KERO Huu mfumo wa Employee Self Service wa Utumishi haufanyi kazi

KERO Huu mfumo wa Employee Self Service wa Utumishi haufanyi kazi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Ni kuwashughulisha watu na ma-mifumo ambayo hayana tija yoyote ile zaidi ya kuongeza usumbufu na kupunguzia watu morale ya kazi, kila siku wabaki kuwaza kuingiza taarifa kwenye mfumo badala ya kuwajibika na kazi za kila siku....​
 
Mimi pitisheni Tu Maombi ya Mke wangu, hizi story za Ajira za Serikali nilizikimbia 20years ago. Naomba mnisaidie hata kwa pesa ilimradi Tu ahamishiwe huku kwa Watoto wake. Huu ni unyanyasaji mkubwa sana
Mkuu Fatilia kwa Afisa utumishi wake..
Na ikibidi nenda kwa Ded wake wataona ni swala lilio serious so watafamya jitihada za kukuhamisha..

Na kama watakuwa nado wanazingua nenda kwa RAS ndo Kiongozi wa watumishi Mkoa..so ombi lako litatatuliwa
 
Umewahi kusikia Kitu kinaitwa Local Public?
Au Public but Locally?
Ndo mfumo huu unavyofanya kazi..

VItu vyote vimewekwa Public but kwa manufaa yanayofanyika local na hata maelezo yake yako clear kabisa.. Nitayaweka..baadae..

Kuhusu Sehemu ya kuweka Namba sio kweli (Nahisi mfumo huujui)..Kuhusu wanaobadilishana kubadilishana namba kwenhe mfumo ipo kuna namba yako na hata namba ya mwingine kuna sehemu ya Transfer incoming na outgoing utaona wanaotaka kuja Sehemu ulipo na namba zao ukiridhishwa unaweza kuwacontact na mkapanga kubadilishana..
Upitie mfumo ndugu utauelewa..
Na hii ndo process nzma ya uhamisho..Mkuu View attachment 2883151

Kuna kosa lolote hapo niulize nitakujibu
Upo huru kusema siujui. Ila nimejaza, status inasoma supervisor, supervisor "anadai" yeye mwenyewe mfumo haujui.

Full kukwama na hakuna kitu naweza kumfanya.

Nimewasilisha documents Baba mzazi ana cancer, ana attend clinic Ocean road, mm nipo peripheral kabisa mpakani.
 
Supervisor una ruhusa kumshitaki Tamisemi kama Anasema haujui mfumo hakuna Mtu ambaye haujui mfumo na hajafundishwa mfumo..
Kwa sababu.muulize kuhusu Taarifa zake za kiutendaji anajazaje?..
Unapaswa kuanza kumshitaki supervisor kwa HR au kwa Mkurugenzi,Meneja wako wa Taasisi..
 
Mkuu Fatilia kwa Afisa utumishi wake..
Na ikibidi nenda kwa Ded wake wataona ni swala lilio serious so watafamya jitihada za kukuhamisha..

Na kama watakuwa nado wanazingua nenda kwa RAS ndo Kiongozi wa watumishi Mkoa..so ombi lako litatatuliwa
Nitafunga safari rasmi kwa ajili ya hilo ru
 
Upo huru kusema siujui. Ila nimejaza, status inasoma supervisor, supervisor "anadai" yeye mwenyewe mfumo haujui.

Full kukwama na hakuna kitu naweza kumfanya.

Nimewasilisha documents Baba mzazi ana cancer, ana attend clinic Ocean road, mm nipo peripheral kabisa mpakani.
Ajira za Serikali ni kuumizana Tu, wanangu wanalazimika kulellewa na House girl wakati Mama yao yupo, si ushenzi huu?! Nitafunga safari nikawafurahishe, wananifahamu vizuri sana.
 
Hakuna. Mfumo umekaa kimagumashi (upande wa uhamisho)
Kote kote .... Mfumo wa hovyo sana ..... Nna zaidi ya miezi mitatu kila taarifa zangu wamezikosea wameniandikia cheo sio changu ...ukienda mara data cleaning mara nini..haya ... Majukumu hayashuki ukiwafuata Bado hata wao hawaelewi ...halafu wanaleta habari za kiwaki .... Ooh mwezi huu kama taarifa zako hazijakaa sawa haupati mshahara shenzi kabisa....
 
Wao ndio hawapaswi kupata mshahara,make mfumo wameuanzisha bila kujipanga kisawasawa,make una kasoro nyingi
 
Back
Top Bottom