Huu msafara wa Samia barabara ya Bagamoyo, umenishangaza sana. Yaani si magari tu hadi Helicopter mbili angani

Sijui Samia alifikiria nini kutoa maagizo yale ya ajabu ya watu kuuwawa, uwa nafikiria nashindwa kuelewa, kwasasa yeye na familia yake ipo hatarini, ni anachelewesha tu hukumu kwa kushikiria uraisi kwa mtutu….hakuna kiongozi wananchi watamuelewa kama hii familia haitalipia gharama za mateso waliyopita watanganyika….kwa hali hii ccm itakuwa inaingia kwa mtutu tu madarakani, CCM is already dead.
 
Huyo ni Rais wa nchi
 
Takataka..... Rubbish
 
Bwana asipoulinda Mji walindao wafanya kazi bure .
 
Ahangaike tu Tlaatlaah & Co mwambieni aongeze hata vifaru na drones lakini kwa aliyoyafanya majuzi saa inakuja atajikuta peke yake anaachia mikojo tu huku roho ikimtoka.
jitie kiherehere kuharibu miundombinu ya umma uone kama kuna atakae kuchekea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…