Huu mdahalo lengo ni nini? Mdahalo unaitwa “Jesus and Mohammed”

Asante kwa makala hii,sasa tutumie rula hiyo hiyo kuongelea chimbuko la uislamu. Mohamed aliacha Quran yenye sura ngapi,zenye majina gani? Nani aliamua majina ya sura za Quran? Allah, Mohamed au Uthman?

Sahih al-Bukhari 66, Hadith 9:
Pia kwanini Uthman aliamua kuzichoma Quran zingine baada ya kutengeneza standardized version ya kwake? Alikuwa na uhakika gani kwamba yake ni sahihi kuliko zile zingine? Yeye hakuwa mtume.

Kuhusu wakristo wa kwanza kuwa na misimamo tofauti ni jambo la kawaida kabisa. Kwani hata nyie waislamu baada ya kifo cha Mohamed mligawanyika makundi mawili (Suni na Shida),vita ikapiganwa mpaka ndugu wa Mohamed wakauawa .

Hata hapo Misri baada ya kutoa toleo la kwanza la hii standard Quran inayotumika (Warsh ya mwaka 1924) serikali ilitoa amri Quran zingine zote ziharibiwe. Zilizzamishwa mto nile pamoja na zingine kuchomwa moto.

Ukiupima ukristo kwa kutumia kipimo flani basi tumia kipimo hicho hicho kupimia uislamu.

Toleo la pili la tafsiri ya Agano Jipya (1971) limefaidika kwa tafiti za matini na isimu tangu lilipotolewa toleo la The Rivised Standard Version, kwanza lilitolewa mwaka 1946.

Kwa hiyo, baadhi ya vifungu vilivyofutwa zamani viliandikwa upya, na baadhi ya vifungu vilivyokubaliwa vilifutwa.

"Vifungu viwili, vya mwisho mrefu wa Marko (16:9-20) na kifungu cha mwanamke aliyekamatwa kwa uzinzi (Yohana 7:53 – 8:11), vilirejeshwa katika matini, zikitenganishwa kwa nafasi wazi na zikiambatana na nukuu za kauli taarifa…

Kukiwa na kuungwa mkono na miswada miwili, vifungu viwili, Luka 22:19b-20 na 24:51b, vilirejeshwa katika matini, na kifungu kimoja, Luka 22:43-44, kiliwekwa katika tanbihi, kama ni ibara katika Luka 12:39."
 
Wasomi thelathini na wawili walitumika kama wanakamati wa kamati iliyotakiwa kufanya marekebisho hayo, nao waliyalinda mabadiliko na kuishauri Bodi ya Ushauri ya wawakilishi hamsini wa madhehebu ili kushirikiana kufanya kazi hiyo…

Toleo la Agano Jipya la Revised Standard Version lilichapwa mwaka 1946."

Toleo la Biblia la Revised Standard Version, linajumuisha Agano la Kale na Jipya, nalo lilichapwa mnamo Septemba 30, 1952, na likakubalika sana."

Katika Toleo la Biblia la Revised Standard Version, idadi kubwa ya mistari muhimu kutoka katika Toleo la King Jemes Version ya Agano la Kale na Jipya, ambayo wasomi waliiona kuwa imeongezwa katika karne za baadaye, iliondoshwa kutoka katika matini na kuwekwa katika tanbihi.

Kwa mfano, kifungu maarufu sana katika Injili ya Yohana 8:7 kinachohusu mzinzi aliyetakiwa kupigwa mawe.

Inasemakana Yesu amesema:

"Nao walipozidi kumhoji, alijiinua, akawaambia, Yeye asiye na dhambi miongoni mwenu na awe wa kwanza wa kumtupia jiwe."

Tanbihi za Toleo la King Jemes (1952) zinaeleza "Mamlaka za kale mno zinaondosha aya za 7:53 – 8:11"

Kwa kuwa mswada namba 1209 wa Vatikani na mswada wa Sinaitic ya tangu karne ya nne haina aya kumi na mbili hizo, wasomi wa Biblia wamefikia uamuzi wa kuwa maneno hayo hayatoki kwa Yesu.

Mfano mwingine ni kifungu kinachohusishwa na Yesu na kinachotumika kama ushahidi wa rejeo la Utatu katika Maandiko matakatifu.

