EL_CHAPO_UNO
JF-Expert Member
- Apr 14, 2022
- 273
- 508
Daahh[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Kuweni waangalifu sana ni hiyo mifumo ya IT.
Unaweza shituka unaletewa barua ya Kuachishwa kazi bila kujua.
Unabonyeza bonyeza bila tahadhari utajikuta umeomba kuacha kazi masaa 24.
Kuna watu bila kubonyeza bonyeza kwenye mifumo ya Serikali hawaridhiki kabisa.
Kwanini Milolongo mirefu ivi ivi tunajua kweli thamani ya muda,yani mtu uanze kuzurura Kwa ajili ya Uhamisho,MTU anasababu ya msingi kabisa hivi Sisi tumelogwa na Nani?Mkuu Fatilia kwa Afisa utumishi wake..
Na ikibidi nenda kwa Ded wake wataona ni swala lilio serious so watafamya jitihada za kukuhamisha..
Na kama watakuwa nado wanazingua nenda kwa RAS ndo Kiongozi wa watumishi Mkoa..so ombi lako litatatuliwa
Ahaaaa mwese niin mkuuu maana Kuna secondary Iko njiani ila mtandao ......huko uvinza vijijini na Tanganyika mtandao shida sana hukoHahahaha kuna Shule pale Wilaya ya Tanganyika iko kati kati ya Pori
Na walio vijijini ambako Hakuna internet wao watakuwa wanaupdate vipi izo taarifa kila siku?Asante sana Elli Umeeleza vizuri sana..
Hata hao masupervisor wanaosemwa hawajui mfumo Cha ajabu wana mifumo lukuki wanaitumia kabla ya Mfumo huo Kuja Upande wa Elimu Kuna ffars, PlanRep ,Na hata Ule wa Wanafunzi..
Upande wa Afya na idara zingine kuna mifumo Vile vile GotHomis, Ffars ,Dhis2, na Mingine mingi...
Yote hiyo hamuitumii?
Sasa kwnini wanafikiria kuwa kila kitu lazma ufunfishwe wakati unakijua?
Wewe unajua Kusoma Ubaoni unataka tena Ufundishwe Kusoma kutumia kitabu?
Hebu tujifunze kuwa Nashkrani..
Ndo maana nimesema ikiwa unaona Weww ni supervisor na hautaki kufanya kazi yako,Au wewe ni mtumishi hautaki kufanya kazi yako utaona kitakachokutokea..
Na sasa hivi taarifa Za PEPMIS Zinatakiwa zijazwe kila siku sasa zembeeni kujaza tena mseme.hamjafundishwa..
Mtu anatumia Simu yake ana Bando la kuingia Whatsapp kuingia Jamiiforum na kujibu email ila eti hana Bando la kuingia Kwenye mfumo..
"Usiulize Serikali itakufanyia nini wewe ,Bali jiulize Utaifanyia nini Serikali"...
CC: Kisesetusese Atoto
Luhafwe Primary school pale kwa WasukumaAhaaaa mwese niin mkuuu maana Kuna secondary Iko njiani ila mtandao ......huko uvinza vijijini na Tanganyika mtandao shida sana huko
Bro una uhakika?Hiyo ilikua zamani.kwa sasa maeneo mengi nchini yana umeme na mawasiliano siyo tatizo watu wanaweza ku access mtandao.
Sasa mbona unatufokea kiongozi.... Najazaje iyo PEMPMIS kama kiongozi wangu ajanishushia majukumu!?? Kwa hiyo nikamjazie majukumu yake nijishushie Nije nijaze majuku yangu!?? ..... Najazaje taarifa ya kila siku kama Sina Tasks ~subtasks!?Asante sana Elli Umeeleza vizuri sana..
Hata hao masupervisor wanaosemwa hawajui mfumo Cha ajabu wana mifumo lukuki wanaitumia kabla ya Mfumo huo Kuja Upande wa Elimu Kuna ffars, PlanRep ,Na hata Ule wa Wanafunzi..
