Huu Msafara wa Rais Magufuli sijawahi uona

Hivi ukiunga kwa nyuma yake ili usisimamishwe na trafiki Kuna shida?
Watakuumisa sana ndugu yangu, hao watu hawana mchezo unaweza kuitwa na Mkuu wao wakakuzuia
sasa sembuse uunge nyuma yao Dewji Azim yalimkuta alipopewa mkono na Mkuu
 
Hao either ni wapinzani wake kisiasa au walikuwa upande wa mpinzania wake.Huyu jamaa angekuwa Mungu humu duniani wangebakia akina bashite tu
 
Wanapoint,JK aliliona hilo akajenga ka airport pale nyuma ya ikulu ili aepushe foleni,huyu anajari utukufu wake tu Mambo ya watu wengine hayamuhusu
 

mkuu hapa nimekubali ila na wao wapunguze magari ni hela zile zinatika vibaya mkuu, nashukuru kwa kunielewesha ndio mana nasemaga jf ni darasa huru..


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Me, sidhani kama zote ni zake. Zingine huenda ni za wasaidizi au viongozi waandamizi

Sent using Jamii Forums mobile app by My phone

labda hivyo mkuu ila nkwambie kitu hii nchi yetu tuna vipaumbele vingi sana sasa hawa wakuu wangepunguza kidogo matumiz, wangeangalia hata namna ya kumpbe na hayo maconvoy yao, just imagine hili janga la korona sawa, eti kipimo kipo dar tu ? we unaona vitu kama ivyo vipo sawa ?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Leo Msafara wa Rais wa wanyonge anayejali kodi za wananchi sijapata uona tangu nizaliwe na Nchi nilizowahi tembelea.

Nimehesabu Magari yamefika 53.
Zote ni V8.

Noma sana.
View attachment 1390050
Huyu ndio rais anaetumia hela za walipa kodi vizuri,hizo gari 53 zimebeba watu ambao wanapewa posho kila siku,ni gharama kubwa sana kuliko kutumia ndege au chopa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gari moja kuoweka barabarani kwa saa moja ni gharama kiasi gani?

Zidisha kwa muda na magari yote hayo.

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Milioni 50 au Sita
Magufuli ni rais wa wananchi milioni 50+ watoto, watu wazima, wasiokuwa na sifa ya kupiga kura na wenye sifa ya kupiga kura.Mh. Magufuli alishinda kwa kura milioni 8+ dhidi ya mpinzani wake Lowassa aliyepata kura milioni 6+.
Ukishinda unakua kiongozi wa wote ata ambao hawakukuchagua.
Nadhani umenielewa mkuu.
 
Lakini hayo magari tayari yalishakuwepo. Sasa nini kifanyike?
Sent using Jamii Forums mobile app by My phone
 
Acha kulinganisha rais was marekani na vitu vya kilofa
 
Leo Msafara wa Rais wa wanyonge anayejali kodi za wananchi sijapata uona tangu nizaliwe na Nchi nilizowahi tembelea.

Nimehesabu Magari yamefika 53.
Zote ni V8.

Noma sana.
View attachment 1390050
Acha uongo, hiyo picha imejaa msafara wa ma-Chevy Tahoe. Msafara wa Rais una '07 Chevy Silverado 2500HD moja tuu. Magari mengine yote ni Toyota na Mercedes Van moja.
 
Meko ni mshamba sana, hapo bado kuna chopa mbili ziko angani zinahami msafara. Washamba wa madaraka wamekabidhiwa nchi
 

Mahaba niue kwani raisi wa marekani anaenda dodoma kwa gari????? huyu mbana matumizi ndio ushamba alionao bora angeruka na usumbufu aliosababisha barabarani ni mkubwa.
 
Duh [emoji134]‍♀️. Atampisha mwingine kweli huyu!!
 
Leo Msafara wa Rais wa wanyonge anayejali kodi za wananchi sijapata uona tangu nizaliwe na Nchi nilizowahi tembelea.

Nimehesabu Magari yamefika 53.
Zote ni V8.

Noma sana.
View attachment 1390050

Picha ya msafara uliyoweka sio ya rais wa TZ wala Afrika bali USA. Hizo gari sio LC200 V8, ni Chevrolet Suburban zinatumika USA.

Sijui uongo unakusaidia nini shangazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…