Huu mfumko wa bei Rais Samia hauoni, anatukomoa au ni chuki?

Emmanuel kant

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2026
Posts
333
Reaction score
857
Wakuu hali ya mfuko wa bei naona ni karibia asilimia mia+ ya bei za 2021.

Iwe nauli sehemu ulikuwa unaenda kwa 40k sasa ni zaidi ya 90k. Kila kitu ni mara mbili ya bei iliyokuwepo 2021.

Huyu bibi anashida gani na watanganyika!?
Haya yote yakifanyika Zanzibar mambo ni shwari, afya bure umeme bei iko chini, mafuta bei chini.
 
Wakuu hali ya mfuko wa bei naona ni karibia asilimia ya bei za 2021. Iwe nauli sehemu ulikuwa unaenda kwa 40k sasa ni zaidi ya 90k. Kila kitu ni mara mbili ya bei iliyokuwepo 2021. Huyu bibi anashida gani na watanganyika!?

Gentleman,
ni nchi gani Africa au kote ulimwenguni hakuna mfumuko wa bei kwasasa?

hebu saidia wadau wa JF, kujua nchi hizo, kuelewa kulikoni huko hakuna mfumuko wa bei kwasasa, na kwakweli kupata kujua zaidi mbinu walizotumia kudhibiti mfumuko wa bei licha ya changamoto za mizozo ya kiuchumi na utu inayoendelea ulimwenguni, na kwakweli itapendeza sana aise.:HAhaa:
 
Yupo bize kujisafisha, she doesnt care
 
Gentleman,
ni nchi gani Africa au kote ulimwenguni hakuna mfumuko wa bei kwasasa?

hebu saidia wadau wa JF, kujua nchi hizo, kuelewa kulikoni huko hakuna mfumuko wa bei kwasasa, na kwakweli kupata kujua zaidi mbinu walizotumia kudhibiti mfumuko wa bei licha ya changamoto za mizozo ya kiuchumi na utu inayoendelea ulimwenguni, na kwakweli itapendeza sana aise.:HAhaa:
Zanzibar unaijua!?
 
Mkuu upo sahihi, ila ni wapi uko nauli toka 40k hadi 90k,

Maana songea mwanza ilikua 93k saizi lski na 5000.
2021 bei ya mwanza-Dar ilikuwa 40k saivi ni shingap!?
Sabuni kipande ilikuwa 200 saivi 500-700.
Buku ulikuwa unapata GB1 na dakika kibao saivi buku mb490.
Au wewe uko Zanzibar!?
 
Kila kitu ni mara mbili ya bei iliyokuwepo 2021. Huyu bibi anashida gani na watanganyika!?
Unajua kama bei ya mafuta imepanda duniani?. Meli ndege magari yote yanatumia mafuta. Sasa unadhani wauza bidhaa nao watauza kwa bei ile ile ya zamani?.

Kwanini kila kitu analaumiwa rais?. Hivi ushawahi kumlaumu mzee wako siku ulolala na njaa?.
 
Nimeongelea toka 2021 mpaka leo sijaongelea kupanda kwa juzi!
Btn hiyo kupanda kwa mafuta bongo sio bei ni kodi lukuki ambazo ni karibia nusu ya bei
 
Kutoka 2021 mpaka leo wewe miaka yako imeongezeka mitano(5) sasa unataka bei ibaki palepale?.

2021 nilikwenda china ticket ilikuwa $650 round trip leo hii zaidi ya $1,200+.

2021 kusafiri kwa ndege Europe(kutoka nchi moja ya EU kwenda nchi nyengine ya EU)$150 mpaka $400 leo hii $500 mpaka $800+

2021 mafuta ya petrol US 1 gallon $2.14 leo hii $4.75.

2021 tickets ya ndege kutoka Tanzania mpaka USA $850 round trip leo hii $2,199.
 
Wakuu hali ya mfuko wa bei naona ni karibia asilimia mia+ ya bei za 2021. Iwe nauli sehemu ulikuwa unaenda kwa 40k sasa ni zaidi ya 90k. Kila kitu ni mara mbili ya bei iliyokuwepo 2021. Huyu bibi anashida gani na watanganyika!?
Haya yote yakifanyika Zanzibar mambo ni shwari, afya bure umeme bei iko chini, mafuta bei chini.
Hivi Zanzibar kuna mfumko wa bei?
 
Ukisikia kupatwa kwa Watanganyika ndiyo huku sasa.
 
Back
Top Bottom