Upande wa Afya na idara zingine kuna mifumo Vile vile GotHomis, Ffars ,Dhis2, na Mingine mingi...
Yote hiyo hamuitumii?
Sasa kwnini wanafikiria kuwa kila kitu lazma ufunfishwe wakati unakijua?
Wewe unajua Kusoma Ubaoni unataka tena Ufundishwe Kusoma kutumia kitabu?
Hebu tujifunze kuwa Nashkrani..
Ndo maana nimesema ikiwa unaona Weww ni supervisor na hautaki kufanya kazi yako,Au wewe ni mtumishi hautaki kufanya kazi yako utaona kitakachokutokea..
Na sasa hivi taarifa Za PEPMIS Zinatakiwa zijazwe kila siku sasa zembeeni kujaza tena mseme.hamjafundishwa..
Mtu anatumia Simu yake ana Bando la kuingia Whatsapp kuingia Jamiiforum na kujibu email ila eti hana Bando la kuingia Kwenye mfumo..
"Usiulize Serikali itakufanyia nini wewe ,Bali jiulize Utaifanyia nini Serikali"...
CC: Kisesetusese Atoto
Sio halmashauri tu,haya yametukuta hata huku serikali kuuWatumishi wa umma hasa halmashauri ni changamoto sana,mnaletewa mamifumo ya hovyo na mnalazimishwa mtekeleze
Yaani ukiomba kuhama siku hizi wanazingua sijui Kuna nini,tena ukiwaambia unamatatizo makubwa unataka kuhama hapo ulipo ndo watakuzingua na kukuzungusha na visababu vya ajabu alimuradi uteseke tuKwanini Milolongo mirefu ivi ivi tunajua kweli thamani ya muda,yani mtu uanze kuzurura Kwa ajili ya Uhamisho,MTU anasababu ya msingi kabisa hivi Sisi tumelogwa na Nani?
Mkuu mbona povu sana, jibu hoja badala ya kutoa kejeli.....au ulaji wako umeguswa, maana mara nyingi hapa unakuta ni dili watu wanataka wapige pesa kupitia bajeti ya kutengeneza, kufundisha na ku-maintain mfumo.Ukiingia Instagram kusoma ubuyu wa mambe kimangi nani anakuwekea bando?
Mbona umekuwa mtetezi wa ujinga ujinga ulioletwa na serikali kupitia huo mfumo ambao hadi sasa hakuna chochote cha maana kilichoboreshwa na mfumo? Mambo yamekuwa magumu kuliko ilivyokuwa awali hasa suala la uhamisho wa watumishi.Tanzania hii hii nchi kubwa hii unadhani watumishi waliopo maeneo ya vijijini kabisa huko pembezoni maisha yao yalikuaje.kwanza mpaka afike benki ni km 100 kwahiyo atapoteza siku 3 au 4 nje ya kituo cha kazi kushughulikia mkopo na hapo lazima amwachie loan officer wa benki chochote. Serikali inajitajidi sana kuhakikisha huduma zinakuwa rahisi kupitia hii mifumo.
Huenda ni mmoja kati ya walio iuzia Serikali huo mfumo.Mbona umekuwa mtetezi wa ujinga ujinga ulioletwa na serikali kupitia huo mfumo ambao hadi sasa hakuna chochote cha maana kilichoboreshwa na mfumo? Mambo yamekuwa magumu kuliko ilivyokuwa awali hasa suala la uhamisho wa watumishi.
Mbona umekuwa mtetezi wa ujinga ujinga ulioletwa na serikali kupitia huo mfumo ambao hadi sasa hakuna chochote cha maana kilichoboreshwa na mfumo? Mambo yamekuwa magumu kuliko ilivyokuwa awali hasa suala la uhamisho wa watumishi.
