Mafuta yaliyopo Uganda yakichimbwa Kama walivyosema Mapipa 200,000 kwa siku , basi yatakuja kwisha baada ya miaka 20 hivi. Hichi kiwango Kwa namna yoyote hakiwezi kumshawishi Dangote kutengeneza hicho kiwanda Labda kupatikane mafuta Mengine.
Pia Natural gas yetu Inaweza kuengezeka katika huo mchakato wa kubadilisha kuwa mafuta shida ni kuwa Gharama za kiwanda cha aina hiyo ni bajeti kubwa sana.. Hapo ukumbuke Gas zetu hizi tunamikataba jee wako tayari Kuongea na Dangote. Ndo maana maelezo ya Dangote kasema IKIWA SERIKALI ZITAONYESHA USHIRIKIANO NAE. Anajua kwenye serikali zetu kunavyokuwa na ukiritimba. (Kashajifunza kwenye nchi yake Anakiwanda kikubwa cha mafuta Ila mwanzoni cruide oil kubwa alikuwa akiagiza njee, wa ndani walimpinga sana)
Bado Mafuta ya Uganda ni special sana kwani ni ile Cruide oil nzito ambayo Ni ngumu kidogo kwenye kuichakata kupata mafuta yakutumika.
Reserve ya Uganda kama ndo inayotegemewq peke yake sidhan jamaa atakubali kutengeneza kiwanda