Usilojua ni kuwa CDM itashiriki uchaguzi baada ya reforms kufanyika Katika katiba kupata tume huru ya uchaguzi.Sahihi kabisa; nadhani ndicho atakachokifanya kwenye kampeni zake... ni kuwasema tu "nikiwapa kila aina ya platform ila hawa jamaa ni wasaliti hawabebeki" hata hizi purukushani wanazofabya TEC, mara Bunge la EU zitampa sida zaidi Maza in the long run... itaqnza kuonekana wana back up ya wazungu kwa hiyo hawafai kabisa kwa kuwa ni vibaraka... siasa ni timing.
Ushiriki wa ACT pia ni kete ngumu sana, ZZK anajiandaa kuwa KUB... hesabu za siasa ni ngumu mnooo
Sawa wacha tuendelee kuona; uzuri ni kuwa October sio mbali. Mungu atupe uzimaUsil
Usilojua ni kuwa CDM itashiriki uchaguzi baada ya reforms kufanyika Katika katiba kupata tume huru ya uchaguzi.
Unaweza ukawa sahihi;Sijui. May be. Huenda!
Hiyo 'script' ya Magufuli uliyoielezea hapo; kama ndiyo inayofuatwa, si sahihi kusema matokeo tarajiwa yatakuwa ni yale yale kama ya wakati ule. Sijui tutafikia vipi hitimisho la aina hiyo.
Hiyo miradi na uzinduzi wake, ifute fikra za watu juu ya matendo maovu..., this is asking too much!. !
huenda wana shambuliana wao kwa wao kwasababu ya kuibiana wake
ni vizuri walio athirika wakawa wakweli kuyasema hayo kuliko kusingizia wengineSasa wewe umeibwa na nani mpaka mwingine akasirike kuwa amekukosa?
Wewe kwa nini umekubali kuibwa na wanaume sasa wanakugombania.ni vizuri walio athirika wakawa wakweli kuyasema hayo kuliko kusingizia wengine
Hata asingeyasema hayo maneno, angetafutiwa tu sababu nyingine ya kumdhibiti yeye na chama chake.Ninachokiamini, kwa namna yeyote TAL alitakiwa asiiingie mikononi kirahisi hivi katika kipindi hiki. Ni nzuri zaidi yeye akiwa uraiani kuliko akiwa ndani. Kwa sasa Chama ni kama kiko kwenye autopilot, yeye angekuwa nje Chama kingeweza kufanya vizuri katika reasoning, mobilization (yeye ana fear factor), na kusukuma agenda. Ile speech ya kukinukisha was unnessesary at this point kwa maoni yangu... maana wameichukua hiyo na kumkamata as if it was a big deal.
Hii kazi ya kuisambaza hoja ya No reforms no Election kwa wananchi imefana sana baada ya polisi kuichukua na kuisambaza indirect.Hata asingeyasema hayo maneno, angetafutiwa tu sababu nyingine ya kumdhibiti yeye na chama chake.
Ndiyo, hata mimi ningetaka aepuke 'direct provocation' kama hiyo kwa wakati 'critical' sana kama huu
Kampeni ya "No Reform, No Election' ni ujumbe wenye uhai wake yenyewe. Ningewasihi sana viongozi waliopo waiendeleze kampeni hiyo, kwa sababu inaeleweka kirahisi sana kwa wananchi, na mazingira yaliyopo ni kielelezo kilicho wazi kwa waTanzania wengi.
Tokea mwanzo, tuliwahimiza CHADEMA, kwamba kazi za chama zisitegemee sana maelekezo toka juu kushuka chini. Chama kina viongozi wao huko huko mitaani. Hawa wanalo jukumu kubwa sana la kueleza maswala wanayotakiwa kuelezewa kwao, bila ya kusubiri mikutano ya hadhara ya viongozi wakuu
Niseme tu kifupi hapa. Hali ya kisiasa hapa Tanzania ni zaidi ya kumtegemea kiongozi mmoja sasa. Kuondoka kwa Lissu kwenye majukwaa isiwe kigezo cha chama kutofanya kilichoamliwa kukifanya; pamoja na kwamba mkuu wao hayupo.
John Heche katika mikutano michache baada ya Lissu kuwekwa ndani, alionekana kuziba nafasi hiyo vya kutosha, kuendeleza mapambano.
CHADEMA isilegeze kamba hata kidogo. This is their child.Hii kazi ya kuisambaza hoja ya No reforms no Election kwa wananchi imefana sana baada ya polisi kuichukua na kuisambaza indirect.
