Emmanuel kant
JF-Expert Member
- Mar 15, 2026
- 333
- 857
Gentleman,Wakuu hali ya mfuko wa bei naona ni karibia asilimia ya bei za 2021. Iwe nauli sehemu ulikuwa unaenda kwa 40k sasa ni zaidi ya 90k. Kila kitu ni mara mbili ya bei iliyokuwepo 2021. Huyu bibi anashida gani na watanganyika!?
Haya yote yakifanyika Zanzibar mambo ni shwari, afya bure umeme bei iko chini, mafuta bei chini.
Yupo bize kujisafisha, she doesnt careWakuu hali ya mfuko wa bei naona ni karibia asilimia ya bei za 2021. Iwe nauli sehemu ulikuwa unaenda kwa 40k sasa ni zaidi ya 90k. Kila kitu ni mara mbili ya bei iliyokuwepo 2021. Huyu bibi anashida gani na watanganyika!?
Haya yote yakifanyika Zanzibar mambo ni shwari, afya bure umeme bei iko chini, mafuta bei chini.
Hata kama ni ukatili huu umezidiYupo bize kujisafisha, she doesnt care
Duuh!!! Ukilalamika uchapwe bakoraKuchapwa bakora kutokana na utukutu
Zanzibar unaijua!?Gentleman,
ni nchi gani Africa au kote ulimwenguni hakuna mfumuko wa bei kwasasa?
hebu saidia wadau wa JF, kujua nchi hizo, kuelewa kulikoni huko hakuna mfumuko wa bei kwasasa, na kwakweli kupata kujua zaidi mbinu walizotumia kudhibiti mfumuko wa bei licha ya changamoto za mizozo ya kiuchumi na utu inayoendelea ulimwenguni, na kwakweli itapendeza sana aise.
2021 bei ya mwanza-Dar ilikuwa 40k saivi ni shingap!?Mkuu upo sahihi, ila ni wapi uko nauli toka 40k hadi 90k,
Maana songea mwanza ilikua 93k saizi lski na 5000.
Unajua kama bei ya mafuta imepanda duniani?. Meli ndege magari yote yanatumia mafuta. Sasa unadhani wauza bidhaa nao watauza kwa bei ile ile ya zamani?.Kila kitu ni mara mbili ya bei iliyokuwepo 2021. Huyu bibi anashida gani na watanganyika!?
Nimeongelea toka 2021 mpaka leo sijaongelea kupanda kwa juzi!Unajua kama bei ya mafuta imepanda duniani?. Meli ndege magari yote yanatumia mafuta. Sasa unadhani wauza bidhaa nao watauza kwa bei ile ile ya zamani?.
Kwanini kila kitu analaumiwa rais?. Hivi ushawahi kumlaumu mzee wako siku ulolala na njaa?.
Labda vyakula tuBei ya mafuta ikipanda Tanganyika, Zanzibar haiwezi kupona kwenye bei za vyakula.
Kwa huu mfumko kutunza hela mbona kama sio sawaTunza chakula na hela mwaka huu ni wa shida.
Kutoka 2021 mpaka leo wewe miaka yako imeongezeka mitano(5) sasa unataka bei ibaki palepale?.Nimeongelea toka 2021 mpaka leo sijaongelea kupanda kwa juzi!
Btn hiyo kupanda kwa mafuta bongo sio bei ni kodi lukuki ambazo ni karibia nusu ya bei
Hivi Zanzibar kuna mfumko wa bei?Wakuu hali ya mfuko wa bei naona ni karibia asilimia mia+ ya bei za 2021. Iwe nauli sehemu ulikuwa unaenda kwa 40k sasa ni zaidi ya 90k. Kila kitu ni mara mbili ya bei iliyokuwepo 2021. Huyu bibi anashida gani na watanganyika!?
Haya yote yakifanyika Zanzibar mambo ni shwari, afya bure umeme bei iko chini, mafuta bei chini.
huenda kila aliona koment yako anacheka gentleman 🤣Zanzibar unaijua!?