Huu msafara wa Samia barabara ya Bagamoyo, umenishangaza sana. Yaani si magari tu hadi Helicopter mbili angani

Huu msafara wa Samia barabara ya Bagamoyo, umenishangaza sana. Yaani si magari tu hadi Helicopter mbili angani

Leo huyu Samia alikuwa anatokea sijui huko kanda ya Kaskazini kurudi Dar basi imekuwa kero, kwanza wametusimamisha zaidi ya dakika 50 hadi yeye anapita, cha ajabu sasa mtu alishida kwa kura Milioni 32 ameongezewa ulinzi mkali zaidi

Tulizoe kuona magari tu sasa hivi hadi Helicopter mbili zilikuwa zinazunguka angani. Samia shida nini? Jiamini wewe ndiye rais ulishinda kwa kura milioni 32 zaidi ya asilimia 97. Sasa unaogopa nini?
Anakanyaga damu zilizomwagwa barabarani
 
Hilo halijanishangaza.
Kilichonishangaza ni kutosimama kusalimia wananchi, From Dom, Tanga, Hadi Dar hakuna aliposimama kusalimia watu. Hajawahi kufanya hivi kabla
Marekani uchumi mara 2000 ya Tanzania msafara magari 10, Tanzania uchumi pungufu mara 2000 ya Marekani msafara magari 100
Maajabu ya mtu mweusi.
 
Waliombebesha bango wana dhambi haswa, mtu anakichwa kama SGR lazima atakuwa na mtindio wa ubongo huyu.
FB_IMG_1748360197313.jpg
 
Mwisho wake ameshauona lakini hajui itakuwaje, hivyo amebaki kutapatapa hovyo...
Aliye anzisha utamaduni wa kusindikizwa na helicopter ni magufuri wala hilo sio geni
 
viongozi wa kitaifa Tanzania wanalindwa kwa gharama ya serikali,
na hiyo ni kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi.

kipenzi cha waTanzania DR.Samia Suluhu Hassan analindwa zaidi na Mwenyezi Mungu, polisi na chopa ni ulinzi wa ziada tu :NoGodNo:
Huu upuuzi wa kujiweka madarakani kwa shuruti ndio unawaumbua. Huku mnakosema mmeshinda kwa kura, mnakuwa na ulinzi kama mmeingia madarakani kwa kupindua nchi. Kisha mkienda kwa wazungu ambako mnasema wanatuonea wivu, viongozi wanatembea na walinzi wawili tena kwa kutumia Ubber! Huwa nawaelewa sana wazungu wakituita manyani kwa upuuzi huu. HAYA LAND HOV Ertugrul Bey Lucas Mwashambwa Lusungo Niko pamoja na Samia
 
Magufuli angeanzisha kula nyama za watu na yeye angefuata ?
Labda mbona magufuri alianzisha utekaji, kutopenda kukosolewa,kufunga wapinzani,kuiba uchaguzi na vyote kavifuata.
 
Back
Top Bottom