KERO Huu mfumo wa Employee Self Service wa Utumishi haufanyi kazi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Supervisor una ruhusa kumshitaki Tamisemi kama Anasema haujui mfumo hakuna Mtu ambaye haujui mfumo na hajafundishwa mfumo..
Kwa sababu.muulize kuhusu Taarifa zake za kiutendaji anajazaje?..
Unapaswa kuanza kumshitaki supervisor kwa HR au kwa Mkurugenzi,Meneja wako wa Taasisi..
Tuko watu wengi sana ambao hatujafundishwa huu mfumo na TUMELAZIMISHWA kuendelea nao hivyo hivyo tunajifunza kadri tunavyofanya kazi.

Ila ninachokiona kuwa bado mfumo ni mpya na mgeni kwa watu wengi. Mfano sisi kazini kwetu tumeufahamu wiki ya Christmas na kulazimishwa kujaza kabla ya 31 Dec 2023. Mfumo hata miezi miwili hauna!! Kwanza registration yenyewe ilisumbua siku 4 mtu unashindwa kujisajili.

Mimi nadhani tuupe muda ni mapema mno kulalamika. Wanaweza kutatua tatizo ni kama ulivyosema HR na watu wa IT

Elli
 
Mkuu wewe ni Wa buyuni? Ya Kigamboni?
 
Supervisor una ruhusa kumshitaki Tamisemi kama Anasema haujui mfumo hakuna Mtu ambaye haujui mfumo na hajafundishwa mfumo..
Kwa sababu.muulize kuhusu Taarifa zake za kiutendaji anajazaje?..
Unapaswa kuanza kumshitaki supervisor kwa HR au kwa Mkurugenzi,Meneja wako wa Taasisi..
Acheni siasa kwenye maisha ya watu. Nyie mnaujua mfumo basi mnahisi kila mtu anaujua. Hicho anachoongea ni kweli kabisa, huu mfumo una mizengwe lukuki na hamjatoa elimu ya kutosha kwa hao mnaowaita supervisors. Wanahaha nao balaa. Achilia mbali watumishi wa kawaida ndio tunaburuzwa tu hata hatuelewi kitu.

Malalamiko ni mengi, yafanyieni kazi kuliko kushupaza shingo ionekane mlichofanya ni cha maana sana.

Halafu hivii mlifikiria na wanaokaa kwenye maeneo ambayo mtandao ni shida? Vipi na bando mtakuwa mnatupatia au mnatuchosha tu!!!
 
Mfumo wa ESS ni closed loop Public system,

Kwa sababu Ukihitaji kitu kubadili au kuweka sawa unamcontact IT wako wa wilaya au HR wako...

hUu mfumo unataarifa sensitive za kiutumishi hivyo kushughilka na taarifa sensitive kama hizo kwa online help haitakuwa jambo zuri.

Ndo maana unashauriwa umconsult HR wako kwa sababu ndo.anakujua ila TAMISEMI Wala UTUMISHI hawajui maendeleo yako ofisini.

Ni tofauti na mifumo mingine
Ni tofauti na Internet banking kea sababu hata kama una 200mil kwa akaunti sio kitu.

Are you listening to yourself??

Kwa taarifa ipi ya maana
 
Tuko watu wengi sana ambao hatujafundishwa huu mfumo na TUMELAZIMISHWA kuendelea nao hivyo hivyo tunajifunza kadri tunavyofanya kazi.

Ila ninachokiona kuwa bado mfumo ni mpya na mgeni kwa watu wengi. Mfano sisi kazini kwetu tumeufahamu wiki ya Christmas na kulazimishwa kujaza kabla ya 31 Dec 2023. Mfumo hata miezi miwili hauna!! Kwanza registration yenyewe ilisumbua siku 4 mtu unashindwa kujisajili.

Mimi nadhani tuupe muda ni mapema mno kulalamika. Wanaweza kutatua tatizo ni kama ulivyosema HR na watu wa IT

Elli
Mpwa, Mimi sio mwajiriwa ila niliingia kwenye huo unaitwa Mfumo kwa ajili ya kumsaidia Wife. Ukweli ni kwamba hakuna kitu chochote cha maana cha kusema eti hadi ufundishwe ....

Mfumo Una lugha mbili, kikristo na kiarabu, unachagua, unajaza unachotaka au unatafuta unachotaka, inakupa maelekezo mengine. Wala hakuna jipya.

Ni Aibu eti mwajiriwa WA Serikali kwa position ya IT anashindwa kuutumia huo "mfumo"! Mbona Gmail na kwengine tuna uwezo WA kuandika, kupost, ku reply, ku edit, etc? Nani alifundisha??
 
Acheni siasa kwenye maisha ya watu. Nyie mnaujua mfumo basi mnahisi kila mtu anaujua. Hicho anachoongea ni kweli kabisa, huu mfumo una mizengwe lukuki na hamjatoa elimu ya kutosha kwa hao mnaowaita supervisors. Wanahaha nao balaa. Achilia mbali watumishi wa kawaida ndio tunaburuzwa tu hata hatuelewi kitu.