Katika 1 Yohana 5:7, Inasemakana Yesu amesema:

"Kuna watatu wanaoshuhudia huko mbinguni, Baba, Neno na Roho Mtakatifu: na watatu hawa ni mmoja"

Msomi maarufu sana wa Biblia, Benjamin Wilson, anaandika kuwa; maandiko haya yanayohusu "ushahidi wa mbinguni" hayamo katika mswada wowote wa Kigiriki ulioandikwa kabla ya karne ya kumi na tano!

Kwa hiyo, katika Toleo la Biblia la Revised Standard Version, mstari huu umefutwa na kutolewa katika matini tena bila ya kuwekewa tanbihi.

Hata hivyo, ili kuwe na idadi ya mistari iliyosawa baina ya Toleo la Biblia la Revised Standard Version, na ile ya Toleo la Biblia la King James Version, warejeaji wameugawa mstari wa sita na kuwa mistari miwili.
Shida iko wapi? Hizi ni tafsiri za Gospel na original manuscript zipo kabisa. Hata yanayofanywa kwenye ukristu hata kwenye uislamu yapo.

Quran haikushushwa na Sura ila binadamu tena sio Mohamed bali wafuasi wake wakaigawa kwa sura . Sio Mohamed wala Allah aliyetoa amri kwamba ikusanywe kwenye kitabu kimoja bali ni wafuasi wake .

Mwisho wa siku hivi vitabu vinekusanywa na kuandikwa na watu wenye imani, wakristo tukiamini waliongozwa na roho mtakatifu. Nyinyi waislamu sijui,mngekuwa na jeuri kama hicho kitabu chenu mnasema kilishushwa basi ingekuja hard copy kutoka kwa Allah.
 
Usije kuwaamini hao watu.
Ukienda Israeli, utaoneshwa mahali.
Alipo zaliwa Yesu.
Alipo kulia
Alipo hubiri
Alipo kamatwa
Alipo hukumiwa
Alipo teswa
Alipo sulubiwa
Alipo zikwa
Alipo fufuka
Alipo paa mbinguni
Na ndugu zake Yesu
Hadi leo mahali hapo papo na maelfu ya watu wanaenda kuona hizo sehemu.

Waisraeli hadi wametoa filamu za maisha ya ndugu Yao Yesu Kristo wa Nazareti.

Cha ajabu na kushangaza baada ya miaka zaidi ya mia sita anatokea Mwarabu wa huko Maka.

Huyo Mwarabu hakuwahi kufika Israeli.
Hakuwahi kuwa Myahudi.
Hamjui hata ndugu mmoja wa Yesu.

Mdogo wake Yesu mmoja wa kiume aliitwa Yohana.

Muhammadi anageuza jina na kumwita Issa.
Na kumsimulia stori zake za kutunga tu.
Na watu wanamwamini.

Hata huyo mhadhiri Naiki anawapiga pesa tu.
Kwani alisha fika Israeli na kuona ushahidi wote wa Myahudi Yesu toka kwa ndugu zake Yesu.

Na hao jamaa badala ya kuthibitisha maisha ya Yesu kwa kutembelea Israeli au kusoma historia za wayahudi wanajitoa huo ufahamu wote.

Yaa mimi nimeshindwa kuwaelewa kabisa
Baada ya kuzaliwa kwa Yesu Mariamu kama mke wa Yusufu alizaa watoto wengine wadogo zake Yesu na wanathibirisha habari ya kaka yao Yesu na wameandika vitabu na vipo maktaba.

Ila Waislamu habari za Yesu wanamsikiliza Mwarabu Muhammadi.

Hivi huwa wanafikiriaga nini hawa jamaa ?

Yaani habari za Yesu Myahudi wanazifanyia utafiti Saudi Arabia, katika miji ya Maka na Madina.

Hivi hawa ndugu zetu wako timamu kweli ?
 
Wanaopinga na wanaounga mkono wote mko sahihi..
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Usije kuwaamini hao watu.
Ukienda Israeli, utaoneshwa mahali.
Alipo zaliwa Yesu.
Alipo kulia
Alipo hubiri
Alipo kamatwa
Alipo hukumiwa
Alipo teswa
Alipo sulubiwa
Alipo zikwa
Alipo fufuka
Alipo paa mbinguni
Na ndugu zake Yesu
Hadi leo mahali hapo papo na maelfu ya watu wanaenda kuona hizo sehemu.