Hivi sasa TEC na mmakundi mbalimbali wanaiendeleza pia Hadi huko vijijini.
Kwani lazima wote watoe waraka! kipindi waislam wanadai haki serikali ikawa inawabambikia kesi za ugaidi, nyinyi si ndo mulikua mashabiki wa serikali?.Kama kuna mtu ana waraka wa Bakwata atuletee hapa tujue msimamo. Zaidi
Sahihi sana,Hata asingeyasema hayo maneno, angetafutiwa tu sababu nyingine ya kumdhibiti yeye na chama chake.
Ndiyo, hata mimi ningetaka aepuke 'direct provocation' kama hiyo kwa wakati 'critical' sana kama huu
Kampeni ya "No Reform, No Election' ni ujumbe wenye uhai wake yenyewe. Ningewasihi sana viongozi waliopo waiendeleze kampeni hiyo, kwa sababu inaeleweka kirahisi sana kwa wananchi, na mazingira yaliyopo ni kielelezo kilicho wazi kwa waTanzania wengi.
Tokea mwanzo, tuliwahimiza CHADEMA, kwamba kazi za chama zisitegemee sana maelekezo toka juu kushuka chini. Chama kina viongozi wao huko huko mitaani. Hawa wanalo jukumu kubwa sana la kueleza maswala wanayotakiwa kuelezewa kwao, bila ya kusubiri mikutano ya hadhara ya viongozi wakuu
Niseme tu kifupi hapa. Hali ya kisiasa hapa Tanzania ni zaidi ya kumtegemea kiongozi mmoja sasa. Kuondoka kwa Lissu kwenye majukwaa isiwe kigezo cha chama kutofanya kilichoamliwa kukifanya; pamoja na kwamba mkuu wao hayupo.
John Heche katika mikutano michache baada ya Lissu kuwekwa ndani, alionekana kuziba nafasi hiyo vya kutosha, kuendeleza mapambano.
Siasa za Nchi hii ni ngumu sana;Hii kazi ya kuisambaza hoja ya No reforms no Election kwa wananchi imefana sana baada ya polisi kuichukua na kuisambaza indirect.
Hivi sasa TEC na mmakundi mbalimbali wanaiendeleza pia Hadi huko vijijini.
wizi wa wananwake wa watu na kujificha madhabahuni ni kitu mbaya sanaWewe kwa nini umekubali kuibwa na wanaume sasa wanakugombania.
Kwani lazima wote watoe waraka! kipindi waislam wanadai haki serikali ikawa inawabambikia kesi za ugaidi, nyinyi si ndo mulikua mashabiki wa serikali?.
wizi wa wananwake wa watu na kujificha madhabahuni ni kitu mbaya sana
Zile zilikua ni porojo za jiwe kuwaaminisha wananchi wenye upeo mdogo waamini wana nguvu kwenye uchaguzi.Sasa kilichotokea kwenye uchaguzi mzima wewe mwenyewe unakijua.Ukiziamini porojo za wanasiasa utaishi kwa tabu.Jiwer: Wengine mliwapa kumi, iweje Mimi mnipe mitano pekee?
..mwisho wa kunukuu...
Sasa naye kaambiwa mitano yatosha, alazimisha.
Tusubiri.
Duuuuh!Huyo mama inavyoonekana ni Kama anahujumiwa makusudi ili apate tabu katika kumnadi kwenye kampeni ijayo.
Wanamharibia ili akose soko kwenye Mnada Mkubwa wa Hadhara unaokuja.
Kwa bahati mbaya Sana, yeye mwenyewe bado hajui uwepo wa hizo njama za hujuma anazofanyiwa.
Mpaka Sasa Watesi wake wamefanikiwa vizuri Sana, kwa sababu naona kama Soko lake tayari limedoda!
unaumizwa kilofa kwa tamaa za kimwili kisha unasungizia wasio husika,S
Shida ni wewe unapokubali kuibwa hutaki kutulia. Usikubali kuibwa ni mtu mzima wewe. Wanaume tuelewe tunapenda kuwatest nyie jilengesheni tu
unaumizwa kilofa kwa tamaa za kimwili kisha unasungizia wasio husika,
hiyo ni nonsense kabisaa π
Mpaka Sasa Watesi wake wamefanikiwa vizuri Sana, kwa sababu naona kama Soko lake tayari limedoda!ππΏπͺπΏHuyo mama inavyoonekana ni Kama anahujumiwa makusudi ili apate tabu katika kumnadi kwenye kampeni ijayo.