Huu msafara wa Samia barabara ya Bagamoyo, umenishangaza sana. Yaani si magari tu hadi Helicopter mbili angani

Aisee, kwenye ile mikutano na wananchi akiwa juu ya gari kumbe juu kulikuwepo na helicopter mbili zinazunguka?
Mkuu sasa unataka kubisha au? mimi nimeshihudia misafara ya magufuri zaidi ya mitatu na yote ilikuwa ina sindikizwa na helicopter.
 
Mkuu sasa unataka kubisha au? mimi nimeshihudia misafara ya magufuri zaidi ya mitatu na yote ilikuwa ina sindikizwa na helicopter.
Sijabisha ila nimeuliza ile mikutano ya Jpm akiwa juu ya gari helicopter zilikuwa zinapita juu?
 
Sasa huaona kuwa huo ni usumbufu tena kwa raia aliyepora uchaguzi.
 
Sijabisha ila nimeuliza ile mikutano ya Jpm akiwa juu ya gari helicopter zilikuwa zinapita juu?
Siyo misafara yote alikuwa anasundikizwa na helicopter ipo mingine alikuwa hana.
 
Ahangaike tu Tlaatlaah & Co mwambieni aongeze hata vifaru na drones lakini kwa aliyoyafanya majuzi saa inakuja atajikuta peke yake anaachia mikojo tu huku roho ikimtoka.
 
Rais gani wa nchi hii amewahi tembea bila ulinzi?
 
Atafanya makosa tu, itakuwa ni kilio cha kusaga meno. Damu za watu 10,000 plus haziwezi kumwagika bure.
 
Hapo kachaguliwa na raia 31m kwa 98%!
Je ingekuwa 55% angekuwa na msafara wa aina gani?!
 
Endeleeni na tabia yenu hii hii ya kuwa na Viherehere kwa kupiga Picha za Video Msafara wa Rais kwa kutafuta Sifa zisizo na faida.

Zingatia sentensi yangu hii "kupiga Picha Msafara wa Rais" na nimalizie tu kwa kusema huyo aliyepiga hii Picha ya Video ana bahati sana.

Naamini wachache sana watanielewa katika hili, ila wengi mno hawatanielewa na kama kawaida Watakurupuka kuja Kunijibu kwa Kejeli na Matusi juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…