Emmanuel kant
JF-Expert Member
- Mar 15, 2026
- 333
- 857
- Thread starter
-
- #21
Jamiiforum naona chawa mnashika Kasi. 2015-2021 vitu havikupanda sasa kwa huyu vitu vinapanda kwa zaidi 100%. Inamaana huko duniani kila kitu kimepanda kwa 100%,!?Kutoka 2021 mpaka leo wewe miaka yako imeongezeka mitano(5) sasa unataka bei ibaki palepale?.
2021 nilikwenda china ticket ilikuwa $650 round trip leo hii zaidi ya $1,200+.
2021 kusafiri kwa ndege Europe(kutoka nchi one ya EU kwenda nchi nyengine ya EU)$150 mpaka $400 leo hii $500 mpaka $800+
2021 mafuta ya petrol US 1 gallon $2.14 leo hii $4.75.
2021 tickets ya ndege kutoka Tanzania mpaka USA $850 round trip leo hii $2,199.
Nimekuignore wewe chawahuenda kila aliona koment yako anacheka gentleman 🤣
Kaenda Uganda, ngoja arudi.Wakuu hali ya mfuko wa bei naona ni karibia asilimia mia+ ya bei za 2021. Iwe nauli sehemu ulikuwa unaenda kwa 40k sasa ni zaidi ya 90k. Kila kitu ni mara mbili ya bei iliyokuwepo 2021. Huyu bibi anashida gani na watanganyika!?
Haya yote yakifanyika Zanzibar mambo ni shwari, afya bure umeme bei iko chini, mafuta bei chini.
that's none of my business dear mfuata mkumbo 🐒Nimekuignore wewe chawa
Hahusiki na shida za Watanganyika, kwao Zanzibar mambo bul bul.Wakuu hali ya mfuko wa bei naona ni karibia asilimia mia+ ya bei za 2021. Iwe nauli sehemu ulikuwa unaenda kwa 40k sasa ni zaidi ya 90k. Kila kitu ni mara mbili ya bei iliyokuwepo 2021. Huyu bibi anashida gani na watanganyika!?
Haya yote yakifanyika Zanzibar mambo ni shwari, afya bure umeme bei iko chini, mafuta bei chini.
Vipi kuhusu ongezeko la kipato?Kutoka 2021 mpaka leo wewe miaka yako imeongezeka mitano(5) sasa unataka bei ibaki palepale?.
2021 nilikwenda china ticket ilikuwa $650 round trip leo hii zaidi ya $1,200+.
2021 kusafiri kwa ndege Europe(kutoka nchi one ya EU kwenda nchi nyengine ya EU)$150 mpaka $400 leo hii $500 mpaka $800+
2021 mafuta ya petrol US 1 gallon $2.14 leo hii $4.75.
2021 tickets ya ndege kutoka Tanzania mpaka USA $850 round trip leo hii $2,199.
Samia ana maarifa yoyote ya ku regulate uchumi?Wakuu hali ya mfuko wa bei naona ni karibia asilimia mia+ ya bei za 2021. Iwe nauli sehemu ulikuwa unaenda kwa 40k sasa ni zaidi ya 90k. Kila kitu ni mara mbili ya bei iliyokuwepo 2021. Huyu bibi anashida gani na watanganyika!?
Haya yote yakifanyika Zanzibar mambo ni shwari, afya bure umeme bei iko chini, mafuta bei chini.
Ulitegemea mfumuko usiwepo even after global crisis ya mafuta?Wakuu hali ya mfuko wa bei naona ni karibia asilimia mia+ ya bei za 2021. Iwe nauli sehemu ulikuwa unaenda kwa 40k sasa ni zaidi ya 90k. Kila kitu ni mara mbili ya bei iliyokuwepo 2021. Huyu bibi anashida gani na watanganyika!?
Haya yote yakifanyika Zanzibar mambo ni shwari, afya bure umeme bei iko chini, mafuta bei chini.
Kuna kitu kinaitwa purchasing power parity(PPP).Kutoka 2021 mpaka leo wewe miaka yako imeongezeka mitano(5) sasa unataka bei ibaki palepale?.
2021 nilikwenda china ticket ilikuwa $650 round trip leo hii zaidi ya $1,200+.
2021 kusafiri kwa ndege Europe(kutoka nchi one ya EU kwenda nchi nyengine ya EU)$150 mpaka $400 leo hii $500 mpaka $800+
2021 mafuta ya petrol US 1 gallon $2.14 leo hii $4.75.
2021 tickets ya ndege kutoka Tanzania mpaka USA $850 round trip leo hii $2,199.
Dogo mfuko nimeongelea toka 2021 baada ya kuingia huyo mama yakoUlitegemea mfumuko usiwepo even after global crisis ya mafuta?
Have you compared with similar countries?
Machawa wanachojali ni matumbo yaoKuna kitu kinaitwa purchasing power parity(PPP).
Shilingi ya Tanzania imeporomoka vibaya mno. Na itazidi kuporomoka kwa sababu ya kuendesha nchi kwa misingi ya propaganda na uchawa.
Dogo uwe unasoma kwanza unaelewa bei kupanda zimeanza toka 2021 baada ya kuapishwa. Kingine Zanzibar mbona mafuta yako chini, Kenya na Zambia wameweka ruzuku. Hii serikali yako Haina njia yoyote ya kukabiliana na mfumkoNaomba nianze na kukutukana ***** we huna akili kabisa na nauhakika hujasoma .
Hivi huwa mitandaon unazunguka kuangalia matako ya wasanii?? Hajujaona vita vya irani kabisa ? Wala vijiweni hujasikia ? Je hapa Tanzania tunazalisha mafuta?? Je kuna nchi ambako bei zimeshuka usa mafuta ni elfu 5 ww ulitaka bongo yawe buku?
Mama samia hahusiki popote hata hapa hongera zake kajitahidi sana.lijue hili hali ya dunia itakuwa mbaya sana kwa hii miaka mitatu mkate utafika 5000
Ukiwauliza kipato nacho kimeongeka chawa wanakimbiaVipi kuhusu ongezeko la kipato?