Wanaitaga "Security detail" alafu wakati mwingine siyo kwamba raisi hutaka iwe hivyo ila wanaosimamia usalama wake ndio hupanga kulingana na hali waionavyo waoMarais wote duniani ni kawaida sana hili,
Ni kawaida kwa rais kuwa na wanausalama,viongz wanaomsindikiza kwenda pengine kwenye tukio husika.
Marekani rais wao alipokuja mbona hamkwongea na walishuka hadi na ma gar yao?
Ukiachana tu na USA,
Yapo mataifa tu hapa Africa ambayo pia ni kawaida sana kwa vitu kama hivi...
So tusishangae sana.
Hata wewe ukiambiwa leo uwe rais lazima ufate Kitu kinaitwa PROTOCOL
Leo Msafara wa Rais wa wanyonge anayejali kodi za wananchi sijapata uona tangu nizaliwe na Nchi nilizowahi tembelea.
Nimehesabu Magari yamefika 53.
Zote ni V8.
Noma sana.
uko sick snitch na hauoni syndromes pole.Tena yule wa USA alipokuja aliingia hadi na mbwa kunusa ikulu yetu lakini mibavicha haikusema kitu zaidi ya kusifu ulinzi wa wamarekani
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo Msafara wa Rais wa wanyonge anayejali kodi za wananchi sijapata uona tangu nizaliwe na Nchi nilizowahi tembelea.
Nimehesabu Magari yamefika 53.
Zote ni V8.
Noma sana.
Yeye anachokiona pekee ni msafara wa Rais uko kwenye ziara. Hajafanya makosa lakini, maana hata mimi mpaka majuzi tu nilikuwa na uwezo huo tu, wa kuona kama anvyoona yeyeUkiona magari mengi ujuwe kuna watu mbalimbali wanatakiwa wakajibu hoja huko aendako
Tuambie Mkuu kwenye kikosi cha ulinzi wa Rais wewe unacheo gani tena vile?Ambulance 2 za nini ?? Msafara mkubwa sana pia ndani V8 unakuta yuko driver tu....back up car ziko 5 za nini zote hizo??
Alipokwenda Mbeya mwanzoni mwa 2019 kulikuwa magari kati ya 80- 100. Zote hizo zinakula mafuta na maofisa na madreva waliotoka nje ya mkoa wanakula posho ya kuwa nje ya kituo. Halafu bado anadai eti ana bana matumizi kwa ajili ya wanyonge.
Sasa si ndio umeuona unasemaje hujawahi ona??Leo Msafara wa Rais wa wanyonge anayejali kodi za wananchi sijapata uona tangu nizaliwe na Nchi nilizowahi tembelea.
Nimehesabu Magari yamefika 53.
Zote ni V8.
Noma sana.
Ambulance moja kwa ajili ya rais ingine ikitilokea dharula ya mtu mwingine wazir mtumish au mwananchiAmbulance 2 za nini ?? Msafara mkubwa sana pia ndani V8 unakuta yuko driver tu....back up car ziko 5 za nini zote hizo??
Hivi haiwezekani akawa na msafara wa gari hata 2 tu?. Atakuja mwingine hapa atasema tahadhali,tahadhali gari 50?. Nyerere kwa nini aliweza kusafiri na gari moja tu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ambulance 2 za nini ?? Msafara mkubwa sana pia ndani V8 unakuta yuko driver tu....back up car ziko 5 za nini zote hizo??
mfalme!Leo Msafara wa Rais wa wanyonge anayejali kodi za wananchi sijapata uona tangu nizaliwe na Nchi nilizowahi tembelea.
Nimehesabu Magari yamefika 53.
Zote ni V8.
Noma sana.