fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,699
- 9,323
kwani yeye anahusika vipi?Wakuu hali ya mfuko wa bei naona ni karibia asilimia mia+ ya bei za 2021.
Iwe nauli sehemu ulikuwa unaenda kwa 40k sasa ni zaidi ya 90k. Kila kitu ni mara mbili ya bei iliyokuwepo 2021.
Huyu bibi anashida gani na watanganyika!?
Haya yote yakifanyika Zanzibar mambo ni shwari, afya bure umeme bei iko chini, mafuta bei chini.
Boss kumbe unazungumzia hvyo, maisha lazma yabadilike mkuu,2021 bei ya mwanza-Dar ilikuwa 40k saivi ni shingap!?
Sabuni kipande ilikuwa 200 saivi 500-700.
Buku ulikuwa unapata GB1 na dakika kibao saivi buku mb490.
Au wewe uko Zanzibar!?
AnatukomoaWakuu hali ya mfuko wa bei naona ni karibia asilimia mia+ ya bei za 2021.
Iwe nauli sehemu ulikuwa unaenda kwa 40k sasa ni zaidi ya 90k. Kila kitu ni mara mbili ya bei iliyokuwepo 2021.
Huyu bibi anashida gani na watanganyika!?
Haya yote yakifanyika Zanzibar mambo ni shwari, afya bure umeme bei iko chini, mafuta bei chini.
Unafananisha zanzibar?? Na tz bara ? Hujui wako mil 2? Yaan kasulu ina watu mara mbili ya zenji.ni kama familia ndogo ya watu watatu haiwezi kula matikiti kila siku yataharibika ila mkiwa 10 ni rahisi inaitwa economies of scale .kuna faida na hasara za udogo na ukubwa wa nchi,uchumi wa dunia toka korona haujawahi tengemaa.Dogo uwe unasoma kwanza unaelewa bei kupanda zimeanza toka 2021 baada ya kuapishwa. Kingine Zanzibar mbona mafuta yako chini, Kenya na Zambia wameweka ruzuku. Hii serikali yako Haina njia yoyote ya kukabiliana na mfumko
Go *** your selfUnafananisha zanzibar?? Na tz bara ? Hujui wako mil 2? Yaan kasulu ina watu mara mbili ya zenji.ni kama familia ndogo ya watu watatu haiwezi kula matikiti kila siku yataharibika ila mkiwa 10 ni rahisi inaitwa economies of scale .kuna faida na hasara za udogo na ukubwa wa nchi,uchumi wa dunia toka korona haujawahi tengemaa.
Njia ya kupunguza bei ninkuongeza uuzaji bidhaa nje kwa wananchi kuongeza uzalishaji ila mpate hela za kigen mtengamae kazi ya maendeleo wa kulaumu 80% ni wananchi sio serikal.wapalestina walitolewa maskin kwa vita wakapelekwa sudani ya kaskazin walifika hawana hata nguo leo ni matajiri wa kutupwa si kwa msaada wa serikal bali wao kama wao walijikita kwenye kilimo na biashara
And ur ma f mamaGo *** your self
Dick headAnd ur ma f mama
Nadhani anawakomoa watanganyikaMambo ya kupanda bei wala kushuka bei sidhani kama anapambana nako huko maana alikuja mapema na kusema vitu vitapanda sana bei kutokana na ishu ya mafuta na wala hawajakuja na mbinu yeyote ya kukabiliana na huu mfumuko maana unawanufaisha baadhi ya wafanyabiashara wa mafuta.