Huu mvutano wa TEC, Bakwata na mamlaka, ndio utakaovunja ule mwiko tuliouzoea

Yanayoendelea SI ya bahati mbaya, ni matokeo ya ushindi Katika ule ulimwengu wa Roho, kilichobaki ni udhihirisho tu Katika ulimwengu wa mwili.
Nimesoma mstari huu pekee, ikatosha kuelewa hoja nzima. Ni juzi tu humu JF nimelizungumzia hili hili; kwamba sasa BAKWATA, ambayo ni CCM imefikia mahali inapoona imekamilisha mipango kamili ya kukimiliki chama hicho; na Samia hajawaangusha; ni mshiriki kamili.
 
Mkuu skip that piece of ****, kama ulivosema ni waz kuna mvutano na tunaamini kama taifa tutavuka.
Ila iko waz kwamba kunamtifuano japokuwa yaweza isitikee kama ulivosema.
 
Huyo mama inavyoonekana ni Kama anahujumiwa makusudi ili apate tabu katika kumnadi kwenye kampeni ijayo.
Wanamharibia ili akose soko kwenye Mnada Mkubwa wa Hadhara unaokuja.
Kwa bahati mbaya Sana, yeye mwenyewe bado hajui uwepo wa hizo njama za hujuma anazofanyiwa.

Mpaka Sasa Watesi wake wamefanikiwa vizuri Sana, kwa sababu naona kama Soko lake tayari limedoda!
Hii ya "kuhujumiwa" ni nadharia nyingine na tofauti kabisa. kama kiongozi anahujumia kiasi cha kufikia hii ilivyo sasa, na bado asisituke; huyo sijui atakuwa ni kiongozi wa namna gani huyo.
Hapana. binafsi sioni mtu wa kumhujumu kiasi hiki Samia bila ya ushiriki wake mwenyewe katika hujuma hizo.

Sasa tukubaliane tu kwamba Samia hategemei tena "kunadiwa" ili abaki madarakani baada ya Oktoba. Amekwisha amua yeye mwenyewe, tokea wakati wa uchafuzi wa serikali za mitaa; kwamba ushindi wake utatokana na hujuma. Kwa hiyo tokea wakati huo, kazi kubwa inayofanywa ni kutengeneza njia ya kufanikisha hilo, ikiwa ni pamoja na haya tunayoona ya kuua na kutesa watu wanaojaribu kuzuia mipango yake ya kubaki madarakani.
Haya ni mambo yanayofanywa wazi wazi sasa bila ya kificho. Kesi za kubabmbikia na mwenendo wa ajabu sana wa kesi hizo ni vielelezo wazi.
Ingekuwa ni hujuma, angesema tu kukataa ujinga huu, usingeona tunayo yaona sasa hivi
 
Mkuu skip that piece of ****, kama ulivosema ni waz kuna mvutano na tunaamini kama taifa tutavuka.
Ila iko waz kwamba kunamtifuano japokuwa yaweza isitikee kama ulivosema.
Mabadiliko ya kutawala yameshaamriwa kutokea majira haya 2025.

Yatatimia.

Mbingu zimeamua.
 
Huu ndo ujinga wenu vijana wa ccm
Mkuu wala hata sio akili za ccm, hizo ni akili za kiumbe flan tui. Au aseme kama yeye ashawahi gombaniwa kama kama hao wanawake anaosema, maana nikama ana experience na hizo mambo za kugombaniwa. Yaani watu watu wanaumia af anaongea kama anakunya kunya eti kufaminiwa, mavu yake.
 
Mabadiliko ya kutawala yameshaamriwa kutokea majira haya 2025.

Yatatimia.

Mbingu zimeamua.
Kama yatatokea hivo yote mema tuu mkuu. Maana hata waliopo hawakutarajia kabsaa.
 
Lakini inashangaza na kusikitisha kwa pamoja. Samia alikuwa amekwisha jitengenezea njia nzuri, tena iliyonyooka kabisa kubaki madarakani kwa heshima kubwa kabisa.
Yale maridhiano na hadaa nyingi nyingine angejitahidi kidogo tu kukomaa nazo kadri awezavyo; na hayo maruweruwe mengine ya ma-4R, yalitosha kabisa kumpa ushindi hata kungekuwepo na upigaji kura wa HAKI.

