wasiojua lolote.Mdahalo kama huu unalenga zaidi kutoa maarifa na kuelezea tofauti na mfanano kati ya Mitume hao wawili kwa mujibu wa maandiko ya kidini. Ni nafasi ya kujifunza na kuelewa mtazamo wa dini tofauti, si lazima iwe "kupambanisha" imani, bali kujenga maelewano na elimu.
Kuhusu maswali yako:
- Kwa nini Waislamu wanapenda kuongelea mambo wasiyoamini?
- Uislamu unaona umuhimu wa kujadiliana kwa hekima na kuwafikishia watu ujumbe kwa njia nzuri (Qur'an 16:125). Pia, Waislamu wanamwamini Yesu (Isa, A.S.) kama mtume wa Mungu, hivyo kumjadili si jambo geni katika Uislamu.
- Kwa nini Wakristo hawaandai midahalo kama hiyo?
- Kila dini ina mbinu yake ya kufikisha ujumbe. Uislamu unasisitiza mazungumzo ya kidini kama njia ya kuelimisha. Wakristo wana njia zao, kama mahubiri, ibada, na matamasha.
- Shekhe kukataza Waislamu kusherehekea Krismasi:
Kwa kumalizia, ni muhimu kuheshimu maoni na imani za kila mmoja, bila kusambaza hisia za chuki au kutokuelewana. Midahalo kama huu inaweza kuwa fursa ya kujifunza zaidi ikiwa tutaenda kwa nia ya kujenga, si kupinga.
- Shekhe huyo anatoa fatwa kulingana na misingi ya dini yake. Katika Uislamu, kushiriki sherehe za kidini zisizo za Kiislamu mara nyingi huonekana kama kwenda kinyume na mafunzo ya dini. Hii haimaanishi kuwa kuna chuki, bali ni kuheshimu mipaka ya kiimani.