Huu mfumko wa bei Rais Samia hauoni, anatukomoa au ni chuki?

Kutoka 2021 mpaka leo wewe miaka yako imeongezeka mitano(5) sasa unataka bei ibaki palepale?.

2021 nilikwenda china ticket ilikuwa $650 round trip leo hii zaidi ya $1,200+.

2021 kusafiri kwa ndege Europe(kutoka nchi one ya EU kwenda nchi nyengine ya EU)$150 mpaka $400 leo hii $500 mpaka $800+

2021 mafuta ya petrol US 1 gallon $2.14 leo hii $4.75.

2021 tickets ya ndege kutoka Tanzania mpaka USA $850 round trip leo hii $2,199.
Jamiiforum naona chawa mnashika Kasi. 2015-2021 vitu havikupanda sasa kwa huyu vitu vinapanda kwa zaidi 100%. Inamaana huko duniani kila kitu kimepanda kwa 100%,!?
Kingine vitu ulaya kupanda bei na huku kwetu kupanda bei unajua ongezeko la pato la ulaya na huku kwetu!? Unaelewa kuhusu purchasing power ya ulaya na huku kwetu!?
Mnaambiwa mjengewe refinery mnakataa ili muagize mafuta, it means mnanufaika na huu mfumko.
 
Wakuu hali ya mfuko wa bei naona ni karibia asilimia mia+ ya bei za 2021. Iwe nauli sehemu ulikuwa unaenda kwa 40k sasa ni zaidi ya 90k. Kila kitu ni mara mbili ya bei iliyokuwepo 2021. Huyu bibi anashida gani na watanganyika!?
Haya yote yakifanyika Zanzibar mambo ni shwari, afya bure umeme bei iko chini, mafuta bei chini.
Kaenda Uganda, ngoja arudi.
 
Hahusiki na shida za Watanganyika, kwao Zanzibar mambo bul bul.
 
Tangu lini mzanzibari atakua na huruma na watanganyika kama kawaua zaidi y watanganyika elfu 10.
Anapiga pesa bara anapeleka kwao kuongoza salary.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Kutoka 2021 mpaka leo wewe miaka yako imeongezeka mitano(5) sasa unataka bei ibaki palepale?.

2021 nilikwenda china ticket ilikuwa $650 round trip leo hii zaidi ya $1,200+.

2021 kusafiri kwa ndege Europe(kutoka nchi one ya EU kwenda nchi nyengine ya EU)$150 mpaka $400 leo hii $500 mpaka $800+

2021 mafuta ya petrol US 1 gallon $2.14 leo hii $4.75.

2021 tickets ya ndege kutoka Tanzania mpaka USA $850 round trip leo hii $2,199.
Vipi kuhusu ongezeko la kipato?
 
Wakuu hali ya mfuko wa bei naona ni karibia asilimia mia+ ya bei za 2021. Iwe nauli sehemu ulikuwa unaenda kwa 40k sasa ni zaidi ya 90k. Kila kitu ni mara mbili ya bei iliyokuwepo 2021. Huyu bibi anashida gani na watanganyika!?
Haya yote yakifanyika Zanzibar mambo ni shwari, afya bure umeme bei iko chini, mafuta bei chini.
Samia ana maarifa yoyote ya ku regulate uchumi?
 
Naomba nianze na kukutukana ***** we huna akili kabisa na nauhakika hujasoma .

Hivi huwa mitandaon unazunguka kuangalia matako ya wasanii?? Hajujaona vita vya irani kabisa ? Wala vijiweni hujasikia ? Je hapa Tanzania tunazalisha mafuta?? Je kuna nchi ambako bei zimeshuka usa mafuta ni elfu 5 ww ulitaka bongo yawe buku?

Mama samia hahusiki popote hata hapa hongera zake kajitahidi sana.lijue hili hali ya dunia itakuwa mbaya sana kwa hii miaka mitatu mkate utafika 5000
 
Wakuu hali ya mfuko wa bei naona ni karibia asilimia mia+ ya bei za 2021. Iwe nauli sehemu ulikuwa unaenda kwa 40k sasa ni zaidi ya 90k. Kila kitu ni mara mbili ya bei iliyokuwepo 2021. Huyu bibi anashida gani na watanganyika!?
Haya yote yakifanyika Zanzibar mambo ni shwari, afya bure umeme bei iko chini, mafuta bei chini.
Ulitegemea mfumuko usiwepo even after global crisis ya mafuta?

Have you compared with similar countries?
 
Kwa bei hii ya mafuta vitu vitapanda sana kama Serikali wataendelea kukaa kimya maana nilitegemea Bunge waitishe kikao cha Dharula kujadili hili swala ila nilipoona kiongozi wa Bunge ni yule Mzee wa kodi kwenye Mpesa nikagundua hakuna kitu watajadili mpaka wanaenda Motoni..
 
Kutoka 2021 mpaka leo wewe miaka yako imeongezeka mitano(5) sasa unataka bei ibaki palepale?.

2021 nilikwenda china ticket ilikuwa $650 round trip leo hii zaidi ya $1,200+.

2021 kusafiri kwa ndege Europe(kutoka nchi one ya EU kwenda nchi nyengine ya EU)$150 mpaka $400 leo hii $500 mpaka $800+

2021 mafuta ya petrol US 1 gallon $2.14 leo hii $4.75.

2021 tickets ya ndege kutoka Tanzania mpaka USA $850 round trip leo hii $2,199.
Kuna kitu kinaitwa purchasing power parity(PPP).

Shilingi ya Tanzania imeporomoka vibaya mno. Na itazidi kuporomoka kwa sababu ya kuendesha nchi kwa misingi ya propaganda na uchawa.
 
Machawa wanachojali ni matumbo yao
 
Naomba nianze na kukutukana ***** we huna akili kabisa na nauhakika hujasoma .

Hivi huwa mitandaon unazunguka kuangalia matako ya wasanii?? Hajujaona vita vya irani kabisa ? Wala vijiweni hujasikia ? Je hapa Tanzania tunazalisha mafuta?? Je kuna nchi ambako bei zimeshuka usa mafuta ni elfu 5 ww ulitaka bongo yawe buku?

Mama samia hahusiki popote hata hapa hongera zake kajitahidi sana.lijue hili hali ya dunia itakuwa mbaya sana kwa hii miaka mitatu mkate utafika 5000
Dogo uwe unasoma kwanza unaelewa bei kupanda zimeanza toka 2021 baada ya kuapishwa. Kingine Zanzibar mbona mafuta yako chini, Kenya na Zambia wameweka ruzuku. Hii serikali yako Haina njia yoyote ya kukabiliana na mfumko
 
Yeye mfumuko wa bei unamuhusu nini? Wakati anakula anashiba zake mi juu guu… ikulu

Ni jukumu letu kulipunguza hilo fumuko la bei

Hapo SA .. vitu vikipanda bei wanawachapa wenye maduka na kuvunja mabenki na kufunga mabarabara mpaka bei zinashushwa nyie kutwa tu kulalamika
 
Pandisheni Bei za pombe tumechoka kulewa kupunguza machungu ya hali ngumu ya maisha
 
Mfumuko wa bei upo kote si zanzibarwala si Tanzania bara, ispokua kama utapeleleza, Wazanzibar sio walalamikaji kama Watanganyika, duh, aisee watanganyika wanalalamika sana, zanzibar yanaendelea mengi ila Waznz ni wastahamiliv sn
 
Back
Top Bottom