Waisraeli hadi wametoa filamu za maisha ya ndugu Yao Yesu Kristo wa Nazareti.

Cha ajabu na kushangaza baada ya miaka zaidi ya mia sita anatokea Mwarabu wa huko Maka.

Huyo Mwarabu hakuwa kufika Israeli.
Hakuwa Myahudi.
Hamjui hata ndugu mmoja wa Yesu.
Anageuza jina na kumwita Issa.
Na kumsimulia stori zake za kutunga tu.
Na watu wanamwamini.

Hata huyo mhadhiri Naiki anawapiga pesa tu.
Kwani alisha fika Israeli na kuona ushahidi wote wa Myahudi Yesu toka kwa ndugu zake Yesu.
Na hao jamaa badala ya kuthibitisha maisha ya Yesu kwa kutembelea Israeli au kusoma historia za wayahudi wanajitoa huo ufahamu wote.

Yaa mimi nimeshindwa kuwaelewa kabisa
Baada ya kuzaliwa kwa Yesu Mariamu kama mke wa Yusufu alizaa watoto wengine wadogo zake Yesu na wanathibirisha habari ya kaka yao Yesu na wameandika vitabu na vipo maktaba.
Ila Waislamu habari za Yesu wanamsikiliza Mwarabu Muhammadi.
Hivi huwa wanafikiriaga nini hawa jamaa ?
Yaani habari za Yesu Myahudi wanazofanyia utafiti Saudi arabia katika miji ya Maka na Madina.
Hivi hawa ndugu zetu wako timamu kweli ?
tofauti ya miaka 600 sio shida, hoja labda useme hauamini utume wake hapo utaeleweka
 
Utume unaendana na historical facts.
Kama Mtume anaeleza mambo ambayo hayapo katika historia ya jamii husika huyo hawezi kuaminika.
Ndio maana Biblia habari zake zinaendana na wakati, mahali, kabila utawala, sheria, ndugu, tarehe matukio ya wakati huo.

Maelezo ya kitabu cha Qurani hayasemi hayo mambo.
Uki uliza Qurani, Yesu alizaliwa wapi na wakati gani haina majibu.
Dunia ya sasa ina watu walio elimika na wanapenda kufanya utafiti ili kujiridhisha na masimulizi ya Dini.

Msimulizi wa kwenye Qurani hana tarehe wala wakati wa alipo ongea.
Ni kuwa anaongea ongea tu.
Sisi wasomi tutathibitishaje hicho anacho ongea kuwa ni cha kweli.
iulize Qurani
Muhamadi alizaliwa katika utawala wa kiongozi gani haina majibu.
 
ndo suala la imani sasa hapo linapokuja mkuu ndo maana nikasema utofauti wa miaka sio kitu kikubwa sana. ukitaka tarehe watakuja wengine watataka tarehe hizo hizo kwenye bible mkuu
 
Usije kuwaamini hao watu.
Ukienda Israeli, utaoneshwa mahali.
Alipo zaliwa Yesu.
Alipo kulia
Alipo hubiri
Alipo kamatwa
Alipo hukumiwa
Alipo teswa
Alipo sulubiwa
Alipo zikwa
Alipo fufuka
Alipo paa mbinguni
Na ndugu zake Yesu
Hadi leo mahali hapo papo na maelfu ya watu wanaenda kuona hizo sehemu.

Waisraeli hadi wametoa filamu za maisha ya ndugu Yao Yesu Kristo wa Nazareti.

Cha ajabu na kushangaza baada ya miaka zaidi ya mia sita anatokea Mwarabu wa huko Maka.

Huyo Mwarabu hakuwahi kufika Israeli.
Hakuwahi kuwa Myahudi.
Hamjui hata ndugu mmoja wa Yesu.

Mdogo wake Yesu mmoja wa kiume aliitwa Yohana.

Muhammadi anageuza jina na kumwita Issa.
Na kumsimulia stori zake za kutunga tu.
Na watu wanamwamini.

