Unafananisha zanzibar?? Na tz bara ? Hujui wako mil 2? Yaan kasulu ina watu mara mbili ya zenji.ni kama familia ndogo ya watu watatu haiwezi kula matikiti kila siku yataharibika ila mkiwa 10 ni rahisi inaitwa economies of scale .kuna faida na hasara za udogo na ukubwa wa nchi,uchumi wa dunia toka korona haujawahi tengemaa.
Njia ya kupunguza bei ninkuongeza uuzaji bidhaa nje kwa wananchi kuongeza uzalishaji ila mpate hela za kigen mtengamae kazi ya maendeleo wa kulaumu 80% ni wananchi sio serikal.wapalestina walitolewa maskin kwa vita wakapelekwa sudani ya kaskazin walifika hawana hata nguo leo ni matajiri wa kutupwa si kwa msaada wa serikal bali wao kama wao walijikita kwenye kilimo na biashara