Mkuu Huu utani kabisa!Sasa mbona unatufokea kiongozi.... Najazaje iyo PEMPMIS kama kiongozi wangu ajanishushia majukumu!?? Kwa hiyo nikamjazie majukumu yake nijishushie Nije nijaze majuku yangu!?? ..... Najazaje taarifa ya kila siku kama Sina Tasks ~subtasks!?
Unaongea kujibu au unajibi uhalisia !?? .... Hauiwezi kuingia kujijazia bila Mkuu wa idara kushusha majukumu Kwa Kwa wakuu wa vitengo nao kushusha Kwa wataalamu wa vitengo husika. Na hivyo ndivyo tulivyofundishwa na kuelekezwa na timu ya kutoka tamisemi ambayo ndio inajukumu la kuseminisha watumishi ... Hivyo walitudanganya!?? Mimi nikiingia hakuna sehemu ya kuingiza majukumu halafu unakataa... DaahMkuu Huu utani kabisa!
Kila mtu ana JD (Job Description) alizoajiriwa nazo,
Ulipewa Na Mkurugenzi wako na zipo kwenye Faili lako Zimesainiwa ..
Majukumu unayojaza ni Majukumu Sawia kama uliyokuwa unajaza Kwenye OPRAS kilichobadilika Unatakiwa kuyavunja Majukumu hayo kutoka kwenye Mwezi Hadi siku..
Ili kila siku ukitimiza Supervisor wako Athibitishe wewe kutimiza majukumu hayo..
Ili iwe vyepesi Kutrace Maksi zako kwa siku, kwa mwezi ,Kwa Robo na hata kwa Mwka wa Fedha..
Sio kitu kipya Kilikuwa kikifanywa kwenye OPRAS (Kama hardcopy) sasa kinafnywa PEMPMIS kama softcopy..
Sasa.kipi kinakushinda kuhusu Hilo?
Unataka nikuelekeze au Huoni sehemu ya Kuingiza Majukumu Mkuu?Unaongea kujibu au unajibi uhalisia !?? .... Hauiwezi kuingia kujijazia bila Mkuu wa idara kushusha majukumu Kwa Kwa wakuu wa vitengo nao kushusha Kwa wataalamu wa vitengo husika. Na hivyo ndivyo tulivyofundishwa na kuelekezwa na timu ya kutoka tamisemi ambayo ndio inajukumu la kuseminisha watumishi ... Hivyo walitudanganya!?? Mimi nikiingia hakuna sehemu ya kuingiza majukumu halafu unakataa... Daah
Unataka nikuelekeze au Huoni sehemu ya Kuingiza Majukumu Mkuu?
Kwahyo kumbe ulikuwa huna PEPMISView attachment 2895381
Mimi ilikuwa hiyo dialogue juu ya TRANSFER ya PEPMIS ilikuwa haipo kabisaaaa ndio tumepambana ndio Leo imeshuka ..ilikuwa inaanzia Transfer ,loans, profile na salary sleep tu.... Ndio uwe unaelewa.
Watanzania wengi ni wajinga na waoga wa maendeleo. Mnaogopa nini kujifunza digital?Mbona umekuwa mtetezi wa ujinga ujinga ulioletwa na serikali kupitia huo mfumo ambao hadi sasa hakuna chochote cha maana kilichoboreshwa na mfumo? Mambo yamekuwa magumu kuliko ilivyokuwa awali hasa suala la uhamisho wa watumishi.
Nachukizwa na ujinga wa watanzania. Mimi siyo mtumishi wa umma lakini naelewa serikali inafanya kitu gani. Watu wavivu kujifunza mifumo mbona umeme zamani tulikua tunaenda kununua tanesco leo hii tunanunua kwa simu hamuoni mabadiliko? StupidMkuu mbona povu sana, jibu hoja badala ya kutoa kejeli.....au ulaji wako umeguswa, maana mara nyingi hapa unakuta ni dili watu wanataka wapige pesa kupitia bajeti ya kutengeneza, kufundisha na ku-maintain mfumo.