Hata huyo mhadhiri Naiki anawapiga pesa tu.
Kwani alisha fika Israeli na kuona ushahidi wote wa Myahudi Yesu toka kwa ndugu zake Yesu.

Na hao jamaa badala ya kuthibitisha maisha ya Yesu kwa kutembelea Israeli au kusoma historia za wayahudi wanajitoa huo ufahamu wote.

Yaa mimi nimeshindwa kuwaelewa kabisa
Baada ya kuzaliwa kwa Yesu Mariamu kama mke wa Yusufu alizaa watoto wengine wadogo zake Yesu na wanathibirisha habari ya kaka yao Yesu na wameandika vitabu na vipo maktaba.

Ila Waislamu habari za Yesu wanamsikiliza Mwarabu Muhammadi.

Hivi huwa wanafikiriaga nini hawa jamaa ?

Yaani habari za Yesu Myahudi wanazifanyia utafiti Saudi Arabia, katika miji ya Maka na Madina.

Hivi hawa ndugu zetu wako timamu kweli ?
This is deep chief 💪.
 
ndo suala la imani sasa hapo linapokuja mkuu ndo maana nikasema utofauti wa miaka sio kitu kikubwa sana. ukitaka tarehe watakuja wengine watataka tarehe hizo hizo kwenye bible mkuu
Kwa mfano simulizi la Biblia la Sodoma na Gomora, wasomi walienda kuitafiti hiyo miji na kugundua kweli waliishi Binadamu.
Na lile ziwa la maji chumvi kali la moto wa kiberiti lipo ambalo hakuna kiumbe kinacho ishi ndani yake hadi hii leo
Mti alio upanda Zakayo upo hadi hii leo.
Ni jamii ya ule mti wenye myororo pale Mantep na Kaole Bagamoyo.
Huo mti unaishi zaidi ya miaka mia tatu. Pale bagamoyo una umri wa zaidi ya miaka 180.
Ukitembelea hayo maeneo utauneshwa.
Imani bila fact ni fictions tu wenye akili zao hawezi kuamini.
 
ndo suala la imani sasa hapo linapokuja mkuu ndo maana nikasema utofauti wa miaka sio kitu kikubwa sana. ukitaka tarehe watakuja wengine watataka tarehe hizo hizo kwenye bible mkuu
Wewe habari za Yesu Kristo ukiiacha mambo ya imani unaamini maelezo ya Mwarabu au Wayahudi ?
Mungu ana Hekima kubwa sana na haongei bila ushahidi wa wakati na mazingira.

Soma hapa chini
Mwanzo (Gen) 8:13
Ikawa mwaka wa mia sita na moja, mwezi wa kwanza, siku ya kwanza ya mwezi, maji yalikauka juu ya nchi. Nuhu akaondoa kifuniko cha safina, naye akaona, na tazama, uso wa nchi umekauka.

Huwezi kukuta habari kama hiyo kwenye Qurani.
Qurani inaongea hovyo hovyo tu.
Aya ya kwanza inamzungumzia Sulemani, Aya ya pili inamzungumzia Mdudu chungu.
Haina mtiririko wa matukio wala tarehe, ni kama mtu anaropoka ropoka tu.
Mtu mwenye hekima kamwe hawezi kuielewa Qurani.
Niki kuuliza hapa anaongea nani kwenye Qurani kamwe huwezi kujibu.
فَلَا أُقْسِمُ بِرَبِّ الْمَشَارِقِ وَالْمَغَارِبِ إِنَّا لَقَادِرُونَ
[ AL - MAA'RIJ - 40 ]
Basi naapa kwa Mola Mlezi wa mashariki zote na magharibi zote kwamba Sisi tunaweza.

Huyo ni Allah, au Muhamadi au Jibrili au Majini ?

Sura ya kwanza ya Faatiha inasema:

"Sisi tunakuabudu na sisi tunakuomba msaada, tuongoze katika njia iliyo nyooka"

Haijajulikana hadi hii leo ni nani aliongea hayo maneno.

Ni kama kitabu cha vichekesho tu.
Cha Tom na Jerry.
 
Ndiyo maana wanatumia Hadith na Tafsir ili kuelewa hizo aya ambazo hazina context kwenye Quran 🤔.
 
Shida iko wapi? Hizi ni tafsiri za Gospel na original manuscript zipo kabisa. Hata yanayofanywa kwenye ukristu hata kwenye uislamu yapo.

