- Thread starter
- #61
Usil
Usilojua ni kuwa CDM itashiriki uchaguzi baada ya reforms kufanyika Katika katiba kupata tume huru ya uchaguzi.Sahihi kabisa; nadhani ndicho atakachokifanya kwenye kampeni zake... ni kuwasema tu "nikiwapa kila aina ya platform ila hawa jamaa ni wasaliti hawabebeki" hata hizi purukushani wanazofabya TEC, mara Bunge la EU zitampa sida zaidi Maza in the long run... itaqnza kuonekana wana back up ya wazungu kwa hiyo hawafai kabisa kwa kuwa ni vibaraka... siasa ni timing.
Ushiriki wa ACT pia ni kete ngumu sana, ZZK anajiandaa kuwa KUB... hesabu za siasa ni ngumu mnooo