Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,637
- 8,947
Asante kwa makala hii,sasa tutumie rula hiyo hiyo kuongelea chimbuko la uislamu. Mohamed aliacha Quran yenye sura ngapi,zenye majina gani? Nani aliamua majina ya sura za Quran? Allah, Mohamed au Uthman?
Sahih al-Bukhari 66, Hadith 9:
Pia kwanini Uthman aliamua kuzichoma Quran zingine baada ya kutengeneza standardized version ya kwake? Alikuwa na uhakika gani kwamba yake ni sahihi kuliko zile zingine? Yeye hakuwa mtume.
Kuhusu wakristo wa kwanza kuwa na misimamo tofauti ni jambo la kawaida kabisa. Kwani hata nyie waislamu baada ya kifo cha Mohamed mligawanyika makundi mawili (Suni na Shida),vita ikapiganwa mpaka ndugu wa Mohamed wakauawa .
Hata hapo Misri baada ya kutoa toleo la kwanza la hii standard Quran inayotumika (Warsh ya mwaka 1924) serikali ilitoa amri Quran zingine zote ziharibiwe. Zilizzamishwa mto nile pamoja na zingine kuchomwa moto.
Ukiupima ukristo kwa kutumia kipimo flani basi tumia kipimo hicho hicho kupimia uislamu.
Toleo la pili la tafsiri ya Agano Jipya (1971) limefaidika kwa tafiti za matini na isimu tangu lilipotolewa toleo la The Rivised Standard Version, kwanza lilitolewa mwaka 1946.
Kwa hiyo, baadhi ya vifungu vilivyofutwa zamani viliandikwa upya, na baadhi ya vifungu vilivyokubaliwa vilifutwa.
"Vifungu viwili, vya mwisho mrefu wa Marko (16:9-20) na kifungu cha mwanamke aliyekamatwa kwa uzinzi (Yohana 7:53 – 8:11), vilirejeshwa katika matini, zikitenganishwa kwa nafasi wazi na zikiambatana na nukuu za kauli taarifa…
Kukiwa na kuungwa mkono na miswada miwili, vifungu viwili, Luka 22:19b-20 na 24:51b, vilirejeshwa katika matini, na kifungu kimoja, Luka 22:43-44, kiliwekwa katika tanbihi, kama ni ibara katika Luka 12:39."