Gunther Schwagermann
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 7,686
- 18,674
Utumiaji mbaya wa kodi zetu.
Matumizi mabaya ya fedha za umma
...tunasonga mbele!kazi na utu ...
Nahisi mpaka na waganga anatembea nao sasa kwenye msafara wake.Sasa si bora angepanda helikopta kuepusha usumbufu kwa watu pamoja na ku minimize cost za msafara?
Au helikopta nayo anaiogopa anahisi yatatokea ya Raisi wa Iran?
Duh,Tulizoe kuona magari tu sasa hivi hadi Helicopter mbili zilikuwa zinazunguka angani. Samia shida nini? Jiamini wewe ndiye rais ulishinda kwa kura milioni 32 zaidi ya asilimia 97. Sasa unaogopa nini?