Quran haikushushwa na Sura ila binadamu tena sio Mohamed bali wafuasi wake wakaigawa kwa sura . Sio Mohamed wala Allah aliyetoa amri kwamba ikusanywe kwenye kitabu kimoja bali ni wafuasi wake .

Mwisho wa siku hivi vitabu vinekusanywa na kuandikwa na watu wenye imani, wakristo tukiamini waliongozwa na roho mtakatifu. Nyinyi waislamu sijui,mngekuwa na jeuri kama hicho kitabu chenu mnasema kilishushwa basi ingekuja hard copy kutoka kwa Allah.

Kubuniwa

Zaidi ya nusu ya Wakristo wote duniani ni Wakatoliki.

Toleo lao la Biblia lilichapishwa mwaka 1582 kutoka kwa Jerome`s Latin Vulgate, na kutengenezwa tena huko Douay mwaka 1609.

Agano Jipya la RCV (Roman Catholic Version) lina vitabu saba zaidi kuliko lile la King James Version linalotambuliwa na Ulimwengu wa Wapotestanti.

Hivyo vitabu vya ziada vinazingatiwa kuwa ni vya kubuniwa (yaani kuna shaka juu ya mtunzi wake) na vimeondolewa kutoka katika Biblia mwaka 1611 na wasomi wa Biblia wa Kipotestanti.
 
Nipo hapa Kujifunza
 
Wewe habari za Yesu Kristo ukiiacha mambo ya imani unaamini maelezo ya Mwarabu au Wayahudi ?
Mungu ana Hekima kubwa sana na haongei bila ushahidi wa wakati na mazingira.

Soma hapa chini
Mwanzo (Gen) 8:13
Ikawa mwaka wa mia sita na moja, mwezi wa kwanza, siku ya kwanza ya mwezi, maji yalikauka juu ya nchi. Nuhu akaondoa kifuniko cha safina, naye akaona, na tazama, uso wa nchi umekauka.

Huwezi kukuta habari kama hiyo kwenye Qurani.
Qurani inaongea hovyo hovyo tu.
Aya ya kwanza inamzungumzia Sulemani, Aya ya pili inamzungumzia Mdudu chungu.
Haina mtiririko wa matukio wala tarehe, ni kama mtu anaropoka ropoka tu.
Mtu mwenye hekima kamwe hawezi kuielewa Qurani.
Niki kuuliza hapa anaongea nani kwenye Qurani kamwe huwezi kujibu.
فَلَا أُقْسِمُ بِرَبِّ الْمَشَارِقِ وَالْمَغَارِبِ إِنَّا لَقَادِرُونَ
[ AL - MAA'RIJ - 40 ]
Basi naapa kwa Mola Mlezi wa mashariki zote na magharibi zote kwamba Sisi tunaweza.

Huyo ni Allah, au Muhamadi au Jibrili au Majini ?

Sura ya kwanza ya Faatiha inasema:

"Sisi tunakuabudu na sisi tunakuomba msaada, tuongoze katika njia iliyo nyooka"

Haijajulikana hadi hii leo ni nani aliongea hayo maneno.

Ni kama kitabu cha vichekesho tu.
Cha Tom na Jerry.

View: https://youtu.be/2W4B6s1p318
 
Usije kuwaamini hao watu.
Ukienda Israeli, utaoneshwa mahali.
Alipo zaliwa Yesu.
Alipo kulia
Alipo hubiri
Alipo kamatwa
Alipo hukumiwa
Alipo teswa
Alipo sulubiwa
Alipo zikwa
Alipo fufuka
Alipo paa mbinguni
Na ndugu zake Yesu
Hadi leo mahali hapo papo na maelfu ya watu wanaenda kuona hizo sehemu.

Waisraeli hadi wametoa filamu za maisha ya ndugu Yao Yesu Kristo wa Nazareti.

Cha ajabu na kushangaza baada ya miaka zaidi ya mia sita anatokea Mwarabu wa huko Maka.

Huyo Mwarabu hakuwahi kufika Israeli.
Hakuwahi kuwa Myahudi.
Hamjui hata ndugu mmoja wa Yesu.

