Huu msafara wa Samia barabara ya Bagamoyo, umenishangaza sana. Yaani si magari tu hadi Helicopter mbili angani

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
557
Reaction score
1,039
Leo huyu Samia alikuwa anatokea sijui huko kanda ya Kaskazini kurudi Dar basi imekuwa kero, kwanza wametusimamisha zaidi ya dakika 50 hadi yeye anapita, cha ajabu sasa mtu alishida kwa kura Milioni 32 ameongezewa ulinzi mkali zaidi

Tulizoe kuona magari tu sasa hivi hadi Helicopter mbili zilikuwa zinazunguka angani. Samia shida nini? Jiamini wewe ndiye rais ulishinda kwa kura milioni 32 zaidi ya asilimia 97. Sasa unaogopa nini?
 
Leo huyu Samuya alikuwa anatokea sijuwi huko kanda ya Kaskazini kurudi Dar basi imekuwa kero, kwanza wametusimamisha zaidi ya dakika 50 hadi yeye anapita, cha ajabu sasa mtu alishida kwa kura Milioni 32 ameongezewa ulinzi mkali zaidi

Tulizoe kuona magari tu sasa hivi hadi Helicopter mbili zilikuwa zinazunguka angani. Samuya shida nini? Jiamini wewe ndiye rais ulishinda kwa kura milioni 32 zaidi ya asilimia 97. Sasa unaogopa nini?
Mkuu mbona nakumbuka magu alikuja iringa nae ilikua helcopter hvhv
 
Leo huyu Samuya alikuwa anatokea sijuwi huko kanda ya Kaskazini kurudi Dar basi imekuwa kero, kwanza wametusimamisha zaidi ya dakika 50 hadi yeye anapita, cha ajabu sasa mtu alishida kwa kura Milioni 32 ameongezewa ulinzi mkali zaidi

Tulizoe kuona magari tu sasa hivi hadi Helicopter mbili zilikuwa zinazunguka angani. Samuya shida nini? Jiamini wewe ndiye rais ulishinda kwa kura milioni 32 zaidi ya asilimia 97. Sasa unaogopa nini?
Kuna jitu ni taahira siyo kidogo! Leo usumbufu uliotokea barabarani sina hamu kuusikia!
 
Screenshot_20251201-222021~2.png
 
Wewe utakuwa na Elements za Uhaini haiwezekani ukahoji juu msafara wa CinC Tena akiwa kwenye Full military attire,

Mi nilifika Mkata nkakuta hio roadblock ikabidi ni divert Kupita Njia ile ya Handeni mpaka Korogwe then nkaendelea na Safari yangu ya Arusha
 
Leo huyu Samia alikuwa anatokea sijui huko kanda ya Kaskazini kurudi Dar basi imekuwa kero, kwanza wametusimamisha zaidi ya dakika 50 hadi yeye anapita, cha ajabu sasa mtu alishida kwa kura Milioni 32 ameongezewa ulinzi mkali zaidi

Tulizoe kuona magari tu sasa hivi hadi Helicopter mbili zilikuwa zinazunguka angani. Samia shida nini? Jiamini wewe ndiye rais ulishinda kwa kura milioni 32 zaidi ya asilimia 97. Sasa unaogopa nini?
Anaogopa kubanduliwa kwenye kiti
 
Leo huyu Samuya alikuwa anatokea sijuwi huko kanda ya Kaskazini kurudi Dar basi imekuwa kero, kwanza wametusimamisha zaidi ya dakika 50 hadi yeye anapita, cha ajabu sasa mtu alishida kwa kura Milioni 32 ameongezewa ulinzi mkali zaidi

Tulizoe kuona magari tu sasa hivi hadi Helicopter mbili zilikuwa zinazunguka angani. Samuya shida nini? Jiamini wewe ndiye rais ulishinda kwa kura milioni 32 zaidi ya asilimia 97. Sasa unaogopa nini?
viongozi wa kitaifa Tanzania wanalindwa kwa gharama ya serikali,
na hiyo ni kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi.

kipenzi cha waTanzania DR.Samia Suluhu Hassan analindwa zaidi na Mwenyezi Mungu, polisi na chopa ni ulinzi wa ziada tu :NoGodNo:
 
Back
Top Bottom