Huu mvutano wa TEC, Bakwata na mamlaka, ndio utakaovunja ule mwiko tuliouzoea

Hellow!

Yanayoendelea SI ya bahati mbaya, ni matokeo ya ushindi Katika ule ulimwengu wa Roho, kilichobaki ni udhihirisho tu Katika ulimwengu wa mwili.

Tulipoonyeshwa juu ya ajaye, tuliangalia utaratibu uliopo wa kupokkezana Bakwata na catolicano kutoa kiongozi Mkuu, tukaona hili ni ngumu kutokea, kumbe Mungu ana mipango yake ambayo hazuiliki na lazima itimie.

Yaani kutegua ndio kutega na kuzuia ndio kuharibu, ni sawa tu na kutumia mikono kuzuia mafuriko au kutegua bomu kwa kulimeza,unazimaje moto kwa kuukalia!

Hivi sasa hakuna ajuaye Nini kinaendelea, ni vurugu match, haijulikani tumeanza match au bado kupulizwa kipenga. Watu walio kama watu wasio watu wamekodiwa wengine toka jirani kujaribu kuzuia kusudi la Mungu lakini hawatoshinda. Yaani mechi ya wanadamu ,Hadi majini, mamluki wamevikwa jezi Tena kwa idadi kubwa kuliko idadi halali!
Wenyeww
Ule mwiko wa kuwa akiwa wa Dini Fulani lazima atoke Tek au Bakwata utavunjika mwaka huu baada ya watu kuamua msemo usemao "Tukose wote".

Nimekaa paleee, kwako pascal jonas al Mayalla.
Ndo tatizo hilo. Tanzania udini umetamslaki sana.chanzo ni CCM wenyewe.
 
Rabi yaani Mwalimu .
Au master, Mungu yu pamoja nawe milele.

Tanzania mpya inakuja .
Tutatawala kwa haki .
Na kila mtu atafurahi kuja kuishi Tanzania .

Nchi zote watakimbilia Tanzania na wataiona kama Paradiso . Simba watakua wanapiga stori na Swala na Twiga wanyonyesha watoto wa Chui..

Watanzania wote Tubuni kwa maana Ufalme wa Mungu umekaribia .

Tunataka watu wote wawe hai ili wauone Tanzania mpya yenye Haki na amani na uhuru na Demokrasia ya kweli na maendeleo makubwa .
Hakuna tena kuuana na kutekana
 
Hapo umeenda chaka TEC hawana hizo mbanga. Wanamuunga mkono yeyote yule hata awe msababato. Mhm ni kulinda maslahi ya taifa na raia wake.
 
Rabi yaani Mwalimu .
Au master, Mungu yu pamoja nawe milele.

Tanzania mpya inakuja .
Tutatawala kwa haki .
Na kila mtu atafurahi kuja kuishi Tanzania .

Nchi zote watakimbilia Tanzania na wataiona kama Paradiso . Simba watakua wanapiga stori na Swala na Twiga wanyonyesha watoto wa Chui..

Watanzania wote Tubuni kwa maana Ufalme wa Mungu umekaribia .

Tunataka watu wote wawe hai ili wauone Tanzania mpya yenye Haki na amani na uhuru na Demokrasia ya kweli na maendeleo makubwa .
Hakuna tena kuuana na kutekana
Aamin,

Blessed be the name of the Lord Jesus/ Yeshua Hamashiach.
 
gentleman,
ni kitu mbaya sana kuropoka kwa upotoshaji wa aina hiyo jukwaani,

hakuna mvutano wowote miongoni mwa taasisia za kidini, zile za kiraia dhidi ya serikali au vinginevyo.
serikali na waTanzania wote bila kujali dini, makabila au rangi zao wanasonga mbele kwa pamoja kujiandaa na uchaguzi mkuu wa kihistoria oct.2025 :putinWalk:
Acha kupotosha makusudi
 
Mpaka Sasa Watesi wake wamefanikiwa vizuri Sana, kwa sababu naona kama Soko lake tayari limedoda!👌🏿💪🏿
pwagu na pwaguzi mnapotoshana na kupeana matumaini hewa ya kindezi sana aise dah, halafu mnainjooyiiiiii🤣
 
Back
Top Bottom