Mdogo wake Yesu mmoja wa kiume aliitwa Yohana.

Muhammadi anageuza jina na kumwita Issa.
Na kumsimulia stori zake za kutunga tu.
Na watu wanamwamini.

Hata huyo mhadhiri Naiki anawapiga pesa tu.
Kwani alisha fika Israeli na kuona ushahidi wote wa Myahudi Yesu toka kwa ndugu zake Yesu.

Na hao jamaa badala ya kuthibitisha maisha ya Yesu kwa kutembelea Israeli au kusoma historia za wayahudi wanajitoa huo ufahamu wote.

Yaa mimi nimeshindwa kuwaelewa kabisa
Baada ya kuzaliwa kwa Yesu Mariamu kama mke wa Yusufu alizaa watoto wengine wadogo zake Yesu na wanathibirisha habari ya kaka yao Yesu na wameandika vitabu na vipo maktaba.

Ila Waislamu habari za Yesu wanamsikiliza Mwarabu Muhammadi.

Hivi huwa wanafikiriaga nini hawa jamaa ?

Yaani habari za Yesu Myahudi wanazifanyia utafiti Saudi Arabia, katika miji ya Maka na Madina.

Hivi hawa ndugu zetu wako timamu kweli ?

The Birthing of a Godman​

The Gospel of Matthew tells of the appearance of an angel to Joseph in a dream, urging him to marry his divinely impregnated virgin wife-to-be; of a new star in the sky and wise men from the east; of the flight of the holy family to Egypt and of the massacre of the innocents of Bethlehem.

Matthew invokes ancient Jewish prophecy to validate his surreal claims.

The Gospel of Luke mentions none of these dramatic events but instead reports the appearance of an angel to Mary; a worldwide census; the birth in a manger, a choir of angels; adoring shepherds; and a joyful presentation in the Temple.

None of this is mentioned by Matthew.

The lack of mutual support between the two tales, and the fantastic nature of the purported events are damning enough.

But what blows the fable clean away from the known universe is the ignorance of any such yarn by the earliest Christians, whether Matthew’s version or the fabrication of Luke.

Not Paul, nor any of the epistle writers, know the tale and the gospels of Mark and John say nothing of the birthing of Jesus either.

Those who should have known most about these wondrous events know least.

But then, the fable of the nativity is late and fake and was a necessary step in transforming the righteous hero of Mark’s gospel into a demigod and – at length – into a preexistent co-creator of the universe.
 
Kubuniwa

Zaidi ya nusu ya Wakristo wote duniani ni Wakatoliki.

Toleo lao la Biblia lilichapishwa mwaka 1582 kutoka kwa Jerome`s Latin Vulgate, na kutengenezwa tena huko Douay mwaka 1609.

Agano Jipya la RCV (Roman Catholic Version) lina vitabu saba zaidi kuliko lile la King James Version linalotambuliwa na Ulimwengu wa Wapotestanti.

Hivyo vitabu vya ziada vinazingatiwa kuwa ni vya kubuniwa (yaani kuna shaka juu ya mtunzi wake) na vimeondolewa kutoka katika Biblia mwaka 1611 na wasomi wa Biblia wa Kipotestanti.
Naomba nikuulize swali,kwani nyie waislam mna Quran 1 tu inayotumika na waislam dunia nzima? Kwa sababu naona una push pointi ya kwamba kwa sababu kuna utofauti kwa baadhi ya tafsiri za Biblia basi kuna shida kwenye ukristu.

Hizo ni tofauti za tafsiri na compilation za vitabu lakini msingi mkuu wa imani uko vile vile,Yesu ni mwana wa Mungu,alikufa na kufufuka na siku ya mwisho atakuja hukumu binadamu.

Tuambie wewe kama waislam mna Quran 1 tu?
 
Wewe habari za Yesu Kristo ukiiacha mambo ya imani unaamini maelezo ya Mwarabu au Wayahudi ?
Mungu ana Hekima kubwa sana na haongei bila ushahidi wa wakati na mazingira.

Soma hapa chini
Mwanzo (Gen) 8:13
Ikawa mwaka wa mia sita na moja, mwezi wa kwanza, siku ya kwanza ya mwezi, maji yalikauka juu ya nchi. Nuhu akaondoa kifuniko cha safina, naye akaona, na tazama, uso wa nchi umekauka.

