Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Mfumo wa ESS ni closed loop Public system,Sioni sababu na nashangaa kwanini UTUMISHI wamekimbilia kutumia ESS na huku ukweli haufanyi kazi, unaingia Online wanakwambia wanashidnwa ku-retrieve taarifa zako...
kwani hao Customer Care si ndio wanaweza kuwa HRs au ITs wenyewe? Mimi nataka ushuhuda hapa wa mtu aliyesaidiwa na HR au IT, ni vimeo na wana viburi balaa.Mfumo wa ESS ni closed loop Public system,
Kwa sababu Ukihitaji kitu kubadili au kuweka sawa unamcontact IT wako wa wilaya au HR wako...
Shida ni kila Wilaya ina HR wake na IT Wake kuna maswala ambayo kila wilaya inayo ni tofauti na wilaya zingine..kwani hao Customer Care si ndio wanaweza kuwa HRs au ITs wenyewe? Mimi nataka ushuhuda hapa wa mtu aliyesaidiwa na HR au IT, ni vimeo na wana viburi balaa.
Kastama kea ni eitisielo Mkuu...unaweza kupiga mtu kwenzi ukafungwa!!!Customer care wa TANESCO?
Hakuna. Mfumo umekaa kimagumashi (upande wa uhamisho)Tangu mfumo uanze kuna mtumishi yeyote aliyefanikiwa kupata uhamisho wa let's say kutoka mkoa A kwenda mkoa B baada ya kuomba uhamisho huo kupitia mfumo?
Hahahaha AISEEE ila dahKastama kea ni eitisielo Mkuu...unaweza kupiga mtu kwenzi ukafungwa!!!
Sawaaaaa kabisa Ndugu! Basi wacha tuendelee kuomba ila soon namwachisha kazini kweli kabisa wapo waliosaidiwa na Watu wa TEHAMA na Ma HRs na wapo ambao wanaona kuwa watu hao wako humble na wapo wanaoona hawafanyi kazi..
SubutuuuTangu mfumo uanze kuna mtumishi yeyote aliyefanikiwa kupata uhamisho wa let's say kutoka mkoa A kwenda mkoa B baada ya kuomba uhamisho huo kupitia mfumo?
Sasa kama mfumo umeshindwa kurahisisha uhamisho si warejeshe tu ule utaratibu wa kuandika mabarua uliozoleka kwa watumishi japo nao una mapungufu mengi?Subutuuu
Kama ni kuchunguza hujuma waanzie paleHahahaha AISEEE ila dah
Nest ni nzuri ila nachukia sana unapotafuta items ni ushenzi mtupu kwenye ile template ya excel, unaezakaa lisaa unatafuta item moja hauipati, jamamaaa wamanunuzi akaniambia unajichosha zile code akaniambia just pick any copy ila spec ndo uweke za kuelewekaSioni sababu na nashangaa kwanini UTUMISHI wamekimbilia kutumia ESS na huku ukweli haufanyi kazi, unaingia Online wanakwambia wanashidnwa ku-retrieve taarifa zako, unaomba uhamisho, unajaza kila taarifa then unakuta hakuna kiytu chochote na hakuna mtu wa kukusadiai.
Naupenda sana Mfumo wa NEST (National E-procurement System) wana kitengo cha msaada na mnafanya wote online na mnapata suluhu mara moja, yaani UTUMISHI wanashindwa hata na Customer care wa TANESCO? Mfumo gani ambao hauna msaada? huu ni mwanya wa kukaribisha rushwa na mambo mengine. Mjipange au mtoke humo ofisini. na mnavyojiona Miungu watu sasa.
Mwizi hawezi kumuamini MTU hata siku mojaSasa kama mfumo umeshindwa kurahisisha uhamisho si warejeshe tu ule utaratibu wa kuandika mabarua uliozoleka kwa watumishi japo nao una mapungufu mengi?
Mpaka mtu anajiachisha kazi ina maana hajui kusoma ? Maana kila sehemu ya kubofya kuna maandishi yanayomuongoza.Kuweni waangalifu sana ni hiyo mifumo ya IT.
Unaweza shituka unaletewa barua ya Kuachishwa kazi bila kujua.
Unabonyeza bonyeza bila tahadhari utajikuta umeomba kuacha kazi masaa 24.
Kuna watu bila kubonyeza bonyeza kwenye mifumo ya Serikali hawaridhiki kabisa.
🤣🤣🤣Si bora hao washajisajil,sisi wengine tunamsubiri afisa utumishi wizarani dodoma apitishe email address zetu ili tujisajili🙏Kuweni waangalifu sana ni hiyo mifumo ya IT.
Unaweza shituka unaletewa barua ya Kuachishwa kazi bila kujua.
Unabonyeza bonyeza bila tahadhari utajikuta umeomba kuacha kazi masaa 24.
Kuna watu bila kubonyeza bonyeza kwenye mifumo ya Serikali hawaridhiki kabisa.
Duh, Nyie mko nyuma sana na wakati.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Si bora hao washajisajil,sisi wengine tunamsubiri afisa utumishi wizarani dodoma apitishe email address zetu ili tujisajili[emoji120]
Ila maadamu salary inasoma,fresh tu