Huu mtindo wa wana jogging kufanya mazoezi kwenye barabara umekuwa kelo sana.

Huu mtindo wa wana jogging kufanya mazoezi kwenye barabara umekuwa kelo sana.

BWANA WANGU

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2018
Posts
365
Reaction score
851
Habari wana familia wa JF,

Aisee leo kuna tukio moja nimeliona asubuhi ya leo nikiwa naenda kwenye mishe mishe zangu umenikwaza sana.

Kuna jamaa mmoja alikuwa ana drive, yule jamaa alikuwa mbele yangu. Mbele ya yule jamaa kulikuwa nakikundi kama cha watu 80 hivi watu wa jogging. Mbele ya icho kikundi kuna uyo mwamb sijui ndio kiongozi kashika bendera kazi yake ni kusafisha njia kwa watu wa jogging.

Basi bana yule mwamba aliyekuwa mbele yangu ana drive alitunwa matusi na yule jamaa eti kisa ajasimaa kwa wakati kupisha jogging. Lakini ukitazama hapo ni main road ( barabara ambayo ipo busy sana).

Yule mwamba nilimmaind sana barabara imetengenezwa kwa ajili ya vyombo vya moto. Wewe unakuja na program zako za kukimbia vikundi kwenye barabara huku kwa dharau unafokea watu wenye magari yao.

Nikasema huyu boya angekutana na chizi mwenye gari yake kama ya B 1 au 2. Angemtoa mavi huyu kenge.

Serikali, TANROAD NA TARURA hili swala msikubali liendelee kwa sababu ni matumizi mabaya ya barabara kwa sababu ambazo hazina msingi.

Kama wanataka mazoezi viwanja vipo vingi sana waende huko. Alafu wakati narudi nakuta wapo stendi wanangoja magari ya kurudi makwao mavi sana hawa jamaa.
 
Back
Top Bottom