Huwezi kukuta habari kama hiyo kwenye Qurani.
Qurani inaongea hovyo hovyo tu.
Aya ya kwanza inamzungumzia Sulemani, Aya ya pili inamzungumzia Mdudu chungu.
Haina mtiririko wa matukio wala tarehe, ni kama mtu anaropoka ropoka tu.
Mtu mwenye hekima kamwe hawezi kuielewa Qurani.
Niki kuuliza hapa anaongea nani kwenye Qurani kamwe huwezi kujibu.
فَلَا أُقْسِمُ بِرَبِّ الْمَشَارِقِ وَالْمَغَارِبِ إِنَّا لَقَادِرُونَ
[ AL - MAA'RIJ - 40 ]
Basi naapa kwa Mola Mlezi wa mashariki zote na magharibi zote kwamba Sisi tunaweza.

Huyo ni Allah, au Muhamadi au Jibrili au Majini ?

Sura ya kwanza ya Faatiha inasema:

"Sisi tunakuabudu na sisi tunakuomba msaada, tuongoze katika njia iliyo nyooka"

Haijajulikana hadi hii leo ni nani aliongea hayo maneno.

Ni kama kitabu cha vichekesho tu.
Cha Tom na Jerry.

The Birth of Jesus Christ – Competing mythologies
MatthewLuke
Bethlehem:Mary/Joseph already live in BethlehemMary/Joseph live in Nazareth
Angelic announcements:to Joseph in dreamsto Mary in visions
Birth:Birth in houseBirth in manger
Celestial sign:Star in the EastChorus of angels above a sheep pasture
Genealogy:“42” generations back to Abraham (actually 41 names)42 generations back to David.
Then another 14 generations back to Abraham, and another 21 generations back to God himself.
Royal ancestry:Lineage accentuates JewishnessExtended ancestry now inclusive of Gentiles
Adoration:from Magi
Dream-inspired flight to Egypt
Herod’s murder of the innocents
Move to (new home) Nazareth
from Shepherds
Presentation in the Temple; recognised as a “light to the Gentiles” by prophets; Prodigy in the temple at aged 12.
 
Naomba nikuulize swali,kwani nyie waislam mna Quran 1 tu inayotumika na waislam dunia nzima? Kwa sababu naona una push pointi ya kwamba kwa sababu kuna utofauti kwa baadhi ya tafsiri za Biblia basi kuna shida kwenye ukristu.

Hizo ni tofauti za tafsiri na compilation za vitabu lakini msingi mkuu wa imani uko vile vile,Yesu ni mwana wa Mungu,alikufa na kufufuka na siku ya mwisho atakuja hukumu binadamu.

Tuambie wewe kama waislam mna Quran 1 tu?

Hapo umeongea topic kama 4 , kuanzia mwana wa mungu , kufa kwa yesu , kufufuka na kuhukumu siku ya mwisho.

Tuanze na hii ya mwana wa mungu

Katika Injili za Mathayo, Marko na Luka, Yesu ameitwa mara 22 kwa jina la "Mwana wa Mungu", lakini hata mara moja yeye mwenyewe hakujiita kwa jina hilo.

Katika Mathayo 27.43 yanatajwa maneno ya wakuu wa makuhani wa Kiyahudi pamoja na waandishi na wazee waliokuwa wakimdhihaki, si maneno yake yeye Yesu.

Hao walikuwa wakimzulia kuwa anadai uwana wa Mungu, na anadai kuwa ni Mfalme wa Israeli.

Mara nyingi waliokuwa wakimwita Mwana wa Mungu walikuwa ama wendawazimu, wenye pepo wachafu, au askari wa Kirumi ambao tokea hapo wao ni washirikina, mapagani.

Ama mwenyewe Yesu alikuwa daima akipendelea kujiita mwana wa Adamu kwa Kiebrani, lugha yake, Bin Adam, yaani ni binaadamu, mtu tu.

Katika Injili jina hili la Yesu kuitwa mwana wa Adamu limetajwa yapata mara 80.

Mahasimu zake wa Kiyahudi walimzulia kuwa alidai kuwa ni Mfalme wa Mayahudi ili kumchongea kwa watawala wa Kirumi, na kuwa alidai kuwa ni Mwana wa Mungu ili apate kuchusha kwa Mayahudi.

