Huu Msafara wa Rais Magufuli sijawahi uona

Lipi litatokea kwenye nchi ya amani si ndio wanavyosema ama
 
Leo Msafara wa Rais wa wanyonge anayejali kodi za wananchi sijapata uona tangu nizaliwe na Nchi nilizowahi tembelea.

Nimehesabu Magari yamefika 53.
Zote ni V8.

Noma sana.
Ulitaka au na bodaboda? Utapata stress bure!
 
Duh silaha na mitambo tena- tupo vitani?
 
Wanyonge mpooooo?
Leo Msafara wa Rais wa wanyonge anayejali kodi za wananchi sijapata uona tangu nizaliwe na Nchi nilizowahi tembelea.

Nimehesabu Magari yamefika 53.
Zote ni V8.

Noma sana.

In God we Trust
 
Silaha za kitu gani bwanaaaa? Tanzania hii ya amani kuna haja ya kubeba silaha?
In God we Trust
 
Leo Msafara wa Rais wa wanyonge anayejali kodi za wananchi sijapata uona tangu nizaliwe na Nchi nilizowahi tembelea.

Nimehesabu Magari yamefika 53.
Zote ni V8. Noma sana.
Usishangae. Watu wa kanda ya ziwa wana tabia ya kuona ufahari wanapozungukwa na ng'ombe na magari mengi. Mtu wa kanda ya ziwa akiwa tajiri au uwezo ataona ufahari katika kuwa na ng'ombe wengi au magari mengi au vyote viwili.
 
Unalinganisha rais wa dunia na wetu wa Afrika? Wewe mwehu kweli
In God we Trust
 
Heri ya corona kuliko stroke
Hivi mkuu, katika hali ya kawaida msafara wa Rais wa Tanzania unaweza kutisha dunia nzima?? Mleta mada amefikiaje hilo hitimisho. Ushahidi wa hilo hitimisho ni upi?? Unless na wewe unaakili kama za mleta mada utaona post yake ipo sahihi.

In God we Trust
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…