Mama wa watu kaendeshwa hovyohovyo; kayumbayumba kama mbayuwayu; mwishowe anajikuta sasa anaelekea kwenye kundi la akina Id Amin Dadana wengineo?
 
Lakini inashangaza na kusikitisha kwa pamoja. Samia alikuwa amekwisha jitengenezea njia nzuri, tena iliyonyooka kabisa kubaki madarakani kwa heshima kubwa kabisa.
Yale maridhiano na hadaa nyingi nyingine angejitahidi kidogo tu kukomaa nazo kadri awezavyo; na hayo maruweruwe mengine ya ma-4R, yalitosha kabisa kumpa ushindi hata kungekuwepo na upigaji kura wa HAKI.

Mama wa watu kaendeshwa hovyohovyo; kayumbayumba kama mbayuwayu; mwishowe anajikuta sasa anaelekea kwenye kundi la akina Id Mama na wengineo?
Aliamini mkt mstaafu wa ATAGOMBEA Ili kumrahisishia njia, watu wakubwa wakamtonya kijana machachari apindue meza.

Sasa ingewezekana vp ushindane na Simba yule aliye gerezani kwenye jukwaa huru?
 
Lakini inashangaza na kusikitisha kwa pamoja. Samia alikuwa amekwisha jitengenezea njia nzuri, tena iliyonyooka kabisa kubaki madarakani kwa heshima kubwa kabisa.
Yale maridhiano na hadaa nyingi nyingine angejitahidi kidogo tu kukomaa nazo kadri awezavyo; na hayo maruweruwe mengine ya ma-4R, yalitosha kabisa kumpa ushindi hata kungekuwepo na upigaji kura wa HAKI.

Mama wa watu kaendeshwa hovyohovyo; kayumbayumba kama mbayuwayu; mwishowe anajikuta sasa anaelekea kwenye kundi la akina Id Mama na wengineo?
Inasikisha sana!
 
Huyo mama inavyoonekana ni Kama anahujumiwa makusudi ili apate tabu katika kumnadi kwenye kampeni ijayo.
Wanamharibia ili akose soko kwenye Mnada Mkubwa wa Hadhara unaokuja.
Kwa bahati mbaya Sana, yeye mwenyewe bado hajui uwepo wa hizo njama za hujuma anazofanyiwa.

Mpaka Sasa Watesi wake wamefanikiwa vizuri Sana, kwa sababu naona kama Soko lake tayari limedoda!
Hakuna hujuma zozote Mkuu. Na kama zipo basi kajitengenezea mwenyewe. Fuatilia hotuba zake. Hivi kweli mna baba/ndugu wa karibu ambae ndiye tegemeo lenu, kisha akatekwa akauliwa na mwili wake kuokotwa pembezoni mwa barabara. Halafu wewe uliyekuwa Mfariji Mkuu uajitokeza na kejeli eti "kifo ni kifo tu". Hapo kahujumiwa kweli??

Njia yake aliyoichagua kuelekea kwenye mafanikio yake ndiyo hii. Japo ni maumivu kwa wengine. Je wanaoumizwa watavumilia mpaka lini? Je wakipiga kelele kuomba msaada na msaada ukatoka mle mle alipo yeye, basi quite ni hujuma??
 
Tamaduni za kiafrika zimejengeka kuwa gender Ile hawaezi kuwa makatili, na akitokea, watasingiziwa washauri wa jinsia tofauti.
 
Ukiangalia utaona TEC hawavutani na BAKWATA bali wanaiambia serikali itende hali. BAKWATA ndo wanadandia mambo ya TEC na kutafuta mialage za ubishi. By the way hapo ni mbingu na ardhi kwa uwezo wa kufikiri
Sure, Maana TEC wanasema HAKi sehemu kukiwa na HAKI kuna Amani, BAKWATA wanasema AMANI bila kuhusisha Neno HAKI
 
Back
Top Bottom