Tukirejea kuyanukulu yaliyomo katika Biblia tunamwona Yesu mahkamani alikataa kukiri mashtaka aliyoshtakiwa kuwa yeye alidai kuwa ni Mwana wa Mungu, kama wendawazimu na mapagani walivyokuwa wakimuenezea:

Kisha Kuhani Mkuu akasimama akamwambia, Hujibu neno? Hawa wanakushuhudia nini? Lakini, Yesu akanyamaza. Kuhani Mkuu akamwambia, Nakuapisha kwa Mungu aliye hai, utuambie kama wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu. Yesu lakini nawaambieni, Tangu sasa mtamwona Mwana wa Adamu ameketi mkono wa kuume wa nguvu, akija juu ya mawingu ya mbinguni.

Mathayo 26.62-64
 
Wewe ni muislamu na Imani yako imejengwa kwenye msingi wa kwamba Yesu sio mwana wa Mungu,Hakufa wala kufufuka. Mungu wako(Allah) hana mwana maana kama angehitaji mwana basi angehitaji mwanamke wa kuzaa nae.

The same way hata mimi naweza nipo very critical of Islam,naweza kuleta hoja za kutosha tu kwamba Mohamed hakuwa mtume kutokana naaoni ya upande ninaotokea.

Point zote ulizozitoa hapo ni sahihi kabisa kama wewe ni muislamu,uislamu ni mpinga kristo namba 1. Cheers to that🥂.
 
Naomba nikuulize swali,kwani nyie waislam mna Quran 1 tu inayotumika na waislam dunia nzima? Kwa sababu naona una push pointi ya kwamba kwa sababu kuna utofauti kwa baadhi ya tafsiri za Biblia basi kuna shida kwenye ukristu.

Hizo ni tofauti za tafsiri na compilation za vitabu lakini msingi mkuu wa imani uko vile vile,Yesu ni mwana wa Mungu,alikufa na kufufuka na siku ya mwisho atakuja hukumu binadamu.

Tuambie wewe kama waislam mna Quran 1 tu?

Kufa kwa yesu

Msingi wa Ukristo siku hizi ni kifo cha msalaba cha bwana Yesu a.s. Mayahudi na Wakristo wanadhani kwamba Bwana Yesu alifariki juu ya msalaba, kifo cha laana.

A. Mayahudi walidhani hivi kwa sababu ya kupata nafasi ya kumkataa Bwana Yesu, kuwa wa kweli, maana Torati inasema kwamba “Aliyetundikwa amelaaniwa na Mungu, (Kumbukumbu la Torati 21:23).

Kwahiyo Mayahudi walitaka sana kumfisha Yesu msalabani ili athibitike kuwa mlaaniwa na mlaaniwa hawezi kuwa Nabii wa Mungu.

B. Wakristo walikubali kwamba Yesu alikufa msalabani kwa sababu waliambiwa kwamba Yesu amebeba dhambi za watu kwa kufa msalabani. Hivi wavivu wote ambao hawataki kufuata sheria ya Mungu, mara moja walikubali kwamba damu ya Yesu imetuokoa. (Wagalatia 3:13)

Wakati tunasoma Biblia tunaona kwamba Biblia pia inasadikisha kwamba Bwana Yesu hakufa msalabani.

Nitaeleza hapa hoja za Biblia moja baada ya moja, zinazothibitisha kwamba Bwana Yesu hakufa msalabani kabisa.

1. Kwani aliyetundikwa amelaaniwa na Mungu. (Kumb. 21:23, Wagalatia 3:13). Basi mtu ambaye anafariki juu ya mti wa msalaba ndiye maluuni na maluuni anakuwa mbali na Mungu hawezi kuwa karibu na Mungu.

Na mtu ambaye yu mbali na Mungu hawezi kuwa Nabii wa Mwenyezi Mungu.

Tunaamini kwamba sawa na Qur'ani na Biblia Bwana Yesu alikuwa Nabii wa Mungu, tena kachaguliwa na kubarikiwa.

Kwahiyo haiwezekani kwamba Bwana Yesu afe kifo cha laana cha msalaba.
 
Back
Top Bottom