KERO Huu mfumo wa Employee Self Service wa Utumishi haufanyi kazi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Kuweni waangalifu sana ni hiyo mifumo ya IT.
Unaweza shituka unaletewa barua ya Kuachishwa kazi bila kujua.
Unabonyeza bonyeza bila tahadhari utajikuta umeomba kuacha kazi masaa 24.
Kuna watu bila kubonyeza bonyeza kwenye mifumo ya Serikali hawaridhiki kabisa.
Daahh[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Mkuu Fatilia kwa Afisa utumishi wake..
Na ikibidi nenda kwa Ded wake wataona ni swala lilio serious so watafamya jitihada za kukuhamisha..

Na kama watakuwa nado wanazingua nenda kwa RAS ndo Kiongozi wa watumishi Mkoa..so ombi lako litatatuliwa
Kwanini Milolongo mirefu ivi ivi tunajua kweli thamani ya muda,yani mtu uanze kuzurura Kwa ajili ya Uhamisho,MTU anasababu ya msingi kabisa hivi Sisi tumelogwa na Nani?
 
Asante sana Elli Umeeleza vizuri sana..
Hata hao masupervisor wanaosemwa hawajui mfumo Cha ajabu wana mifumo lukuki wanaitumia kabla ya Mfumo huo Kuja Upande wa Elimu Kuna ffars, PlanRep ,Na hata Ule wa Wanafunzi..
Upande wa Afya na idara zingine kuna mifumo Vile vile GotHomis, Ffars ,Dhis2, na Mingine mingi...

Yote hiyo hamuitumii?
Sasa kwnini wanafikiria kuwa kila kitu lazma ufunfishwe wakati unakijua?

Wewe unajua Kusoma Ubaoni unataka tena Ufundishwe Kusoma kutumia kitabu?

Hebu tujifunze kuwa Nashkrani..
Ndo maana nimesema ikiwa unaona Weww ni supervisor na hautaki kufanya kazi yako,Au wewe ni mtumishi hautaki kufanya kazi yako utaona kitakachokutokea..

Na sasa hivi taarifa Za PEPMIS Zinatakiwa zijazwe kila siku sasa zembeeni kujaza tena mseme.hamjafundishwa..

Mtu anatumia Simu yake ana Bando la kuingia Whatsapp kuingia Jamiiforum na kujibu email ila eti hana Bando la kuingia Kwenye mfumo..

"Usiulize Serikali itakufanyia nini wewe ,Bali jiulize Utaifanyia nini Serikali"...

CC: Kisesetusese Atoto
Na walio vijijini ambako Hakuna internet wao watakuwa wanaupdate vipi izo taarifa kila siku?
 
Sasa mbona unatufokea kiongozi.... Najazaje iyo PEMPMIS kama kiongozi wangu ajanishushia majukumu!?? Kwa hiyo nikamjazie majukumu yake nijishushie Nije nijaze majuku yangu!?? ..... Najazaje taarifa ya kila siku kama Sina Tasks ~subtasks!?
 
Kwanini Milolongo mirefu ivi ivi tunajua kweli thamani ya muda,yani mtu uanze kuzurura Kwa ajili ya Uhamisho,MTU anasababu ya msingi kabisa hivi Sisi tumelogwa na Nani?
Yaani ukiomba kuhama siku hizi wanazingua sijui Kuna nini,tena ukiwaambia unamatatizo makubwa unataka kuhama hapo ulipo ndo watakuzingua na kukuzungusha na visababu vya ajabu alimuradi uteseke tu
 
Tanzania hii hii nchi kubwa hii unadhani watumishi waliopo maeneo ya vijijini kabisa huko pembezoni maisha yao yalikuaje.kwanza mpaka afike benki ni km 100 kwahiyo atapoteza siku 3 au 4 nje ya kituo cha kazi kushughulikia mkopo na hapo lazima amwachie loan officer wa benki chochote. Serikali inajitajidi sana kuhakikisha huduma zinakuwa rahisi kupitia hii mifumo.
Mbona umekuwa mtetezi wa ujinga ujinga ulioletwa na serikali kupitia huo mfumo ambao hadi sasa hakuna chochote cha maana kilichoboreshwa na mfumo? Mambo yamekuwa magumu kuliko ilivyokuwa awali hasa suala la uhamisho wa watumishi.
 
Huenda ni mmoja kati ya walio iuzia Serikali huo mfumo.
Analazimika kuutetea kwakuwa ni mnufaika.

