Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Mkuu mbona nakumbuka magu alikuja iringa nae ilikua helcopter hvhvLeo huyu Samuya alikuwa anatokea sijuwi huko kanda ya Kaskazini kurudi Dar basi imekuwa kero, kwanza wametusimamisha zaidi ya dakika 50 hadi yeye anapita, cha ajabu sasa mtu alishida kwa kura Milioni 32 ameongezewa ulinzi mkali zaidi
Tulizoe kuona magari tu sasa hivi hadi Helicopter mbili zilikuwa zinazunguka angani. Samuya shida nini? Jiamini wewe ndiye rais ulishinda kwa kura milioni 32 zaidi ya asilimia 97. Sasa unaogopa nini?
Kuna jitu ni taahira siyo kidogo! Leo usumbufu uliotokea barabarani sina hamu kuusikia!Leo huyu Samuya alikuwa anatokea sijuwi huko kanda ya Kaskazini kurudi Dar basi imekuwa kero, kwanza wametusimamisha zaidi ya dakika 50 hadi yeye anapita, cha ajabu sasa mtu alishida kwa kura Milioni 32 ameongezewa ulinzi mkali zaidi
Tulizoe kuona magari tu sasa hivi hadi Helicopter mbili zilikuwa zinazunguka angani. Samuya shida nini? Jiamini wewe ndiye rais ulishinda kwa kura milioni 32 zaidi ya asilimia 97. Sasa unaogopa nini?
Anaogopa kubanduliwa kwenye kitiLeo huyu Samia alikuwa anatokea sijui huko kanda ya Kaskazini kurudi Dar basi imekuwa kero, kwanza wametusimamisha zaidi ya dakika 50 hadi yeye anapita, cha ajabu sasa mtu alishida kwa kura Milioni 32 ameongezewa ulinzi mkali zaidi
Tulizoe kuona magari tu sasa hivi hadi Helicopter mbili zilikuwa zinazunguka angani. Samia shida nini? Jiamini wewe ndiye rais ulishinda kwa kura milioni 32 zaidi ya asilimia 97. Sasa unaogopa nini?
viongozi wa kitaifa Tanzania wanalindwa kwa gharama ya serikali,Leo huyu Samuya alikuwa anatokea sijuwi huko kanda ya Kaskazini kurudi Dar basi imekuwa kero, kwanza wametusimamisha zaidi ya dakika 50 hadi yeye anapita, cha ajabu sasa mtu alishida kwa kura Milioni 32 ameongezewa ulinzi mkali zaidi
Tulizoe kuona magari tu sasa hivi hadi Helicopter mbili zilikuwa zinazunguka angani. Samuya shida nini? Jiamini wewe ndiye rais ulishinda kwa kura milioni 32 zaidi ya asilimia 97. Sasa unaogopa nini?