City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
ndondocha kwelii kweliiMkuu mbona nakumbuka magu alikuja iringa nae ilikua helcopter hvhv
Anakanyaga damu zilizomwagwa barabaraniLeo huyu Samia alikuwa anatokea sijui huko kanda ya Kaskazini kurudi Dar basi imekuwa kero, kwanza wametusimamisha zaidi ya dakika 50 hadi yeye anapita, cha ajabu sasa mtu alishida kwa kura Milioni 32 ameongezewa ulinzi mkali zaidi
Tulizoe kuona magari tu sasa hivi hadi Helicopter mbili zilikuwa zinazunguka angani. Samia shida nini? Jiamini wewe ndiye rais ulishinda kwa kura milioni 32 zaidi ya asilimia 97. Sasa unaogopa nini?
Marekani uchumi mara 2000 ya Tanzania msafara magari 10, Tanzania uchumi pungufu mara 2000 ya Marekani msafara magari 100Hilo halijanishangaza.
Kilichonishangaza ni kutosimama kusalimia wananchi, From Dom, Tanga, Hadi Dar hakuna aliposimama kusalimia watu. Hajawahi kufanya hivi kabla
Kausha mkuu, marehemu hasemi vibayaMagu alifikia hatua yakutembea na kikosi kazi cha walozi na wapiga ramli lakini hakutoboa
Waliombebesha bango wana dhambi haswa, mtu anakichwa kama SGR lazima atakuwa na mtindio wa ubongo huyu.
Na anajua she is in the process .....Bi chura muda wako unaesabika hata ulindwe vp!
Rais wa majeshi. 😅Hv kuna sehemu yoyote amethubutu kusimama kwa dakika chache kuhutubia watanganyika?!.
ChaiAisee
Waliombebesha bango wana dhambi haswa, mtu anakichwa kama SGR lazima atakuwa na mtindio wa ubongo huyu.
Aliye anzisha utamaduni wa kusindikizwa na helicopter ni magufuri wala hilo sio geniMwisho wake ameshauona lakini hajui itakuwaje, hivyo amebaki kutapatapa hovyo...
Magufuli angeanzisha kula nyama za watu na yeye angefuata ?Aliye anzisha utamaduni wa kusindikizwa na helicopter ni magufuri wala hilo sio geni
Huu upuuzi wa kujiweka madarakani kwa shuruti ndio unawaumbua. Huku mnakosema mmeshinda kwa kura, mnakuwa na ulinzi kama mmeingia madarakani kwa kupindua nchi. Kisha mkienda kwa wazungu ambako mnasema wanatuonea wivu, viongozi wanatembea na walinzi wawili tena kwa kutumia Ubber! Huwa nawaelewa sana wazungu wakituita manyani kwa upuuzi huu. HAYA LAND HOV Ertugrul Bey Lucas Mwashambwa Lusungo Niko pamoja na Samiaviongozi wa kitaifa Tanzania wanalindwa kwa gharama ya serikali,
na hiyo ni kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi.
kipenzi cha waTanzania DR.Samia Suluhu Hassan analindwa zaidi na Mwenyezi Mungu, polisi na chopa ni ulinzi wa ziada tu
Labda mbona magufuri alianzisha utekaji, kutopenda kukosolewa,kufunga wapinzani,kuiba uchaguzi na vyote kavifuata.Magufuli angeanzisha kula nyama za watu na yeye angefuata ?
Aisee, kwenye ile mikutano na wananchi akiwa juu ya gari kumbe juu kulikuwepo na helicopter mbili zinazunguka?Aliye anzisha utamaduni wa kusindikizwa na helicopter ni magufuri wala hilo sio geni