Watumishi wanaposema kuwa mfumo unahitilafu flani flani, unatakiwa uwaulize hizo hitilafu na ikiwezekana kuwaeleza taratibu pale unapo elewa, na sio kuishia kuwabeza kiujumla wao.
 
Mbona umekuwa mtetezi wa ujinga ujinga ulioletwa na serikali kupitia huo mfumo ambao hadi sasa hakuna chochote cha maana kilichoboreshwa na mfumo? Mambo yamekuwa magumu kuliko ilivyokuwa awali hasa suala la uhamisho wa watumishi.

Kimsingi hili ni dili la riziwan,ndio mana wanafosi sana,watu washakula 10% na wanazidi kuneemeka,wewe mtumishi ni fala tu kwao.
 
Sasa mbona unatufokea kiongozi.... Najazaje iyo PEMPMIS kama kiongozi wangu ajanishushia majukumu!?? Kwa hiyo nikamjazie majukumu yake nijishushie Nije nijaze majuku yangu!?? ..... Najazaje taarifa ya kila siku kama Sina Tasks ~subtasks!?
Mkuu Huu utani kabisa!
Kila mtu ana JD (Job Description) alizoajiriwa nazo,
Ulipewa Na Mkurugenzi wako na zipo kwenye Faili lako Zimesainiwa ..

Majukumu unayojaza ni Majukumu Sawia kama uliyokuwa unajaza Kwenye OPRAS kilichobadilika Unatakiwa kuyavunja Majukumu hayo kutoka kwenye Mwezi Hadi siku..

Ili kila siku ukitimiza Supervisor wako Athibitishe wewe kutimiza majukumu hayo..
Ili iwe vyepesi Kutrace Maksi zako kwa siku, kwa mwezi ,Kwa Robo na hata kwa Mwka wa Fedha..

Sio kitu kipya Kilikuwa kikifanywa kwenye OPRAS (Kama hardcopy) sasa kinafnywa PEMPMIS kama softcopy..
Sasa.kipi kinakushinda kuhusu Hilo?
 
Unaongea kujibu au unajibi uhalisia !?? .... Hauiwezi kuingia kujijazia bila Mkuu wa idara kushusha majukumu Kwa Kwa wakuu wa vitengo nao kushusha Kwa wataalamu wa vitengo husika. Na hivyo ndivyo tulivyofundishwa na kuelekezwa na timu ya kutoka tamisemi ambayo ndio inajukumu la kuseminisha watumishi ... Hivyo walitudanganya!?? Mimi nikiingia hakuna sehemu ya kuingiza majukumu halafu unakataa... Daah
 
Unataka nikuelekeze au Huoni sehemu ya Kuingiza Majukumu Mkuu?
Majukumu Yote Mtumishi anatakuwa kujaza baada ya kupewa Breakdown ya majukumu yake..
 
Unataka nikuelekeze au Huoni sehemu ya Kuingiza Majukumu Mkuu?
Screenshot_20240205-210538.jpg

Mimi ilikuwa hiyo dialogue juu ya TRANSFER ya PEPMIS ilikuwa haipo kabisaaaa ndio tumepambana ndio Leo imeshuka ..ilikuwa inaanzia Transfer ,loans, profile na salary sleep tu.... Ndio uwe unaelewa.
 
Mbona umekuwa mtetezi wa ujinga ujinga ulioletwa na serikali kupitia huo mfumo ambao hadi sasa hakuna chochote cha maana kilichoboreshwa na mfumo? Mambo yamekuwa magumu kuliko ilivyokuwa awali hasa suala la uhamisho wa watumishi.
Watanzania wengi ni wajinga na waoga wa maendeleo. Mnaogopa nini kujifunza digital?
 
Mkuu mbona povu sana, jibu hoja badala ya kutoa kejeli.....au ulaji wako umeguswa, maana mara nyingi hapa unakuta ni dili watu wanataka wapige pesa kupitia bajeti ya kutengeneza, kufundisha na ku-maintain mfumo.
Nachukizwa na ujinga wa watanzania. Mimi siyo mtumishi wa umma lakini naelewa serikali inafanya kitu gani. Watu wavivu kujifunza mifumo mbona umeme zamani tulikua tunaenda kununua tanesco leo hii tunanunua kwa simu hamuoni mabadiliko? Stupid
 
Back
Top Bottom