Hellow!
Yanayoendelea SI ya bahati mbaya, ni matokeo ya ushindi Katika ule ulimwengu wa Roho, kilichobaki ni udhihirisho tu Katika ulimwengu wa mwili.
Tulipoonyeshwa juu ya ajaye, tuliangalia utaratibu uliopo wa kupokkezana Bakwata na catolicano kutoa kiongozi Mkuu, tukaona hili ni ngumu kutokea, kumbe Mungu ana mipango yake ambayo hazuiliki na lazima itimie.
Yaani kutegua ndio kutega na kuzuia ndio kuharibu, ni sawa tu na kutumia mikono kuzuia mafuriko au kutegua bomu kwa kulimeza,unazimaje moto kwa kuukalia!
Hivi sasa hakuna ajuaye Nini kinaendelea, ni vurugu match, haijulikani tumeanza match au bado kupulizwa kipenga. Watu walio kama watu wasio watu wamekodiwa wengine toka jirani kuharibu kuzuia kusudi la Mungu lakini hawatoshinda. Yaani mechi ya wanadamu ,Hadi majini, mamluki wamevikwa jezi Tena kwa idadi kubwa kuliko idadi halali!
Ule mwiko wa kuwa akiwa wa Dini Fulani lazima atoke Tek au Bakwata utavunjika mwaka huu baada ya watu kuamua msemo usemao "Tukose wote".
Nimekaa paleee, kwako
pascal jonas al Mayalla.