Malalamiko ni mengi, yafanyieni kazi kuliko kushupaza shingo ionekane mlichofanya ni cha maana sana.

Halafu hivii mlifikiria na wanaokaa kwenye maeneo ambayo mtandao ni shida? Vipi na bando mtakuwa mnatupatia au mnatuchosha tu!!!
Mimi siku wametueleza tujisajili na shida niliyopata 4 days hakuna kinachoeleweka ilibidi niulize, hivi huu mfumo ni kwa ajili ya watumishi walioko mijini tu au hata wale kwenye vijiji ndani ndani huko? Nikaambiwa ni kwa wote!!! Nikasema muda utaongea.
 
Mpwa, Mimi sio mwajiriwa ila niliingia kwenye huo unaitwa Mfumo kwa ajili ya kumsaidia Wife. Ukweli ni kwamba hakuna kitu chochote cha maana cha kusema eti hadi ufundishwe ....

Mfumo Una lugha mbili, kikristo na kiarabu, unachagua, unajaza unachotaka au unatafuta unachotaka, inakupa maelekezo mengine. Wala hakuna jipya.

Ni Aibu eti mwajiriwa WA Serikali kwa position ya IT anashindwa kuutumia huo "mfumo"! Mbona Gmail na kwengine tuna uwezo WA kuandika, kupost, ku reply, ku edit, etc? Nani alifundisha??
Nafahamu unafanya ili wife wako ahamie mahali ulipo lakini tatizo ni kuwa mfumo ni mpya na una changamoto nyingi. Imagine kufanya registration tu ilinichukua 4 days kufanikiwa kwani kuregister email address si dakika 5 tu!!!
 
Ni tofauti na Internet banking kea sababu hata kama una 200mil kwa akaunti sio kitu.

Are you listening to yourself??

Kwa taarifa ipi ya maana
Taarifa za kiutumishi za Mtumishi yoyote ni siri na ziko Enclaused na Check number yake..
Na mtumishi hutambulika kwa check number..
Nahisi wewe sio mtumishi Ndo maana hujui kuwa taarifa za kiutumishi ni siri!
Asante
 
Mpwa, Mimi sio mwajiriwa ila niliingia kwenye huo unaitwa Mfumo kwa ajili ya kumsaidia Wife. Ukweli ni kwamba hakuna kitu chochote cha maana cha kusema eti hadi ufundishwe ....

Mfumo Una lugha mbili, kikristo na kiarabu, unachagua, unajaza unachotaka au unatafuta unachotaka, inakupa maelekezo mengine. Wala hakuna jipya.

Ni Aibu eti mwajiriwa WA Serikali kwa position ya IT anashindwa kuutumia huo "mfumo"! Mbona Gmail na kwengine tuna uwezo WA kuandika, kupost, ku reply, ku edit, etc? Nani alifundisha??
Asante sana Elli Umeeleza vizuri sana..
Hata hao masupervisor wanaosemwa hawajui mfumo Cha ajabu wana mifumo lukuki wanaitumia kabla ya Mfumo huo Kuja Upande wa Elimu Kuna ffars, PlanRep ,Na hata Ule wa Wanafunzi..
Upande wa Afya na idara zingine kuna mifumo Vile vile GotHomis, Ffars ,Dhis2, na Mingine mingi...

Yote hiyo hamuitumii?
Sasa kwnini wanafikiria kuwa kila kitu lazma ufunfishwe wakati unakijua?

Wewe unajua Kusoma Ubaoni unataka tena Ufundishwe Kusoma kutumia kitabu?

Hebu tujifunze kuwa Nashkrani..
Ndo maana nimesema ikiwa unaona Weww ni supervisor na hautaki kufanya kazi yako,Au wewe ni mtumishi hautaki kufanya kazi yako utaona kitakachokutokea..

Na sasa hivi taarifa Za PEPMIS Zinatakiwa zijazwe kila siku sasa zembeeni kujaza tena mseme.hamjafundishwa..

Mtu anatumia Simu yake ana Bando la kuingia Whatsapp kuingia Jamiiforum na kujibu email ila eti hana Bando la kuingia Kwenye mfumo..

"Usiulize Serikali itakufanyia nini wewe ,Bali jiulize Utaifanyia nini Serikali"...

CC: Kisesetusese Atoto
 
Naaam Naaam asante Sana Sana, Mimi naona kama vile ni uzembe Tu hakuna chochote
 
Serikali inajitajidi kufanya utumishi uwe wa kisasa na kurahisisha mambo kwa teknolojia watumishi ambao tunaamini ni wasomi mnalalamika sasa mwananchi kule kijijini atasemaje? Pumbavu sana
 
Back
Top Bottom