Hahaha! Hiyo himaya umetoa wapi? Wewe ishia kujiita mmawia tuu basi. Kama una himaya ba si mimi ndiye emperor.Kuwa na heshima dogo, maana nimejaribu kufuatilia nikagundua kuwa kuna uwezekano mkubwa ukawa chini ya himaya yangu na siku hiyo ndiyo utaomba ardhi ipasuke
In God we Trust
Hahaha! Hiyo himaya umetoa wapi? Wewe ishia kujiita mmawia tuu basi. Kama una himaya ba si mimi ndiye emperor.
Mtoa mada acha ubwege wewe....Rais magufuli mwaka wa nne huu hata ubelgiji haijui inafananaje,unadhani ameokoa kiasi gani mpaka sasa kutokwenda huko na convoy yake?
Sasa shida iko wapi kiasi cha gharama hizo alijiimarishia ulinzi wake hapa nchini ikiwa maadui ni wengi na anaingia mpaka maporini yeye mwenyewe kufanya survey.
Hii jamii forum ifike kipindi ifanye scanning ya members wake aisee watu wanafikilia upande mmoja wa shilingi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hajawa praise and worship team. Akili anayo hadi akawa maarufu. Wewe umebaki mudawote mpumbavu kusifu na kuabudu. Dharau jidharau mwenyewe mwache Mshana wetu. Dharau zako haziwezi kushusha umaarufu wake. Hata kusujudu sujudu tu. Unaweza au kuwaza nini zaidi ya upumbavu mudawote?Mshana Jr nimekudharau sana, wewe ni lijinga. Hivi inakuwaje unamdhihaki rais wa nchi???! Hivi una akili kweli???? Idiot kabisa, na umaarufu wako hakika utashuka ndani ya jukwaa.
Ungemwambia tu kuwa ana akili kama ccm lingekuwa tusi kubwa sana kwakeHivi mkuu, katika hali ya kawaida msafara wa Rais wa Tanzania unaweza kutisha dunia nzima?? Mleta mada amefikiaje hilo hitimisho. Ushahidi wa hilo hitimisho ni upi?? Unless na wewe unaakili kama za mleta mada utaona post yake ipo sahihi.
Una akili ndogo sana, kwenye comment yake wapi kamtaja mkuu? Hiyo ni tafsiri yako binafsi na umeonyesha chuki ya wazi juu ya umaarufu wake. Siamini kuwa ukiwa ccm ndiyo uwe mjingaMshana Jr nimekudharau sana, wewe ni lijinga. Hivi inakuwaje unamdhihaki rais wa nchi???! Hivi una akili kweli???? Idiot kabisa, na umaarufu wako hakika utashuka ndani ya jukwaa.
Mbona hujikiti kwenye hoja, badalanyake unakuwa mtu wa kutukanantu kama mwanamke aliyeachwa na bwana wakati bado anapenda. Matusi hayafai humu, leta hoja zako watu wapime.Bavicha ni kikundi cha vichaaa. Wao wanadhani rais anaamka na kusema leo nataka gari moja hahaha, hawajui taasisi ya urais inamua aina ya ulinzi, mijinga kabisa
Fahari ndie mama wa ujinga.. Nimeukumbuka wimbo wa kimanyema wa GERE MAMA
Jr[emoji769]
Hivyo vifaru vinapita barabarani au vinapita wapi? Au na wew ndiyo walewale ( Mudawote)Huyo ni rais wa nchi mkuu. Umewahi uona msafara wa Rais wa Malawi? Unakuwaga na vifaru je unausemeaje msafara huo wa rais wa Malawi wwnye vifaru
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye ayo magali kuna watu wengi mno na kila mtu ana kaz zake na wapambe pia wamo umo pesa ni kila kitu kwa maisha ya sasaLeo Msafara wa Rais wa wanyonge anayejali kodi za wananchi sijapata uona tangu nizaliwe na Nchi nilizowahi tembelea.
Nimehesabu Magari yamefika 53.
Zote ni V8.
Noma sana.
View attachment 1390050
anaenda wapiLeo Msafara wa Rais wa wanyonge anayejali kodi za wananchi sijapata uona tangu nizaliwe na Nchi nilizowahi tembelea.
Nimehesabu Magari yamefika 53.
Zote ni V8.
Noma sana.
View attachment 1390050
kaka umeua 🤣 🤣🤣🤣😃Kwenye ayo magali kuna watu wengi mno na kila mtu ana kaz zake na wapambe pia wamo umo pesa ni kila kitu kwa maisha ya sasa
Kuna walinzi umo.wanahabari.camera man .madaktari .waganga.washauri.wakalimali
Etc na magar mengine hubeba vifaa km silaha nzito mabomu risasi mizinga mashine gun ili pakinuka wakinukishe kuna gar lengine hubeba nguo na vitu vya kutumia kuna gar apo huwa lina choo na kuna gar huwa linabeba msosi kwa ajili ua rais na msafara kuna gar linabeba vifaa vya waganga ili uko waendako km kuna wachawi wakikinukisha na wao wakinukishe kuna mpaka mashehe humo ya ni balaa tupu na ata akiamua akiamua anaweza tenga gar special kwa mademu ma pia kuna mda rais huwa anabadilishwa gari naomba niishie apo
Unawadharau sana jobless sababu wewe unayo kazi sio ..kwamba utadumu nayo milele, na ukifa utazikwa na cheo chako na kiti na meza yako vya pale kazini vyote utazikwa navyo na utakua unalipwa mshahara ukiwa kaburini..Unateseka, kwani ni zake zote. Ila pole ulikuwa wapi? Au ni jobless[emoji12]
Sent using Jamii Forums mobile app by My phone
Ulishatembea nchi ngapi hapa dunia mpk useme huu msafara ni mkubwa utakufa huku unaongea kwa roho mbaya yako.Leo Msafara wa Rais wa wanyonge anayejali kodi za wananchi sijapata uona tangu nizaliwe na Nchi nilizowahi tembelea.
Nimehesabu Magari yamefika 53.
Zote ni V8.
Noma sana.
View attachment 1390050
Ukichukulia kuwa kila gari ni la mtu mwingine hutopata tabu maana barabarani yanapita magari kwamaelfu yakifuatana japo kilamtu na shughuli yake.Leo Msafara wa Rais wa wanyonge anayejali kodi za wananchi sijapata uona tangu nizaliwe na Nchi nilizowahi tembelea.
Nimehesabu Magari yamefika 53.
Zote ni V8.
Noma sana.
View attachment 1390050