Huu Msafara wa Rais Magufuli sijawahi uona

Kwahyo mkuu raisi atoe walinzi alindwe na malaika [emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana kabisa hata yeye alikuwaga akiwashangaa wenzake kama wewe ulivyoshangaa msafara wake, kumbe kunamambo mengine limoti hauruhusiwi kuishika, unabaki mtazamaji tu
 
Kwahyo mkuu raisi atoe walinzi alindwe na malaika

Sent using Jamii Forums mobile app

Exactly....!!

Malaika wake ni HAKI na UTII kwa Mungu wake maana imeandikwa;

"......Mwenye haki wangu ataishi kwa imani; lakini akisitasita (kwa sababu ya kuikataa haki) roho yangu haina furaha naye....."
Waebrania.10:38

Na pia;

Mathayo.4:4
"......Naye (Yesu Kristo), akajibu, akasema, imeandikwa; MTU hataishi kwa mkate tu (kutegemea mabunduki, rundo la walinzi, ujanja janja na nguvu binafsi ); ila kwa kila Neno litokalo katika kinywa cha Mungu......"
 
Kwahyo raisi, yan mr.president asilindwe mkuu.....


Mim niltegemea unambie hao malaika wanamlinda kwa kupitia hao walinzi mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliwahi kuambiwa kitu kimoja, kuwa it's not personal. Yaani kwa mfano, US Secret Service haimlindi Donald Trump as Donald Trump, bali wanalinda heshima na hadhi ya ile 'Title' ya 'POTUS = President Of The United States'. Kwa lugha rahisi naweza sema all this is 'Branding' - kwamba wakimwacha Rais aonekane wa kawaida kawaida basi hata hadhi ya kile cheo cha Urais inapungua... eventually hadhi ya nchi pia inapungua, nchi itaonekana dhaifu kwa maadui something which hakuna nchi inataka kitokee. Matokeo yake hata akitoa speech itakuwa haina 'impact' inayokusudiwa kijamii, kisiasa, kiusalama na kiuchumi. Na ndio maana unakuta Rais anawekewa kila aina ya ulinzi ili kupeleka ujumbe ujumbe kwa maadui kuwa 'TUKO VIZURI, SO YOU'RE WELCOME - ANY TIME!"

Hivyo, Donald Trump inawezekana akawa ni Rais wa hovyo kuwahi kutokea duniani (Kutokana na mapungufu yake binafsi) - lakini amezungukwa na analindwa na kuwa branded na mfumo imara zaidi, kwa hiyo anaibuka kuwa Rais bora zaidi. Mikwara inasaidia sana. Ndo maana mitaani kuna misemo kama ,"If you want to be powerful - act powerful". Tazama alivyoji-brand Muammar Gaddafi kiasi ambacho alikuwa anaogopwa kuliko marais wote Africa. Tazama anavyojibrand Paul Kagame n.k.

Ukiona hunielewi, tazama wasanii. Jinsi msanii anavyokusanya ma-bodyguards wengi zaidi ndivyo hadhi yake kwa wanaomtazama inavyoongezeka. Na mwonekano wa wale bodyguards una mchango mkubwa sana katika hilo. Au tazama mitume na manabii wanavyoji-brand kwa kujiwekea walinzi hata kama wao wanahubiri kuwa Mungu ndiye anaetulinda. Wanachotafuta pale ni kujipandisha hadhi kwa waumini na sisi binadamu wenzao ili tuwaogope!

BOTTOM LINE

Hofu ni silaha kubwa sana. Ukitaka mtu akutii bila shuruti, au afanye unachotaka, au asikilize unachosema - tengeneza namna fulani ya HOFU. Aidha akuogope wewe, au aogope unachokijua, au aogope nafasi yako, au aogope kile unachoweza kukifanya endapo asipokuogopa.... just spread FEAR. Yes but how? Well, one way is to guard yourself like a Fortress.
 
Ongeza na wachawi 800 wa Gamboshi
 
Leo Msafara wa Rais wa wanyonge anayejali kodi za wananchi sijapata uona tangu nizaliwe na Nchi nilizowahi tembelea.

Nimehesabu Magari yamefika 53.
Zote ni V8.

Noma sana.
View attachment 1390050
Maraisi waliomtangulia walikuwa misafara yao ilikuwaje? Hesabu zako za magari zilifika ngapi? V8 zilikuwepo enzi hizo au walikuwa na V8 za enzi zao?
 
Umeeleza vyema. Ila kwa gari kuwa na dereva pekee hapo napata shida kidogo??
 
Leo Msafara wa Rais wa wanyonge anayejali kodi za wananchi sijapata uona tangu nizaliwe na Nchi nilizowahi tembelea.

Nimehesabu Magari yamefika 53.
Zote ni V8.

Noma sana.
View attachment 1390050
Haya mambo wakati mwingine tuyaache.Kuna wenye fani zao lakini bahati mbaya hawawezi kuingia JF.Pili huyu ni Rais si mkulima wa vitunguu wa Lumuma Mpwapwa.
 
Aisee kuna kipindi alienda chato corona INA hit sasa anarudi anaelekea Dodoma anatoka chato Duu naona hizo 53 V8 nichache ambulance mbili V8 zaidi ya 53 zote zinafanana Defender za polisi zinafika 20 bado magari mengine aisee yanafika zaidi ya 100 umesahau bado hedikopta mbili moja mbele nyengine moja inaangalia njia moja inamaaasniper kama wote.


Nilijiulizaga hivi mheshimiwa tabia hii kaanzaga lini msafara wake huo sio mkubwa na haunaga mbwembwe ila hii ya sasa kiboko kama yuko Somalia.
 
Enzi za Jk msafara wake ulikuwa unasemwa sana
Sahv msafara wa anko magu[emoji23][emoji23][emoji23]
Wabongo shuguli ipo

Ova
 
Enzi za Jk msafara wake ulikuwa unasemwa sana
Sahv msafara wa anko magu[emoji23][emoji23][emoji23]
Wabongo shuguli ipo

Ova
Yule ni Rais wa Nchi lazma alindwe kwa gharama yoyote ile hata kama mkila nyasi ni sawa. Ulinzi wake ni kipaumbele.
 

Nchi ya UPENDO na AMANI hii iliyoletwa na CCM tangu mwaka 1961 litokee nini hilo "lolote?"

Au wanasema midomoni tu kuwa nchi ya AMANI huku mioyoni mwao ukweli ukiwa tofauti?

Usitutanganye, huyu Rais wenu Magufuli anasutwa na nafsi yake kwa sababu anadhani, kwa kuwa yeye anaua wapinzani wake kisiasa, basi ana wasiwasi masaa yote kuwa na yeye anaweza fanyiwa kitu mbaya vilevile...!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…